chadema sasa yatapatapa

Status
Not open for further replies.

Mujumba

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
853
306
wafuasi wa chama cha chadema ndani ya jf wameanza kutapatapa na kutafuta pa kujificha kutokana na hoja nzito zinazotolewa na watu ambao si wana chadema! hali hii imesababisha watu hao ambao wako against ktk jf kupachikwa majina mbalimbali kama vile "vifisadi vitoto","mbumbumbu," "mashoga" nk na kama hiyo haitoshi pia wamepokea matusi makali sana ikiwa eti ni njia ya kuwavunja moyo na kuwarudisha nyuma watu hao! lakini kimsingi watu hao wanaonekana wamejipanga sawasawa kuleta changamoto mpya katika jf na kupambana vilivyo na cdm kwa hoja nzito zitakosaidia kuijenga nchi yetu!
 
i love my president mr Jakaya mrisho Kikwete! ikiuma sema nifute...

Sahihi yako mkuu, umeniacha hoi. Mwanaume kupenda mwanaume mwingine, mhhh...

Au na wewe ni moja ya wale akina Mama Tanzania mlio kwenye list ya Mlo wa vigogo wa CCM?
 
bado kupeng'e, mzambia, ms etc kuandika upupu wenu humu! TUNAWATAMBUA WANAFIKI MLIOKUJA JF KWA KASI YA UCHONGANISHI, mtashindwa!
 
Sahihi yako mkuu, umeniacha hoi. Mwanaume kupenda mwanaume mwingine, mhhh...

Au na wewe ni moja ya wale akina Mama Tanzania mlio kwenye list ya Mlo wa vigogo wa CCM?
na ndio maana tunaposema nyie cdm ni kama kundi la taarab mnasema tumewatukana,sasa ebu angalia ulivyotoka nje ya mada daah nakuoneneeni sana huruma
 
Gawa tu Mkuu, maana ulichopewa na Mungu, kumyima Mwanaume dhambi.......

Mali yako mwenyewe wala hukuazimwa. Huruma unionee mimi? Kwa nini?

Si heri ujionee huruma mwenyewe? Siku zenu zimehesabika.
 
Yeyote aliye mstaarabu(hata kama si mwana-CDM), naomba asichangie hii thread. Ni kuwapa umaarufu wa bure wahusika tuonekane tuko sawa. NAOMBA NIWE MSTAARABU WA MWISHO KUCHANGIA HAPA.
 
na ndio maana tunaposema nyie cdm ni kama kundi la taarab mnasema tumewatukana,sasa ebu angalia ulivyotoka nje ya mada daah nakuoneneeni sana huruma

Sawa tumekusoma mama huruma, lete tigo hiyo tuseme nayo, siyo kila siku unampa RA tuu.
 
wafuasi wa chama cha chadema ndani ya jf wameanza kutapatapa na kutafuta pa kujificha kutokana na hoja nzito zinazotolewa na watu ambao si wana chadema! hali hii imesababisha watu hao ambao wako against ktk jf kupachikwa majina mbalimbali kama vile "vifisadi vitoto","mbumbumbu," "mashoga" nk na kama hiyo haitoshi pia wamepokea matusi makali sana ikiwa eti ni njia ya kuwavunja moyo na kuwarudisha nyuma watu hao! lakini kimsingi watu hao wanaonekana wamejipanga sawasawa kuleta changamoto mpya katika jf na kupambana vilivyo na cdm kwa hoja nzito zitakosaidia kuijenga nchi yetu!

Badilika, Vijana Wajanja hapo kama wewe, Penda Taifa lako na si Vinginevyo
 
wewe kashaga una ungonjwa wa akili tena unastahili kupelekwa mirembe. Lo ?? Mpaka sasa hujaamka??? Umesoma mpaka wapi???
bado kupeng'e, mzambia, ms etc kuandika upupu wenu humu! Tunawatambua wanafiki mliokuja jf kwa kasi ya uchonganishi, mtashindwa!
 
Jamani wanaJF watu kama hawa wanaweza kukupandishi hasira.....ukashtukia umemjibu kwa matusi....kuja kutahamaki BAN hiyoo.....kuweni
makini.....kama ukionaje ni bora kuwapotezea tu.....kuliko kupigwa BAN.......Rev.masanilo na Quinene wako wapi leo? si watu kama hawa ndiyo waliyosababisha washikaji wapigwe BAN? Mutafakuri....na.....mujadidi
 
ukiotesha matembele utavuna matembele ..... potezea thread zenye upupu
 
endeleeni kumwaga pumba zenu sisi tuna assess tuu umakini wenu katika kujibu mapigo! kweli kama hiki ndo hiki kizazi cha cdm basi hamfai hata kidogo kupewa nchi nyie
 
Chuma huliwa na kutu
mtu huliwa na mtu
waacheni 2 wametumwa kupunguza hali ngumu ya maisha asante CCM maisha yangu bora
sugar 2000Tsh
maji dumu 700 Tsh
nauli 600
nashukuru na kuwapongeza fulana,kofia na lifti nyuma ya fuso imenirahisishia maisha au wana JF hamuoni
ASANTE CCM HAKUNA CHAMA KAMA WEWE CDM NI WAONGO TU
 
wafuasi wa chama cha chadema ndani ya jf wameanza kutapatapa na kutafuta pa kujificha kutokana na hoja nzito zinazotolewa na watu ambao si wana chadema! hali hii imesababisha watu hao ambao wako against ktk jf kupachikwa majina mbalimbali kama vile "vifisadi vitoto","mbumbumbu," "mashoga" nk na kama hiyo haitoshi pia wamepokea matusi makali sana ikiwa eti ni njia ya kuwavunja moyo na kuwarudisha nyuma watu hao! lakini kimsingi watu hao wanaonekana wamejipanga sawasawa kuleta changamoto mpya katika jf na kupambana vilivyo na cdm kwa hoja nzito zitakosaidia kuijenga nchi yetu!

....what is your Joining Date to JF??? Kila Post unalipwa shilingi ngapi na Makamba au chiligati au Sokwe Tyson au RA??
 
mnikaribishe hata kama nimeingia kwa mlango usiohusika.......hoja zisijengwe juu ya matusi na kashfa bali katika ukweli na fikra.
 
Wewe Kashaga na Malaria Sugu mmeshazoleka kama wapiga filimbi wa hamelini a.k.a sophists. Nakuomba tena Kashaga uende Loliondo ukanywe dawa ya babu nasikia inatibu hata mtindio wa ubongo. Wahi kabla mvua za masika hazijaanza maana miundo mbinu ya huko siyo mizuri wakati wa mvua kubwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom