Kutokana na mambo na watu kama hawa,huwa najiuliza ni kivipi Islam is a religion of Peace kama ambavyo huwa wanadai,kwamba Islam means peace.Ushahidi wa hali halisi unapingana na hilo.Hata sasa kuna utaratibu mpya umeanzishwa kwa ndege zote zinazoenda Saudi Arabia hutakiwi kuwa na bible wala article yoyote ambayo si ya kiislam..Yani ni visa kila kukicha.Ni mambo mengi sana ambayo wakristo wanafanya ili kuweza kuishi side to side na ndugu zao waislam.Hata nakumbuka kwenye sherehe mitaani,kama ni ya mkristo,basi mchinjaji wa either mbuzi ama ng'ombe lazima ataitwa Muislam ili sherehe ifurahiwe na wote.Utamaduni tuliokuwa nao ni wa kuheshimiana.Kama alivyosema member mmoja anayeitwa Shimbalanga kwenye ile thread nyingine ya propaganda za chuki ya "Ukatoliki wa CDM."Nafuatilia kwa karibu sana mahusiano ya CHADEMA na Taasisi za nje. Zitto Kabwe, Naibu Katibu Mkuu wa CDM amenufaika katika mafunzo ya uongozi aliyokuwa akichukua huko Ujermani. Mahusiano na Konrad Adenauer Stiftung yamekuwa baina yake na CHADEMA, Zitto akiwa kama mwakilishi wa CHADEMA wakati akiwa mwanafunzi huko. Hakuna usiri wowote katika hili.
Rais Mstaafu wa Ujermani, Dk. Horst Kohler, ambaye pia ni mkurugenzi wa KAS, alipotembelea Afrika Mashariki wiki iliyopita alihutubia mkutano wa wadau wa East African Community, akiwepo Katibu Mkuu mpya wa EAC anayetokea Rwanda na Mzee Edwin Mtei, aliekuwa Katibu Mkuu wa mwisho wa EAC iliyovunjika mwaka wa 1977. Mzee Mtei pia ni Muasisi wa CHADEMA na alipata fursa ya kuzungumza na Horst Kohler. Viongozi wa CHADEMA kitaifa walikutana na Dk. Kohler kabla ya yeye kukamilisha ziara yake, na niliona picha yao katika gazeti moja la hapa nchini; ikidhihirisha hakukuwepo na usiri wowote.
Huko kujuta kwa CHADEMA, au usiri wa kuwa na mahusiano na taasisi ya KAS unatoka wapi? Kama hii taasisi ya Ujermani itatoa mafunzo kwa vijana wanaCHADEMA hakuna sababu ya kiongozi yeyote kujuta. CDM itaimarika tu.
Mujahedeen wa Tanzania!ndiyo maana vitoto vinafundishwa karate kwenye baadhi ya madrassa!! Hii kitu inaelekea ina baraka kutoka kwa mkulu mwenyewe ndiyo maana jamaa hata hawadhibitiwi!Kutokana na mambo na watu kama hawa,huwa najiuliza ni kivipi Islam is a religion of Peace kama ambavyo huwa wanadai,kwamba Islam means peace.Ushahidi wa hali halisi unapingana na hilo.Hata sasa kuna utaratibu mpya umeanzishwa kwa ndege zote zinazoenda Saudi Arabia hutakiwi kuwa na bible wala article yoyote ambayo si ya kiislam..Yani ni visa kila kukicha.Ni mambo mengi sana ambayo wakristo wanafanya ili kuweza kuishi side to side na ndugu zao waislam.Hata nakumbuka kwenye sherehe mitaani,kama ni ya mkristo,basi mchinjaji wa either mbuzi ama ng'ombe lazima ataitwa Muislam ili sherehe ifurahiwe na wote.Utamaduni tuliokuwa nao ni wa kuheshimiana.Kama alivyosema member mmoja anayeitwa Shimbalanga kwenye ile thread nyingine ya propaganda za chuki ya "Ukatoliki wa CDM."
Inawezekana kizazi cha sasa cha waislam hakiwezi kuishi na wenye dini za tofauti.Maybe sasa matunda ya Bin Laden yanafanya kazi.Maana jamaa alianza kuinvest kwenye chuki toka zamani sana.Na walikuwa smart sana kwani wamepita literally in every maddrassas and mosques kupreach hatred dhidi ya non believers,wamehakikisha kwamba kizazi kipya cha waislam kitakuwa ni chenye chuki tu.Ujumbe ni mmoja,vita dhidi ya "Infidels"
Na hawa Mujahedeen wa Tanzania wanatupeleka kubaya.Pia huwezi kuweka thread na kudai eti kulikuwa na kikao cha siri cha kikrsto ndani ya CDM na ndiyo maana kinakufa kwa wananchi kukiacha.Sasa kama ni kweli wananchi wanajuwa hayo,wapi huo ushahidi?Ya kwapi wanayoyajuwa wananchi ili na sisi tuyajuwe?Hakuna lolote mleta mada aliloweka lenye kuonyesha hayo wananchi waliyoyaona ambayo wameaminishwa kuwa CDM ni chama cha kikatoliki.Kama ni issue ambayo mpaka wananchi wanaifahamu na wameiacha CDM,how come umeshindwa kuweka huo ushahidi unaojulikana na wananchi ambao umewajutisha chadema?
kazi mnayo!!! mtatafuta mchawi hadi mrogane ninyi wenyewe!!!!! chadema mwendo mdundooooooooooooooo!
Kila lenye mwanzo lina mwisho na pia majuto ni mjukuu.Chama cha CHADEMA sasa kinaelekea ukingoni na hii ni kutokana kudhihirika kwa yale yalokuwepo chini ya Blanketi.Tangu siku nyingi chadema imekuwa imeshutumiwa kuwa ni chama cha kidini huku viongozi wake wakijaribu kuzitetea siri hizo zilizo katika uvungu wa kapeti.sasa siri hizo zimefichuka nahivyo wafuasi wake kuanza kung'amua na hivyo kukata tamaa na chama hicho kilchoaminiwa kama cha kitetezi huku kikijificha.Na sasa viongozi wa chadema wanajilaumu kwa kufanya kikao hicho kilichofichua siri.
Kila lenye mwanzo lina mwisho na pia majuto ni mjukuu.Chama cha CHADEMA sasa kinaelekea ukingoni na hii ni kutokana kudhihirika kwa yale yalokuwepo chini ya Blanketi.Tangu siku nyingi chadema imekuwa imeshutumiwa kuwa ni chama cha kidini huku viongozi wake wakijaribu kuzitetea siri hizo zilizo katika uvungu wa kapeti.sasa siri hizo zimefichuka nahivyo wafuasi wake kuanza kung'amua na hivyo kukata tamaa na chama hicho kilchoaminiwa kama cha kitetezi huku kikijificha.Na sasa viongozi wa chadema wanajilaumu kwa kufanya kikao hicho kilichofichua siri.
hauwezi kuwa hutumii ugoro na kangara!
no Nape ni mwislamMiongoni mwa viongozi Wakatoliki ni Nape, Mkama, nk