CHADEMA (Odinga) vs CCM (Uhuru) siasa za nje!

CHADEMA (Odinga) vs CCM (Uhuru) siasa za nje!

Hivi Odinga akidondokea pua ataendelea kuwa waziri mkuu? Baada ya kushika nafasi ya pili.
 
Ni ukweli usiotiliwa shaka kuwa CCM inainjinia uchaguzi wa Kenya, na ipo upande wa Uhuru mmoja wa wagombea urais wa Kenya,

Vivyo hivyo chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA, kimejikita katika siasa za kimataifa kwa hapo Kenya huku karata yake kikiitupa miguuni mwa Raila Odinga mmoja wa wagombea anaepewa nafasi kubwa ya kushinda kupitia muungano wa vyama ndugu.

Vita hii tunaiangaza kama ni ya mapambano ya CHADEMA na CCM kuelekea 2015 hasa kila mmoja akisafisha njia ya kuungwa mkono kumataifa,

Ikiwa ni hivyo tayari CCM na CHADEMA kila mmoja ashashinda kete moja moja, kwanza ni CHADEMA Zambia kwa bwana Satta, na CCM Congo kwa kijana Kabila ambako dhahiri utawala unakula huku umeshikilia sahani mkononi kwani hakuna tumaini la kuweka mezani chakula chini ya M23.

Je ni CHADEMA (Odinga) ama CCM (Uhuru)

Karata yangu naitua kwa CHADEMA.

Hata kama itakuwa ni kweli sidhani kama ilitakiwa itangazwe, naona kama Mkuu hapa umeteleza na sikutegemea kama ingeletwa na verified user hata waliokupa like sijajua wametumia kigezo gani au wana maana ya LIKE kama tunavyoijua? Kila lenye kheri Raila
 
Kama CDM ni Raila mbona alikaribishwa na Magufuli?
Kwa hiyo na Magufuli ni CDM?
Sipati picha hapa.
 
Thread hii ni sawa na watoto wamekaa pembeni ya barabara wantambishiana magari yanayopita," gari hii ya kwangu ona inavyokimbia".
Hahaaa nimecheka bila kutaka mkuu,

Umenikumbusha mbali sana, na hii ndiyo dhamira yangu halisi katika uzi huu,
 
Ni ukweli usiotiliwa shaka kuwa CCM inainjinia uchaguzi wa Kenya, na ipo upande wa Uhuru mmoja wa wagombea urais wa Kenya,

Vivyo hivyo chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA, kimejikita katika siasa za kimataifa kwa hapo Kenya huku karata yake kikiitupa miguuni mwa Raila Odinga mmoja wa wagombea anaepewa nafasi kubwa ya kushinda kupitia muungano wa vyama ndugu.

Vita hii tunaiangaza kama ni ya mapambano ya CHADEMA na CCM kuelekea 2015 hasa kila mmoja akisafisha njia ya kuungwa mkono kumataifa,

Ikiwa ni hivyo tayari CCM na CHADEMA kila mmoja ashashinda kete moja moja, kwanza ni CHADEMA Zambia kwa bwana Satta, na CCM Congo kwa kijana Kabila ambako dhahiri utawala unakula huku umeshikilia sahani mkononi kwani hakuna tumaini la kuweka mezani chakula chini ya M23.

Je ni CHADEMA (Odinga) ama CCM (Uhuru)

Karata yangu naitua kwa CHADEMA.

nathubutu kusema kuwa wewe ni mpumbavu. kwa nini tunajadili uchaguzi wa wakenye kwa biasness? sisi sio wakenya, tuache kusapoti upande wowote na tuheshimu maamuzi ya wakenya. yoyote watakaemchagua sisi kama waTz tutamuunga mkono kama rais wa majirani zetu. nashangaa nyie wapumbavu mnaendeleza huu ujinga wakuchagua upande. pamoja na uswahiba mkubwa wa marekani na uk au israel, umewahi kuona yeyote katika nchi hizo akishabikia kiupande? kwa nini usifikirie hata hiki kitu kidogo tu. ama kweli JF kuna mataahira wengi na wewe ukiwemo.
 
Watz bwana mh! Maulidi c yetu tulishaivalia KANZU ? Sitashangaa kuona 2015 kuna UTANZANIA URAILA na UKENYATA !:A S 39:
 
Kama CDM ni Raila mbona alikaribishwa na Magufuli?
Kwa hiyo na Magufuli ni CDM?
Sipati picha hapa.

Unajua MaCCM baada ya kuona Uhuru anaongoza tayari wanataka kujihusisha nae..........kibao kikigeuka baada ya kura kukamilika na kama Odinga akashinda watasema yuko nao
 
Siasa za ndani, ndio zinazotuhusu sisi, aya mambo ya kusema mara CDM wako kwa nani, mara CCM wako kwa huyo, haituhusu. maana wengne ni CDM wanamkubali uhuru. cha muhimu tusubiri wakati wetu ukifika. tusifanye makosa.
 
nathubutu kusema kuwa wewe ni mpumbavu. kwa nini tunajadili uchaguzi wa wakenye kwa biasness? sisi sio wakenya, tuache kusapoti upande wowote na tuheshimu maamuzi ya wakenya. yoyote watakaemchagua sisi kama waTz tutamuunga mkono kama rais wa majirani zetu. nashangaa nyie wapumbavu mnaendeleza huu ujinga wakuchagua upande. pamoja na uswahiba mkubwa wa marekani na uk au israel, umewahi kuona yeyote katika nchi hizo akishabikia kiupande? kwa nini usifikirie hata hiki kitu kidogo tu. ama kweli JF kuna mataahira wengi na wewe ukiwemo.
Duuuh mkuu maneno mengine weka akiba ya uzeeni ndugu,

Jf sio mwisho wa maisha, kumbuka kunamaisha nje ya jf tena matamu balaaa.

Karibu sana katika ulimwengu wa mchezo wa siasa.
 
hizi nchi zetu zina siasa za kipuuzi sana hata akishinda ODINGA ama KENYATA SWALA NI KWAMBA JE NA HAO CHADEMA NA CCM WANA SERA ZENYE USHAWISHI KAMA HAO WANAOWAIGA SIO KUGAWIANA KOFIA ZA YANGA NA KOMBATI ILA SERA NZURI NDO MSINGI WA DEMOCRACY
 
Nadahani wakenya wamejitahidi kiasi fulani sio kama hawa mamburulas wetu hata midahalo wanakimbia sasa walikimbia mdahalo hata wa udiwani ngugu kama ni kweli ni masupporter wa upande fulani the day wil come
 
Back
Top Bottom