CHADEMA pumzi imekata!

CHADEMA pumzi imekata!

CHADEMA pumzi imekata! Kwa sasa viongozi wa CHADEMA wameamua kwenda na upepo uliopo wa kisiasa nchini. Wamebaki kuwa motivational speakers kwenye majukwaa na kutupiana maneno tu na baadhi ya makada wa CCM bila hatua zozote za maana.

Sasa wananchi wanaonekana kuchanganyikiwa na hawaelewi hawa makada wa CHADEMA. Ujasiri wa kweli umebaki kwa Mwenyekiti wao, ambaye ameamua kupigania haki ya kweli bila kuuza roho yake kwa shetani.

Hawa viongozi wa CHADEMA hawana tena ujasiri wa kupambana na dola kama alivyokuwa akifanya Tundu Lissu; ni waoga wa kuitisha maandamano na waoga wa kuitwa Central.

BACK TO DEFAULT SETTINGS.

View attachment 3611871
Mnajipa moyo ninyi machawa wa UVCCM. Nendeni mkakimbize huo moto mnaouita mwenge, upumbavu mtupu, wezi wa kura ninyi na wala hamuwezi kujilinganisha na CHADEMA. Nendeni mkajifananishe na CHAUMMA washamba ninyi
 
Punguza hasira na mihemko, angalia uhalisia wa mambo.
 
CHADEMA pumzi imekata! Kwa sasa viongozi wa CHADEMA wameamua kwenda na upepo uliopo wa kisiasa nchini. Wamebaki kuwa motivational speakers kwenye majukwaa na kutupiana maneno tu na baadhi ya makada wa CCM bila hatua zozote za maana.

Sasa wananchi wanaonekana kuchanganyikiwa na hawaelewi hawa makada wa CHADEMA. Ujasiri wa kweli umebaki kwa Mwenyekiti wao, ambaye ameamua kupigania haki ya kweli bila kuuza roho yake kwa shetani.

Hawa viongozi wa CHADEMA hawana tena ujasiri wa kupambana na dola kama alivyokuwa akifanya Tundu Lissu; ni waoga wa kuitisha maandamano na waoga wa kuitwa Central.

BACK TO DEFAULT SETTINGS.

View attachment 3611871
mnasema imekata lkn mnapiga majungu ifutwe...mtaelewa tu
 
Umekaa seblen nyumban kwa mume wa dada yako unaandika usengerema huku umepakatwa, unajiona umeandika points kumbe unaonesha jinsi gani vijana wa lumumba mnashikishwa ukuta ili mpate vocha za kuja JF kuandika pumba
 
Punguza mihemko

CHADEMA imebakia kuwa kama mbwa asiye na meno kelele nyingi lakin hang'ati.
 
Back
Top Bottom