PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 376
- 735
Wachukue citizen au K24
Kwani wana aibu basi hao watu?Vyombo vya habali Mungu anawaona mnavyo mfanyia Lissu!! Siku anatangazwa rais sijui mtajificha wapi
Chadema ipo hoi kiuchumi, ndio maana bakuli linapitishwa kila mara, halafu Mbowe ameshakula hela za wabunge wenzake waliokatwa for five good years. Yule mchizi yupo kimaslahi, anajua nini anafanya.Ndio, kwani wanachoshindwa ni nini... Kama ni pesa tunao wahisani wa kutosha
Kwa kanuni mpya zilizopo sidhani kama hivyo vituo vya nje vinaweza kupata nafasi, kila chombo cha habari kama kinatumia mwandishi wa kigeni ni lazima athibitishwe na tcra hiyohiyo inayobana vyombo kutangaza habari za wapinzani, suruhisho ni kuandaa video clips za kila mkutano zisambazwe mtandaoni, takwimu zinaonesha mitandao ina audience kubwa kuliko tv na redioWachukue citizen au K24
CHADEMA tumewaomba sana mtutafutie TV moja itakayokuwa inarusha mikutano ya Lissu lakini paka sasa bado mnasuasua, Kama TV za hapa zinaogopa kurusha mikutano ya Lissu basi nendeni Kenya, kwenye dstv yenyewe kuna channel zaidi ya tano za Kenya zinazoonekana hapa nchini.
Kama tatizo ni pesa, basi semeni ili tuongeze michango, Ikibidi hata muwe mnawarushia recordings tu wazioneshe tumwone kamanda wetu.Tunataka sasa na sisi kusikia Sera za Tundu Lisu , na si kila siku ukifungua TV ni rangi ya mboga mboga, Magazeti yote nayo ni mboga mboga, redio ndo usiseme, yani paka imekuwa kero sasa hivi watu hawataki hata kutazama TV bora waweke movies waangalie.
Sasa tunasema Tumechoka, CHADEMA tafuteni TV hata ya nje ioneshe kampeni. SI OMBI, NI LAZIMA.
Hujaombwa kuchangia, kama huna cha kuchangia ni bora ukafunga hilo domo lako chafuChadema ipo hoi kiuchumi, ndio maana bakuli linapitishwa kila mara, halafu Mbowe ameshakula hela za wabunge wenzake waliokatwa for five good years. Yule mchizi yupo kimaslahi, anajua nini anafanya.
Tupaze sauti watusikieNaunga mkono hoja
Wawatumie clips tu za mikutano, si LAZIMA walete wahandishi wao hukuKwa kanuni mpya zilizopo sidhani kama hivyo vituo vya nje vinaweza kupata nafasi, kila chombo cha habari kama kinatumia mwandishi wa kigeni ni lazima athibitishwe na tcra hiyohiyo inayobana vyombo kutangaza habari za wapinzani, suruhisho ni kuandaa video clips za kila mkutano zisambazwe mtandaoni, takwimu zinaonesha mitandao ina audience kubwa kuliko tv na redio
Its too late.
TV za Kenya pia zitafungiwa?Hawako tayari kufungiwa na mamlaka husika
Naunga mkono hoja
Hili silipingi kabisa......