CHADEMA officially ni CCM 'B'

CHADEMA officially ni CCM 'B'

Mtu anao uhuru wakujiunga chama chochote akipendacho HIYO kauli ya MAKAPI ni kauli ya mkosaji,kwani mkiwaita jina zuri watapungukiwa nn,hapo ndio mnaonyesha kuishiwa hoja,haina haja ya kupaniki ustaarabu ni muhimu
 
Wengi wa wanachadema wa sasa wanauchungu na Lowassa kuliko Chama.

Tofauti na ccm Chama kwanza mtu baadae, chadema ni mtu kwanza chama baadae.
 
Utampata wapi asiye CCM wewe? Au umesahau kilikuwa chama kilichoshika hatamu na kila aliyetaka siasa alikuwa cCM hadi 1995 tulipofanya uchaguzi tukapate vyama vingine. Muhimu dhamira na nia ya kubadilisha matokeo tusiendelee kuwa maskini waache watu waende Chadema wanakokutaka
 
mugisher pole sana..POVU LA NINI?muda uliotumia kuandika hii post ungeutumia kwa makini,ungekuwa mbal sana..naomb nikushaur kitu,MATUMIZI SAHIHI YA MUDA NI MUHIMU SANA KWA MAENDELEO YA NCHI YAKO..Acha kutumia muda kuandka "VEPA"
 
Kama hawana thamani kisiasa mbona mnatapatapa? Waacheni waje UKAWA wamechoka kuwaibia watz. "NI SHANGWE KUBWA MBINGUNI MWENYE DHAMBI MMOJA AKITUBU NA KUACHA UOVU WAKE"
 
Siasa ni kama Maths ni mchezo wa namba, kama wewe ni mwanasiasa/shabiki wa siasa usiyeona faida ya kuwa na namba kubwa dhidi ya mshindani wako basi utakuwa na tatizo la kufikiri...
MGOMBEA wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa amechukua fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ya kuwania nafasi hiyo leo Jumatatu Agosti 10, 2015.
Msafara wa Mgombea huyo ulioanzia kwenye Ofisi za Chama cha Wananchi CUF Buguruni na kuishia kwenye Ofisi za CHADEMA Kinondoni Jijini Dar es salaam na kupelekea msongamano mkubwa wa watu ambao wengi wao ni wafuasi wakuu wa vyama vinavyounda UKAWA, na kufanya shughuli mbali mbali kusimama kwa muda wa takribani saa saba.

Umati wa watu wakiwemo wafuasi wa vyama vya Siasa vinavyounda UKAWA ukiwa Umefurika kwa wingi kwenye Barabara ya Uhuru, Jijini Dar es salaam kumsindikiza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea Mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni, walipokuwa wakielekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua Fomu ya kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Octoba 25, mwaka huu. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea Mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni wakiwapingua maelfu ya wafuasi wa vyama vya Siasa vinavyounda UKAWA, jijini Dar es salaam, Augusti 10, 2015, walipokuwa wakielekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua Fomu ya kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Octoba 25, mwaka huu.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Maafisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, wakati alipofika kuchukua Fomu ya kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Octoba 25, mwaka huu.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akipokea fomu za tume ya Taifa ya Uchaguzi kkugombea nafasi hiyo, kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mkurugenzi wa tume ya Taifa ya Uchaguzi, Kailima Ramadhan Kombwey, baada ya kukabidhiwa fomu za tume hiyo za kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Agosti 10, 2015. Kulia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF na Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif.
Mh. Lowassa na Mh. Duni wakiwapungia maelfu ya wafuasi wa vyama vya Siasa vinavyounda UKAWA nje ya Makao Makuu ya Chama cha CUF, Buguruni jijini Dar.
MMGL0260.jpg
MMGL0284.jpg
Sehemu ya Wapenzi wa vyama vinavyounda UKAWA wakiushangilia Msafara wa
MGOMBEA wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa wakati akielekea​
Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua Fomu ya kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Octoba 25, mwaka huu.
Buhuruni Rozana.
MGOMBEA wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na​
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF na Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif mara baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya Chama cha CUF, Buguruni Jijini Dar es salaam.
MGOMBEA wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Mh. Freeman Mbowe, huku​
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF na Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif akishuhudia.

Mh. Freeman Mbowe, Mh. Tundu Lissu na Mh. James Mbatia wakiwa kwenye magari yao wakati wakimsindikiza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea Mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni, walipokuwa wakielekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua Fomu ya kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Octoba 25, mwaka huu.
Barabara ya Uhuru, Jijini Dar.

Barabara ya Bibi Titi Mohamed, Jijini Dar.
Barabara ya Uhio.
Hakuna alietaka kupigwa na tukio hili.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea Mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni wakiwapingua maelfu ya wafuasi wa vyama vya Siasa vinavyounda UKAWA, jijini Dar es salaam, Augusti 10, 2015, walipokuwa wakielekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua Fomu ya kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Octoba 25, mwaka huu.



Mgombea mwenza wa Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Juma Haji Duni akiwapungia wafuasi wa vyama vya Siasa vinavyounda UKAWA, jijini Dar es salaam, Augusti 10, 2015, walipokuwa wakielekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua Fomu ya kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Octoba 25, mwaka huu.











 
Imekuwa kama mchezo wa paka na panya yani chadema anamtabiria ccm atakufa na ccm anatabiri chadema itakufa ila sasa hali inaonyesha chadema ndio anaenda kuwa chadima baada ya ccm kushinda kete hii ndio itakuwa mwisho wa safari ya ndugu yetu mpendwa mamvi, imefika mwisho kwakweli ccm wameweza na kwa kuwa risasi ilipo ingilia ndipo itaenda tokea chadema wameumia ktk hili
 
Imekuwa kama mchezo wa paka na panya yani chadema anamtabiria ccm atakufa na ccm anatabiri chadema itakufa ila sasa hali inaonyesha chadema ndio anaenda kuwa chadima baada ya ccm kushinda kete hii ndio itakuwa mwisho wa safari ya ndugu yetu mpendwa mamvi, imefika mwisho kwakweli ccm wameweza na kwa kuwa risasi ilipo ingilia ndipo itaenda tokea chadema wameumia ktk hili

Umevurugwa mkuu
Pole
 
mnalazimisha watu wamchukie kumbe ndio watu wanazidi kumpenda,byeeee ccmmmmm
 
Imekuwa kama mchezo wa paka na panya yani chadema anamtabiria ccm atakufa na ccm anatabiri chadema itakufa ila sasa hali inaonyesha chadema ndio anaenda kuwa chadima baada ya ccm kushinda kete hii ndio itakuwa mwisho wa safari ya ndugu yetu mpendwa mamvi, imefika mwisho kwakweli ccm wameweza na kwa kuwa risasi ilipo ingilia ndipo itaenda tokea


Tuwe realistic tuache ushabiki
 
Mnaroho ngumu sana,mpaka dakika hii Majimbo ya Nyamagana,Ilemela,Sengerema,Ukerewe,Geita mjini,Magu,Busega ccm chali
 
Imekuwa kama mchezo wa paka na panya yani chadema anamtabiria ccm atakufa na ccm anatabiri chadema itakufa ila sasa hali inaonyesha chadema ndio anaenda kuwa chadima baada ya ccm kushinda kete hii ndio itakuwa mwisho wa safari ya ndugu yetu mpendwa mamvi, imefika mwisho kwakweli ccm wameweza na kwa kuwa risasi ilipo ingilia ndipo itaenda tokea chadema wameumia ktk hili

Mharoooooooooooo.... unaota wewe itakuwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom