CHADEMA (Odinga) vs CCM (Uhuru) siasa za nje!

CHADEMA (Odinga) vs CCM (Uhuru) siasa za nje!

Karata yangu naitupa kwa Raila Amollo Odinga wa muungano wa CORD.

Lakini hali inavyoonyesha kutakuwa na duru ya pili ya kura.

Uhuru ana mtazamo unaofanania sera za chadema

kukuza uchumi kwa ushirikishwaji wananchi kuanzia mashinani
 
Hii ni porojo usitake kuchagulia watu upande na kuleta uchonganishi wa mahusiano mabaya kwa Nchi zetu za Africa Masharika kisa fikra zako za U-CHADEMA na UCCM!

Kwani kuna ubaya gani kwa Chama fulani kuunga mkono chama kingine cha siasa katika nchi ya jirani? Au kuna ubaya gani kwa wachunguzi wa mambo wakatoa tafsiri ya hali ya mambo ilivyo ktk ukanda wa Afrika Mashariki? Tz, Kenya Uganda ziko EAC, sasa kuna ubaya gani kuzihusianisha harakati za siasa za vyama hapa East Africa Community. Hofu yangu ni kwa Hiki Chama Cha Magamba (CCM) kumchafua Kenyatta kwa propaganda za Ufisadi na uporaji wa mali za umma. Kama Uhuru anasoma thread hii basi akae mbali na hiki Chama cha Mabwepande (CCM)! Asije akachafuka bure!
 
Kinachohitajika katika uchaguzi wa Kenya ni "free and fair elections" la sivyo ni vurugu tupu kwa jirani zetu wapenda ukabila na madaraka.
Nimekutana uso kwa uso na Mzee wa Tembo aka mjuzi wa kupika matokeo Mzee Kinana yupo hapa Nairobi kama msimamizi wa kimataifa!!! Sijui kama atamsaidia Uhuru mbinu za wizi wa kura, lakini ukweli mambo ni magumu na si rahisi kusema nani ataibuka mshindi kati ya Uhuru na Laila. Misururu mirefu imeanza kupungua sasa, hii ikiashiria kwamba wengi tayari wamepiga kura mpaka sasa!!!

Tiba
 
Mkuu, umempa ushauri mzuri Kenyatta na jamii yake ambao aliwaita mashetani wakati anaelezea sababu ya kumnyima Mudavadi nafasi ya kugombea kupitia Jubilee Coalition wakati alishasaini makubaliano. Kenya inahitaji uchaguzi ulio huru na wa haki ili kuleta utawala wa haki. Ujanja wa ki-CCM itaifanya Kenya iwake moto kila mahali.
Kwani kuna ubaya gani kwa Chama fulani kuunga mkono chama kingine cha siasa katika nchi ya jirani? Au kuna ubaya gani kwa wachunguzi wa mambo wakatoa tafsiri ya hali ya mambo ilivyo ktk ukanda wa Afrika Mashariki? Tz, Kenya Uganda ziko EAC, sasa kuna ubaya gani kuzihusianisha harakati za siasa za vyama hapa East Africa Community. Hofu yangu ni kwa Hiki Chama Cha Magamba (CCM) kumchafua Kenyatta kwa propaganda za Ufisadi na uporaji wa mali za umma. Kama Uhuru anasoma thread hii basi akae mbali na hiki Chama cha Mabwepande (CCM)! Asije akachafuka bure!
 
Mkuu, umempa ushauri mzuri Kenyatta na jamii yake ambao aliwaita mashetani wakati anaelezea sababu ya kumnyima Mudavadi nafasi ya kugombea kupitia Jubilee Coalition wakati alishasaini makubaliano. Kenya inahitaji uchaguzi ulio huru na wa haki ili kuleta utawala wa haki. Ujanja wa ki-CCM itaifanya Kenya iwake moto kila mahali.

Kwa maoni yangu binafsi, kama Wakenya hawataki vurugu baada ya kutangazwa kwa matokeo, basi inabidi Laila ashinde uchaguzi huu. Vinginevyo wajaluo ambao ndio wenye fujo nchi hii, hawatakubali matokeo mengine yoyote. Itabidi serikali ijipange vizuri kupambana na challenges endapo Laila hatatangazwa mshindi. Hawa jamaa wana fujo sana you can imagine hata timu yao ya Gor Mahia ikishindwa, wanafanya vurugu.

Hapa sio sulala la kuomba Mungu, ni serikali kujipanga kupambana na wajaluo endapo Laila atashindwa kuchukua kiti cha Urais.

Tiba
 
CCM ni makini sana, wala hawakutamka kuhusu uungaji mkono kwa mgombea yeyote; CHADEMA kutokana na kukosa ukomavu na busara wamejiingiza kichwa kichwa kumuunga mkono ODINGA, jioni ya leo watakula jeuri yao na kupata pigo la kisiasa tukielekea uchaguzi 2014 na 2015

Hivi Magufuli yuko CHADEMA?
 
Uhuru kaja tz kakaa zaidi ya wiki mwezi uliopita, au hilo hujui ila unajua ubishi tu?
Yericko, ninachoona hapa ni ushabiki wenye kiherehere, kwani Uhuru akikaa mwaka mzima hapa mana yake Chama Tawala kinamuunga mkono, Hata ivyo masuala ya uchaguzi yanalindwa na sheria za kimataifa za kidiplomasia, si CCM wala Chadema au Chama chochote kinaweza kushiriki actively au passively kwenye mambo km haya. Hatari yake ipo wazi. Sijui ma-moderators wa JF wapo wapi kuruhusu hoja kmm hizi, au ni kwa vile wanaona unatumia ubini wa Nyerere?
 
MI UCHAGUZI WA KENYA NAUCHUKULIA KAMA MAN U, LIVER, ASENAL AU BARCA TU. kwa sababu hauna maana yeyote kwangu. niushadadaie wa nini wakati kuna wakenya hapa kindoroko mountain view wachukua ajira ya dada yangu wa kipare?
 
Pengine kwa hali nilio iona kipindi hiki inaweza ikawa tofauti kabisa wakenya wamejifunza mengi kutokana na zile vurugu na inaonesha asilimia kubwa hawataki kurudi huko na ndio maana wamekuwa wakihubiri amani kila leo.

Na hata hao viongozi wameonesha kubadilika na wako tayari kukubali matokeo!

Kwa maoni yangu binafsi, kama Wakenya hawataki vurugu baada ya kutangazwa kwa matokeo, basi inabidi Laila ashinde uchaguzi huu. Vinginevyo wajaluo ambao ndio wenye fujo nchi hii, hawatakubali matokeo mengine yoyote. Itabidi serikali ijipange vizuri kupambana na challenges endapo Laila hatatangazwa mshindi. Hawa jamaa wana fujo sana you can imagine hata timu yao ya Gor Mahia ikishindwa, wanafanya vurugu.

Hapa sio sulala la kuomba Mungu, ni serikali kujipanga kupambana na wajaluo endapo Laila atashindwa kuchukua kiti cha Urais.

Tiba
 
Yericko, ninachoona hapa ni ushabiki wenye kiherehere, kwani Uhuru akikaa mwaka mzima hapa mana yake Chama Tawala kinamuunga mkono, Hata ivyo masuala ya uchaguzi yanalindwa na sheria za kimataifa za kidiplomasia, si CCM wala Chadema au Chama chochote kinaweza kushiriki actively au passively kwenye mambo km haya. Hatari yake ipo wazi. Sijui ma-moderators wa JF wapo wapi kuruhusu hoja kmm hizi, au ni kwa vile wanaona unatumia ubini wa Nyerere?

Mkuu unachosema ni sahihi kabisa.
Kuna vi thread vya kipuuzi vingi sana vinavyoashiria kuwa watu hawana mambo ya msingi ya kujadili.
Wakenya wanaofuatilia thread hii wataona upuuzi umejaa hapa.
 
Kwa hali inavyoendelea kwa sasa naona Wakenya wameamua kwa dhati kupiga kura ya ukabila wa waziwazi, Wakikuyu Vs Wajaluo. Kwa uwingi wa wakikuyu nchini Kenya ni dhahiri Kenyatta anashinda uchaguzi huu! Kwa sasa saa 9.53 P.m., Kenyatta (650,000) Odinga ni 450,000.
 
Tuombe Mungu, Odinga atashinda tu
 
Mkuu unachosema ni sahihi kabisa.
Kuna vi thread vya kipuuzi vingi sana vinavyoashiria kuwa watu hawana mambo ya msingi ya kujadili.
Wakenya wanaofuatilia thread hii wataona upuuzi umejaa hapa.
Jidanganyeni tu, huu ndio mchezo wa siasa na tupo kwenye jukwaa la siasa.
 
Bora uhuru awe rais odinga mlalamishi sana na anaongea kama mlevi yupo yupo tu yaani
 
Yericko, ninachoona hapa ni ushabiki wenye kiherehere, kwani Uhuru akikaa mwaka mzima hapa mana yake Chama Tawala kinamuunga mkono, Hata ivyo masuala ya uchaguzi yanalindwa na sheria za kimataifa za kidiplomasia, si CCM wala Chadema au Chama chochote kinaweza kushiriki actively au passively kwenye mambo km haya. Hatari yake ipo wazi. Sijui ma-moderators wa JF wapo wapi kuruhusu hoja kmm hizi, au ni kwa vile wanaona unatumia ubini wa Nyerere?
Acheni danganya toto chezeni siasa za kimataifa kwa karata safi,

Ccm na Chadema wanacheza karata stahiki kila mmoja.
 
Ni ukweli usiotiliwa shaka kuwa CCM inainjinia uchaguzi wa Kenya, na ipo upande wa Uhuru mmoja wa wagombea urais wa Kenya,

Vivyo hivyo chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA, kimejikita katika siasa za kimataifa kwa hapo Kenya huku karata yake kikiitupa miguuni mwa Raila Odinga mmoja wa wagombea anaepewa nafasi kubw ya kushinda kupitia muungano wa vyam ndugu.

Vita hii tunaiangaza kama ni yamapambano ya CHADEMA na CCM kuelekea 2015 hasa kila mmoja akisafisha njia ya kuungwa mkono kumataifa,

Ikiwa ni hivyo tayari ccm na CHADEMA kila mmoja ashashinda kete moja moja, kwanza ni CHADEMA Zambia kwa bwana Satta, na CCM Congo kwa kijana Kabila ambako dhahiri utawala unakula huku umeshikilia sahani mkononi kwani hakuna tumaini la kuweka mezani chakula chini ya M23.

Je ni CHADEMA (Odinga) ama CCM (Uhuru)

Karata yangu naitua kwa CHADEMA.

Ulinganifu sio sawa huu. Magufuri na Rostam(CCM) ni marafiki wa Odinga, katika mpambano huu unawaweka wapi?
 
Tuombe Mungu, Odinga atashinda tu

Mungu gani? Umeandika habari za siasa za Kenya bila kuzifahamu.

Hujui Odiga anagombea kupitia chama gani hujui Kenyatta anagombea kupitia chama gani.

Chadema mtapata aibu kwa kushabikia vitu bila ufahamu.

Rais wa KENYA ni KENYATTA.
 
Mkuu nimeleta mada hii nikiwa nq uelewa mkubwa juu ya siasa za Kenya na za kimataifa kwaujumla'
 
The problem with you guys ni kwamba hamfahamu hapa Afrika kuwa mpinzani anakuwa mwenza wako kabla hajaingia madarakani na akishaingia si mwenzako tena bali ni mwenza wa hasimu wako....!! Hata kama Raila yupo damudamu na CHADEMA, unazani ataendelea kuwa hivyo akishaingia madarakani ili ajiingize kwenye mgogoro na serikali ya CCM?! Katika Afrika, serikali ya nchi moja ku-support oppostion of neighboring country(in any way), will always create diplomatic conflict btn the countries! Hakuna nchi Afrika ambae inaweza kukaribisha jambo kama hilo unless hizo nchi tayari ziwe tayari zina mgogoro kati yao. So, to kuct story short, leo hii Raila akishinda, nyie mwenza wenu ni Uhuru and no longer Raila...open your eyes!
 
Wakati mpaka sasa Uhuru akiwa anaongoza kwa 55% dhidi ya 40% za Odinga. Tayari chama cha ODM kimesema hakina imani na mfumo wa utangazaji wa matokeo hasa uwasilishwaji wake.
Maumivu ya kichwa huanza taratibu, huyu jamaa ni kigeugeu sasa ndio nn kuanza kuwatia hamasa wafuasi wake? Wakati yeye mwenyewe alisema atakubari matokeo na wakenya ndio wameamua?
Hii ngoma inaweza isiende round II, Uhuru anaweza kuimaliza mapemaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom