i love my president mr Jakaya mrisho Kikwete! ikiuma sema nifute...
na ndio maana tunaposema nyie cdm ni kama kundi la taarab mnasema tumewatukana,sasa ebu angalia ulivyotoka nje ya mada daah nakuoneneeni sana huruma
Sahihi yako mkuu, umeniacha hoi. Mwanaume kupenda mwanaume mwingine, mhhh...
Au na wewe ni moja ya wale akina Mama Tanzania mlio kwenye list ya Mlo wa vigogo wa CCM?
na ndio maana tunaposema nyie cdm ni kama kundi la taarab mnasema tumewatukana,sasa ebu angalia ulivyotoka nje ya mada daah nakuoneneeni sana huruma
na ndio maana tunaposema nyie cdm ni kama kundi la taarab mnasema tumewatukana,sasa ebu angalia ulivyotoka nje ya mada daah nakuoneneeni sana huruma
wafuasi wa chama cha chadema ndani ya jf wameanza kutapatapa na kutafuta pa kujificha kutokana na hoja nzito zinazotolewa na watu ambao si wana chadema! hali hii imesababisha watu hao ambao wako against ktk jf kupachikwa majina mbalimbali kama vile "vifisadi vitoto","mbumbumbu," "mashoga" nk na kama hiyo haitoshi pia wamepokea matusi makali sana ikiwa eti ni njia ya kuwavunja moyo na kuwarudisha nyuma watu hao! lakini kimsingi watu hao wanaonekana wamejipanga sawasawa kuleta changamoto mpya katika jf na kupambana vilivyo na cdm kwa hoja nzito zitakosaidia kuijenga nchi yetu!

Wewe nichachadu wa mkwere..?na ndio maana tunaposema nyie cdm ni kama kundi la taarab mnasema tumewatukana,sasa ebu angalia ulivyotoka nje ya mada daah nakuoneneeni sana huruma
Yeye hapendi taifa anampenda mme wakeBadilika, Vijana Wajanja hapo kama wewe, Penda Taifa lako na si Vinginevyo
i love my president mr Jakaya mrisho Kikwete! ikiuma sema nifute...
bado kupeng'e, mzambia, ms etc kuandika upupu wenu humu! Tunawatambua wanafiki mliokuja jf kwa kasi ya uchonganishi, mtashindwa!
Mkuu.....punguza ukari wa maneno....BAN.....inakunyemelea. Achana na wakina Kashaga....watakuponza kwa ujinga waoSawa tumekusoma mama huruma, lete tigo hiyo tuseme nayo, siyo kila siku unampa RA tuu.