chadema sasa yatapatapa

chadema sasa yatapatapa

Status
Not open for further replies.
MODS hii thread ni aina ya zinazochochea matusi. Naomba wachuliwe hatua hasa wanaoanzishaa thread za uchochezi
 
wafuasi wa chama cha chadema ndani ya jf wameanza kutapatapa na kutafuta pa kujificha kutokana na hoja nzito zinazotolewa na watu ambao si wana chadema! hali hii imesababisha watu hao ambao wako against ktk jf kupachikwa majina mbalimbali kama vile "vifisadi vitoto","mbumbumbu," "mashoga" nk na kama hiyo haitoshi pia wamepokea matusi makali sana ikiwa eti ni njia ya kuwavunja moyo na kuwarudisha nyuma watu hao! lakini kimsingi watu hao wanaonekana wamejipanga sawasawa kuleta changamoto mpya katika jf na kupambana vilivyo na cdm kwa hoja nzito zitakosaidia kuijenga nchi yetu!

nadhani wewe ndo unatapatapa kama chura
 
Maji taka!:brushteeth:
 
"WEWE KAMA SIO MDINI NI FISADI AU MKE WA MAFISADI" ubarikiwe na BWANA.......
 
endeleeni kumwaga pumba zenu sisi tuna assess tuu umakini wenu katika kujibu mapigo! kweli kama hiki ndo hiki kizazi cha cdm basi hamfai hata kidogo kupewa nchi nyie

Kizazi chako kimekamata nchi kwa miaka 50 kimefanya nini cha maana zaidi ya kugawa tigo tu kwa kina RA kama wewe. Nyambafu!
 
endeleeni kumwaga pumba zenu sisi tuna assess tuu umakini wenu katika kujibu mapigo! kweli kama hiki ndo hiki kizazi cha cdm basi hamfai hata kidogo kupewa nchi nyie

Wewe mpenda maendeleo kwa vipi unaweza ku-assess watu wachache kupata data?? unajua serikali ya ccm imekuwa na takwimu za kuchakachua au ndio hivi wanavyokusanya takwimu zao?? hivi kweli tutatoka hapa tulipo kwa mwendo huu??
 
Kashaga
Senior Member
Join Date : 20th January 2011
Location : Soweto
Posts : 201
Thanks
77
Thanked 38 Times in 25 Posts
Rep Power : 21
 
endeleeni kumwaga pumba zenu sisi tuna assess tuu umakini wenu katika kujibu mapigo! kweli kama hiki ndo hiki kizazi cha cdm basi hamfai hata kidogo kupewa nchi nyie

mkuu bwn Kashaga,nasikitika sana kwanza kuleta thread Jf ukiwashtaki hao hao jf. Wengi waliokuja jf wameregister kupinga udhalimu wa watawala wetu,najua baadae akina Membe na Sofia watasema cdm imewalipa watu,wana moderm na free airtime kuichafua ccm mtandaoni sana sana Jf,hapana watu wamekuja baada ya kuchoshwa! Kwa kuwakejeli wanaJF utakuwa umempa mbu kazi ya kutibu malaria. Kama ulivosema humu kuna wanacdm wengi,nakubali ila issue iko apa,je wanadanganya madai yao?taifa liko salama? Sipendi ukutane na matusi kama yaliyokujia lakini naomba wakati mwingine usichokoze binadamu hasa akiwa kwenye matatizo,plz kama ujawahi kusikia kitu kama saikolojia mtafute hata mtoto wa mwaka wa kwanza wa saikolojia udsm akueleze ni wakati gani unaweza kujoki aliyekoseshwa haki. Kumbuka pale oct.31, pili pale vita ya Arusha,utapeli iptl,kagoda,tangold,meremeta,rada,dowans,noti zisizo na ubora na mfumuko wa bei! Alaf unataka wanaJF wakuchekee? Sitegemei ilo litokee!! Vinginevyo,nakuomba usihusishe u chama ktk maoni binafsi,usiwe kama wanaCCM wanaomuona mfuasi wa cdm popote na kuanza kumkemea dr.Slaa eti kwa nini hajamuonya! Kumbuka zama za chama chetu kipendwa ccm zimefika mwisho,na ni turning point. Usikiganganie utaumia roho,ni sawa na kugang'ania mkweche uliokatika breki ktk mlima sekenke. Itukane cdm uwezavyo lakini ndo atakuwa mkombozi wako dhidi ya walowezi wa madini,taslimu na raslimali mali!
 
....what is your Joining Date to JF??? Kila Post unalipwa shilingi ngapi na Makamba au chiligati au Sokwe Tyson au RA??

Ndugu yangu kila mwanadamu na mapungufu yake kesho na keshokutwa ata wewe unaweza kuwa Disability, usimuite mwenzio Sokwe
 
wafuasi wa chama cha chadema ndani ya jf wameanza kutapatapa na kutafuta pa kujificha kutokana na hoja nzito zinazotolewa na watu ambao si wana chadema! hali hii imesababisha watu hao ambao wako against ktk jf kupachikwa majina mbalimbali kama vile "vifisadi vitoto","mbumbumbu," "mashoga" nk na kama hiyo haitoshi pia wamepokea matusi makali sana ikiwa eti ni njia ya kuwavunja moyo na kuwarudisha nyuma watu hao! lakini kimsingi watu hao wanaonekana wamejipanga sawasawa kuleta changamoto mpya katika jf na kupambana vilivyo na cdm kwa hoja nzito zitakosaidia kuijenga nchi yetu!
pumba,,,,,,,,,,,,,
 
Sahihi yako mkuu, umeniacha hoi. Mwanaume kupenda mwanaume mwingine, mhhh...

Au na wewe ni moja ya wale akina Mama Tanzania mlio kwenye list ya Mlo wa vigogo wa CCM?

Sahihi ya mkuu inaashiria mambo ya Ukitaka kula sharti uliwe
 
Hata mie nampenda baba yangu na mama yangu na wale wanaompenda yesu pia watampa tigo? Ukiona mtu anaacha kujibu hoja na kurukia matusi basi jua tu ameshindwa na hii ndio njia wanayotumia chadema matusi na kutisha watu. Njooni dsm tunawasubiri kudadeki tuleteeni washamba wenu wa uchagani muone tutakavo wafyeka vichwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom