Abdalla Khamis
Member
- Jun 13, 2011
- 59
- 8
Wakati akihutubia taifa mwenyekiti wa chama cha Magamba aliwahi kuwaambia watanzania wawapuuzie CDM kwa sababu maandamano yao yanachochea vurugu, asubuhi yake waziri wake atangaza bei ya sukari ishuke kutoka sh.2000 hadi 1700, hilo lilikuwa ni agizo mojawapo la CDM kwa serikali ndani ya siku saba....tafakari hilo halafu linganisha na huo upupu wako wa hapo juuKila lenye mwanzo lina mwisho na pia majuto ni mjukuu.Chama cha CHADEMA sasa kinaelekea ukingoni na hii ni kutokana kudhihirika kwa yale yalokuwepo chini ya Blanketi.Tangu siku nyingi chadema imekuwa imeshutumiwa kuwa ni chama cha kidini huku viongozi wake wakijaribu kuzitetea siri hizo zilizo katika uvungu wa kapeti.sasa siri hizo zimefichuka nahivyo wafuasi wake kuanza kung'amua na hivyo kukata tamaa na chama hicho kilchoaminiwa kama cha kitetezi huku kikijificha.Na sasa viongozi wa chadema wanajilaumu kwa kufanya kikao hicho kilichofichua siri.
Dini gani hiyon unayoihusisha na CDM? Kikao kilifanyika wapi na lini? Hujaeleweka kuwa sasa wananchi wamewashutukia, ni wapi huko mbona mimi naona hawa jamaa kila uchwao wanajoingezea umaarufu kwa hoja ambazo wanazitoa bungeni.
Kila lenye mwanzo lina mwisho na pia majuto ni mjukuu.Chama cha CHADEMA sasa kinaelekea ukingoni na hii ni kutokana kudhihirika kwa yale yalokuwepo chini ya Blanketi.Tangu siku nyingi chadema imekuwa imeshutumiwa kuwa ni chama cha kidini huku viongozi wake wakijaribu kuzitetea siri hizo zilizo katika uvungu wa kapeti.sasa siri hizo zimefichuka nahivyo wafuasi wake kuanza kung'amua na hivyo kukata tamaa na chama hicho kilchoaminiwa kama cha kitetezi huku kikijificha.Na sasa viongozi wa chadema wanajilaumu kwa kufanya kikao hicho kilichofichua siri.

Oic + uislam=ccm je hii ni kweli? Kwa nini unakuwa na mtazamo hasi na kanisa Katoliki? Wewe inaonekana ni muislam usiyejua Uislam. Kasome kwanza IslamicTheology ndipo urudi hapa jamvini.
Kila lenye mwanzo lina mwisho na pia majuto ni mjukuu.Chama cha CHADEMA sasa kinaelekea ukingoni na hii ni kutokana kudhihirika kwa yale yalokuwepo chini ya Blanketi.Tangu siku nyingi chadema imekuwa imeshutumiwa kuwa ni chama cha kidini huku viongozi wake wakijaribu kuzitetea siri hizo zilizo katika uvungu wa kapeti.sasa siri hizo zimefichuka nahivyo wafuasi wake kuanza kung'amua na hivyo kukata tamaa na chama hicho kilchoaminiwa kama cha kitetezi huku kikijificha.Na sasa viongozi wa chadema wanajilaumu kwa kufanya kikao hicho kilichofichua siri.
pia Mbowe si mkatoliki.Ivi zitto naye ni MKATOLIKI

we nenda kwanza kajifunze jinsi ya kujieleza vizuri then ndo uje kupost huku coz post za majungu nazifahamu vizuri.....Kila lenye mwanzo lina mwisho na pia majuto ni mjukuu.Chama cha CHADEMA sasa kinaelekea ukingoni na hii ni kutokana kudhihirika kwa yale yalokuwepo chini ya Blanketi.Tangu siku nyingi chadema imekuwa imeshutumiwa kuwa ni chama cha kidini huku viongozi wake wakijaribu kuzitetea siri hizo zilizo katika uvungu wa kapeti.sasa siri hizo zimefichuka nahivyo wafuasi wake kuanza kung'amua na hivyo kukata tamaa na chama hicho kilchoaminiwa kama cha kitetezi huku kikijificha.Na sasa viongozi wa chadema wanajilaumu kwa kufanya kikao hicho kilichofichua siri.