CHADEMA njaa kali, kuanzia leo siwaamini tena, wapo kimaslahi zaidi

Si lazima mgombea urais au rais awe mwenyekiti wa chama, safu ya uongozi ya cdm itabaki palepale

si wakati tena wa kiongozi wa kutoa kauli kama rais na rais kutoa kaul kama kiongoz wa chama
 
Kwa vile LOWASA ANA HELA NA ANAUWEZO WAK0FLIRT HATA NA MKE WA MBOWE. Na mbowe is CHAGA, AS MONEY IS EVRYTHN..! Anaweza uza hata ukoo mzima. JUST 4 MONEY.
 
wewe mgeni nn kwam hukumbuki kauli ya vua gamba vaa gwanda mkuu? ndiyo iliyo fanyika hata ww ukitaka vua gamba lako vaa gwanda
 
Kwa vile LOWASA ANA HELA NA ANAUWEZO WAK0FLIRT HATA NA MKE WA MBOWE. Na mbowe is CHAGA, AS MONEY IS EVRYTHN..! Anaweza uza hata ukoo mzima. JUST 4 MONEY.

blogger ACHA KUNYWA ZED NI MBAYA SANA !!

ONA SASA UMESHALEWA KIJINGA!!

VIROBA KWELI NI NUKSI

ii
 
Last edited by a moderator:
Miaka kadhaa iliyopita tuliambiwa msamiati mpya wa GAMBA. Hakika, kwa tafsir ya neno hlo, tuliamini kwamba ccm ni chama cha magamba, majambazi, chukua chako mapema. Kauli hzo zlitokana na mambo ya ufisadi ya viongoz wa ccm.
CCM wamevua gamba dodoma kwa kumkata lowassa. CHADEMA wamelivaa kwa mbwembwe.
Heko ccm na pole cdm

Pu.mbavuuuuuuuuu zakoo




Kura yangu ni kwa lowasaaa

Viva ukawa
 
Sister faiza hebu tuangalie hili vizuri, hawa viongozi wa chadema ( wanachama hawana lawama Wao wanafuata maneno ya viongozi wao) hao viongozi waliwaita lowasa,chenge, rostom na maBIG wigs waliokuwa na Lowasa na ambao ni marafiki zake na wadhamini wake MAFISADI , sasa Leo wesha Msafisha Lowasa na hao wakimfuata chadema jee nao watakuwa wasafi kwa lugha Yao .

Hawa ndugu zetu wametuletea methali mpya kabisa. "BANIANI FISADI PESA ZAKE HALALI" au tusema bora PESA
 
Hukumsikia Mbowe jana? CCM hata "ukiingia malaika unatoka Ibilisi", sasa Lowasa ni nani? katokea wapi? daktari wa kanoni Padri Dr.W.Slaa nae katokea wapi?

Naona upo sijui kwenye siku zako za h.e.sh.i..m.a..ndio maana unaongea pumba pumba tuu
 
Last edited by a moderator:
Nimeona nichukue fursa hii kutoa yangu ya mayoni ambayo yamekuwa yakinikereketa sana tangu hizi fununu za kumkaribisha waliyekuwa wakimuita mwizi,fisadi na mla rushwa mkubwa aliyeisababishia nchi yetu hasara ya mabilioni ya shilingi bwana Edward lowasa.

Ni nani leo hii atakaye simama jukwaani na kuoshea vidole tena wala rushwa na mafisadi tukamuamini,au mtu anakuwa mwizi na fisadi kwasababu yuko chama kingine,leo hii nimeamini hakuna mzalendo kutoka chadema ambaye anasema kweli anataka kuliokoa hili taifa.

Nilimsikiliza sana bwana mbowe na hotuba yake ya kisiasa kama yeye alivyosema anaishi kisiasa kweli siasa si uzalendo.

Yaani kisa umaarufu wa Lowassa basi mmekubali kukidharirisha chama na kuonesha ukweli wa mioyo yenu kumbe mlikuwa mnawaadaa wanatazania na kelele zenu za majukwaani.

Kwani si ninyi mliomshambulia lowasa na kuipongeza serikali ya CCM kwa kumuajibisha Loawasa na mkaipongeza kamati ya mwakyembe tena mkiendelea kushinikiza apelekwe mahakamani.

Iko wapi aibu yenu leo hii yale mliyoyatapika mumegeuza kuwa mlo wenu mtakatifu.

hakika nawapongeza sana CCm kwa kuona nchi haiwezi kuongozwa na mwizi,mla rushwa na fisadi,mkamkata na matokeo yake tumeona sera za CHADEMA ni kukumbatia watu wa namna hii.

Hapa hiki chama hakijapata kushika dola wanakumbatia mafisadi namna hii je kikipata si tutapelekwa kuwa watumwa.

mwenye macho na aone na mwenye masikio asikie haya maneno pure man anamwaambia ninyi watazania.

Gari inanesa kwenye mashimo kwakuwa ina springs na shockups, kukosekana kwa springs na shockups kwenye gari, ni tatizo litakalopelekea vifaa vingi kuharibika
Ukiwa rigid katika maisha ni sawa na gari iliyokosa springs na shockups....! Hutafika popote.....
Umeisifia ccm kwakuwa hukuwa na jinsi nyingine ya kufanya, post za namna hii zimekuwa maarufu sana hapa jukwaani wiki hii, inajulikana ni kwanini
Wengi tena wengi sana ukiwemo wewe wanatamani kuwa kama LOWASSA lakini haiba haiwabebi, na ndio chanzo cha yote haya
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimefurahi sana kupita kiasi. Amini hilo.

Nimethibitshiwa maneno na kauli zangu za kila siku humu JF kuwa Mbowe ni fisadi namba moja.

Na hiy iliyokuwa bla bla ya Mbowe na Slaa ya ufisadi ni lelemama tu.

Mama habari za jioni, mimi EL awe kaenda cdm au abaki ccm kwangu ataendelea kuwa fisadi tu. Hebu nikuulize, cdm wamepiga kelele sana kuhusu list ya mafisadi lakini hakuna hatua stahiki zimechukuliwa. Leo hii cdm wameamua kutumia uadui wenu kwa kumpaka EL mafuta kwa mgongo wa chupa ili kuibomoa ccm kwani njia nyingine bado ni ngumu na kete yenye nguvu ndio kumchukua ili atumike kuwaangamiza. Kama mlishindwa kumchukulia hatua leo iweje muwashangae cdm kwa uzembe wenu wa kuchukua hatua? Watu tunahitaji mabadiliko na iwapo mchafu mmoja toka ndani ya ccm atavaa mabomu kuiteketeza ccm sisi tutamsupport hata kama tunajua kabisa ni mchafu.

NB: simkubaki kabisa EL kwani ni fisadi ila nitamuunga mkono kinafiki ili asaidie kuivuruga ccm nami roho yangu itulie.
 
Back
Top Bottom