CHADEMA sasa wateue Wabunge wa Viti Maalumu

Kwakuwa sasa mchakato wa kuwafukuza wale wanawake 19 waliopewa ubunge wa viti maalumu kinyume na taratibu umekamilika kwa Baraza kuu kutoa maamuzi, ni vema sasa CHADEMA ipeleke barua rasmi kwa Spika kuhusu maamuzi hayo na kisha uteue wabunge rasmi sasa wa viti maalumu kw kufuata taratibu za chama

Kwakuwa wanatambua kuwepo kwa serikali ndiyo maana hata Mwenyekiti alipofutiwa kesi yake alialikwa na Rais Ikulu na akaenda wakajadiliana naye.

Wasipo fanya hivyo tutaamini kuwa baadhi ya viongozi wana maslahi na wale wasaliti 19
Kweli ujinga hauna gharama
 
..Dpp na takukuru ndio wanaopaswa kuwapeleka mahakamani waliogushi na kuwaapisha Halima na wenzake.

..Hapa kuna makosa ya jinai, rushwa, na matumizi mabaya ya madaraka, na mwenye jukumu la kuchunguza na kushtaki ni serikali.

Sasa why msisubiri serikali 2025 iwapeleke mahakamani ?
 
Wateue wabunge kwa uchaguzi upi kiongozi ? kwa ule uchafuzi no no no
 
Sasa why msisubiri serikali 2025 iwapeleke mahakamani ?

..chama kimechukua hatua kwa mujibu wa katiba yake.

..serikali nayo inatakiwa ichukue hatua kwa mujibu ya katiba na sheria za nchi yetu.

..kuna kosa la kugushi / jinai limetokea kwa wabunge 19 kuapishwa bila ridhaa ya chama chao.

..Serikali / dpp hawatakiwi kufumbia macho suala hilo.
 
Sasa chama si ndio kingeenda mahakamani? Au mngepeleka majina mengine ili yale yaonekane fake?

Chadema wanavyopenda kesi kwenye hili wangekuwa wameenda long time

Ukiona wamekaa kimya ujue Hali si hali
 
..kilichotokea ni JINAI.

..Na mwenye mamlaka kisheria kushtaki makosa ya jinai ni SERIKALI.

..Ukiona serikali imekalia kimya jinai ujue kuna mtu ndani ya serikali anahusika.

..Badala ya kuishinikiza Chadema tunatakiwa tuishinikize serikali ichukue hatua za kisheria dhidi ya waliohusika ktk jinai ya kuapisha wabunge feki wasiokuwa na ridhaa ya chama chao.
 
Chadema ndio imeibiwa viti vyake so wao waende mahakamani
 
Kwakuwa sasa mchakato wa kuwafukuza wale wanawake 19 waliopewa ubunge wa viti maalumu kinyume na taratibu umekamilika kwa Baraza kuu kutoa maamuzi, ni vema sasa CHADEMA ipeleke barua rasmi kwa Spika kuhusu maamuzi hayo na kisha uteue wabunge rasmi sasa wa viti maalumu kw kufuata taratibu za chama

Kwakuwa wanatambua kuwepo kwa serikali ndiyo maana hata Mwenyekiti alipofutiwa kesi yake alialikwa na Rais Ikulu na akaenda wakajadiliana naye.

Wasipo fanya hivyo tutaamini kuwa baadhi ya viongozi wana maslahi na wale wasaliti 19
Subiri tutashangaa wengi,politics politics mchezo mchafu.
 
Wasaliti waliitwa na tume ya uchaguzi
Chadema waipeleke mahakamani tume ya uchaguzi ambayo ndio iliita wale covid kwenda Bungeni

Acha uongo, Tume inapokea majina kutoka kwenye chama na sio inajituelia tu. Subiri kitachotokea Sasa.
 
Chadema ndio imeibiwa viti vyake so wao waende mahakamani

..serikali ndio yenye mamlaka ya kisheria kumshtaki au kuwashitaki waliohusika kugushi na kuwaibia Chadema.

..hata mimi nikivunjiwa nyumba yangu ktk tukio la ujambazi nikaibiwa serikali ndiyo inayopaswa kuwashtaki waliohusika.

..Narudia, masuala yote ya KIJINAI kesi zake zinaendeshwa na DPP/ Serikali.
 
Msiwalaumu Covid 19 wala msiwalaumu viongozi wa chadema.
Amri ya SIMBA WA YUDA ilikuwa ni hatari usipotii.
Tudai katiba itakayoondoa kinga zinazolinda ujinga uliofanywa na mtu mmoja halafu vyama A na B vinasomeka vibaya kwa wananchi.
Mimi kama mimi sikuwahi kuwalaumu Wale wabunge maana nawafahamu vizuri kazi kubwa waliyofanya chadema. Na Chadema kama chama pia siwalaum

Anayetaka kulaumu atakuwa anajifanya kutoona au kujua madhila ya kipindi kile.
 
Back
Top Bottom