CHADEMA njaa kali, kuanzia leo siwaamini tena, wapo kimaslahi zaidi

Personally, i hate politics, na sababu zenyewe ndizo tunaziona live...na mimi nisiwe mnafiki, nipo neutral,sipo chadema nor ccm nor any political party for dat matter. I get it ppl no longer want ccm,but does dat mean embrace any baggage at any cost ilimradi tu ineng'olewa madarakani...? Tumekua tukilalamika ccm mafisadi n wat note,and I believe many wameona CDM kama ukombozi flani(wch was true),but sasa kama leo hii,the same ppl are turning their back on their ppl(Dr.) sasa tuseme wana principles kweli au just mere actors giving us a show?kama CDM officials, are true to their party,y not jst take in EL as a member,ikifika awamo nyingine apewe...yani awekwe ptobation period(kwa wote walioajiriwa,tunajua hili)if EL is as powerful and influential as ppl say,basi atavuta watu n CDM wil b da ruling party..my view,ppl want power at any cost,na sisi tukibaki tunashabikia vyama ilimradi tu, I can assure you hatutafika popote..tanzania itageukia nchi kama series," keeping up wt da politicians" lakini mwisho wa siku wl b singn da same cries...
 
Ukawa ilivuwaelewe unapaswa kuwa na kichwa cha mwenda wazimu ndipo uwaelewe.. Lipumba alisema kuwa Lowassa
alipaswa awe jera na anawashangaa CCM kumpa Form ya kugombea urais... alipokatwa Lipumba huyo huyo analalamika eti Lowassa kaonewa... Utetezi eeeeti Lowassa angekuwa ni Fisadi angepelekwa mahakamani kwa hiyo Mafissadi ni wale tu ambao walipelekwa mahakamani... Roastam,Chenge wote hawa siyo mafisadi kwa vile hawakupelekwa mahakamani....

Mpinzani kweli kweli yupojee...? Zitto ndiyo mpinzani halisi wengine ni wapiga madili...Upinzani uwe ni wakutetea Wananchi na siyo Chama upinzani wa Chadema ni kutetea Chama na hakuna watu wa Hovyo kama chadema eeeti wanajiita wafia chama... sasa hapo kunatofauti gani na wale wa kijani.....

Wewe hujawahi kuona jema kwa UKaWA na hasa CHaDEMA hata siku moja. Hata wangeafanyaje wewe una maruwe ruwe yako yasiyokuwa kwenye plan na hata ukieleweshwa huwa ni mgumu kuelewa na mwepesi kusahau.

Msikiliza Tundu lisu upate dhana sahihi ya CHaDEMA kumkaribisha lowasa ndipo utoe challenge kwa hoja si kwa jazba za nasibu.

Na by the way wewe ulitakaje? ACT haiwezi kutoa raisi wa nchi kwa sababu ni mtu mmoja. Nchi haiongozwi na mtu mmoja. Umeelewa wewe?

Mafisadi kama una usongo nao nenda kawashambulie wako kwenye kiwanda chao cha kuwatotolesha ccm. Huko ndiko wanakofuliwa na kukomazwa. Huna sababu na kumwandama Lowasa bila hta kumpa nafasi akakueleza hali halisi ili ujue mashambulizi yako sahihi uyaelekezee wapi.

CHaDEMA umeambiwa ni chama cha siasa cha Watanzania. Mafisadi walioko ccm, ikiwa watawajibika, wajitambue na kuamua kujikosoa na kughairi njia zao mbaya na kujiunga na Watanzania wenye nia njema CHADEMA, wewe nani ACT hasa uwazuie? Utajenga nchi na nani? Au wewe unaamini katika misuguano na matabaka ndiyo kujenga nchi?

Kama ndiyo ufahamu hiyo ndiyo sababu wewe uko ACT and ACT mmezuiliwa kuingia UKAWa kwa sababu ya tofauti hizo.

UKAWA wanaamini katika mabadiliko. Mtu akibadilika, akaamua kuungana na wana mabadiliko kuikomboa nchi, huyo hazuiliwi kujiunga nao kwa sababulengo la UKaWa ni kuwaunganisha watanzania katika kukomboa, kutetea na kulinda maslahi ya taifa kwa ajili ya Watanzania wote bila ubaguzi.

Hizo sera za chuki,zisizo na mwelekeo siyo za UKaWA na hazikubaliki kwa Tanzania yenye amani.

Unatoa povu kwa UKaWA kumpokea fisadi aliyewajibishwa, tena ni mmoja aliyeamua kujiunga na watu wema, unawaancha CCm ambao ndiyo masonara wa kufua mafisadi sugu!. Unashangaza.

Ninaomba uvue chuki na wivu, uvae maarifa na uzalendo kwa maslahi ya taifa.
 
Wewe uliwaamini lini CHADEMA hadi usema kuanzia leo?

Msikilize Tundu Lisu upate dhana sahihi ya CHaDEMA kumkaribisha lowasa ndipo utoe challenge kwa hoja si kwa jazba za nasibu.

Mafisadi kama una usongo nao nenda kawashambulie wako kwenye kiwanda chao cha kuwatotolesha ccm.
 
Nimefurahishwa sana na kitendo cha CHADEMA kumpokea Lowassa kwa kishindo.

Furaha yangu ni kuwa, kitendo hicho kimeisafisha CCM kwa kila hali.

Mbowe amekiri kuwa hakuna ushahidi wa Ufisadi kwa Lowasa, ingawa yeye na Dokta wa kanoni Padri Dr.W.Slaa ndiyo walikuwa mstari wa mbele kumshutumu Lowassa kuwa ni fisadi papa.

Lowassa alishambuliwa sana na Mbowe na Lowassa na CHADEMA nzima, na swahiba yake Rostam Aziz ndiyo usiseme.

Jee, ikiwa Lowassa hawana ushahidi kwa hiyo si fisadi na Rostam wanao ushahidi?

Hapo sasa!

Hawana ushahidi wowote na kashfa zao za kutunga
 
Hata usipopiga kura, rais wako atakuwa ni mwanasiasa tu. Hatuna namna, lazima tuamue.
Sijawahi kumuunga mkono Lowasa, ila CCM ni adui yangu mkubwa. Sina namna.
Mungu akiniwezesha, lazima niamue.
 
nimefurahishwa sana na kitendo cha chadema kumpokea lowassa kwa kishindo.

Furaha yangu ni kuwa, kitendo hicho kimeisafisha ccm kwa kila hali.

Mbowe amekiri kuwa hakuna ushahidi wa ufisadi kwa lowasa, ingawa yeye na dokta wa kanoni padri dr.w.slaa ndiyo walikuwa mstari wa mbele kumshutumu lowassa kuwa ni fisadi papa.

Lowassa alishambuliwa sana na mbowe na lowassa na chadema nzima, na swahiba yake rostam aziz ndiyo usiseme.

Jee, ikiwa lowassa hawana ushahidi kwa hiyo si fisadi na rostam wanao ushahidi?

Hapo sasa!
pole sana mama umepigwa za-ki master!!!!
 
Japo simpendi Lowasa sana.Ila ccm niwaulize swali,hivi huyu Lowasa kama ni fisadi si ndiyo vizuri ametoka ccm kuliko kuendelea kuchafua chama? Munalia nini mitandaoni?si amechagua kivyake kwenda chadema?Badala ya kumtangaza Magufuli mnahangaika nini na fisadi.Hapo ndipo penye akili kuwa,LOWASA ANAZOSIRI NYINGI ZINAZOLITAFUNA TAIFA.Naomba tu aziweke wazi ili tuwajue wanaoturudisha nyuma.
 
Chadema mmedhihirisha kuwa ni mafisadi namba moja Tanzania hii.

Nilipokuwa nnaandika humu kuhusu Mbowe kuwauzia Mafuso 2 chakavu kwa milllioni 600 mliona nnatania?

Leo mmedhihirisah hilo, kuwa ufisadi ilikuwa ni lelemama tu za kukosa chance, sasa mmepata chance ya kuzilamba fedha za huyo mgonjwa basi hamumuiti fisadi, kawa malaika!

Hahahahahahah.

Mchagga kwa fedha yupo tayari kwa lolote. Ikulu mtaisikia gazetini tu.
 
Mbona unaruka ruka hivi?
Si utwambie wale waliochukua ela kwenye viroba Stanbic bank ni akina nani? ESCROW issue na ni ela za walipa kodi.
Mkataba wa richmond aliyeuzuia usivunjwe ni nani kwa maslahi ya nani? (aka mamlaka ya juu) ni nani huyo?
 
Kwa hatua CDM waliyochukua, kumkaribisha "waliyekuwa wanamuimba" katika mikutano yao kila siku, huko bungeni. Ni dhahiri kuwa wameivunja na kuharibu kabisa imani ya walio wengi kuhusu upinzani kutetea wananchi na kusimamia walichokiita rushwa, ufisadi na mafisi wa ufisadi. Ni dhahiri kuwa ule wimbo sasa umekoma, sasa sielewi watakuwa wanaimba wimbo gani majukwaani, sasa wstakuja na mbinu za kumsafisha waliyekuwa wanamsema ovyo ovyo...

Binafsi sina imani na ukawa tena, nilikuwa nasubiri ukawa wasimamishe mtu wao ili nianze kupima na kuchekecha, lakini sasa sina sababu ya kufanya hivyo sababu najua kura yangu inaenda wapi.
 
Miaka kadhaa iliyopita tuliambiwa msamiati mpya wa GAMBA. Hakika, kwa tafsir ya neno hlo, tuliamini kwamba ccm ni chama cha magamba, majambazi, chukua chako mapema. Kauli hzo zlitokana na mambo ya ufisadi ya viongoz wa ccm.
CCM wamevua gamba dodoma kwa kumkata lowassa. CHADEMA wamelivaa kwa mbwembwe.
Heko ccm na pole cdm
 
Wewe uliwaamini lini CHADEMA hadi usema kuanzia leo?

Msikilize Tundu Lisu upate dhana sahihi ya CHaDEMA kumkaribisha lowasa ndipo utoe challenge kwa hoja si kwa jazba za nasibu.

Mafisadi kama una usongo nao nenda kawashambulie wako kwenye kiwanda chao cha kuwatotolesha ccm.
Teh teh teh!!

Naona umekubali yaishe zile kelele za Lowassa fisadi hafai kwisha habari yake.

Rais wa moyo wako Dr.Slaa kaampisha Fisadi Lowassa, njaa mbaya.

Tumsikilize Tundu Lissu wa nini mkuu kinachoendelea wala kipo wazi kabisa Mbowe kauza Chadema kwa Fisadi.

Ndiyo maana unaona show yote anaisimamia Mbowe na vijana wake Lissu, na Mwalimu.
 
pole sana mama umepigwa za-ki master!!!!

Mimi nimefurahi sana kupita kiasi. Amini hilo.

Nimethibitshiwa maneno na kauli zangu za kila siku humu JF kuwa Mbowe ni fisadi namba moja.

Na hiy iliyokuwa bla bla ya Mbowe na Slaa ya ufisadi ni lelemama tu.
 
Wewe hujawahi kuona jema kwa UKaWA na hasa CHaDEMA hata siku moja. Hata wangeafanyaje wewe una maruwe ruwe yako yasiyokuwa kwenye plan na hata ukieleweshwa huwa ni mgumu kuelewa na mwepesi kusahau.

Msikiliza Tundu lisu upate dhana sahihi ya CHaDEMA kumkaribisha lowasa ndipo utoe challenge kwa hoja si kwa jazba za nasibu.

Na by the way wewe ulitakaje? ACT haiwezi kutoa raisi wa nchi kwa sababu ni mtu mmoja. Nchi haiongozwi na mtu mmoja. Umeelewa wewe?

Mafisadi kama una usongo nao nenda kawashambulie wako kwenye kiwanda chao cha kuwatotolesha ccm. Huko ndiko wanakofuliwa na kukomazwa. Huna sababu na kumwandama Lowasa bila hta kumpa nafasi akakueleza hali halisi ili ujue mashambulizi yako sahihi uyaelekezee wapi.

CHaDEMA umeambiwa ni chama cha siasa cha Watanzania. Mafisadi walioko ccm, ikiwa watawajibika, wajitambue na kuamua kujikosoa na kughairi njia zao mbaya na kujiunga na Watanzania wenye nia njema CHADEMA, wewe nani ACT hasa uwazuie? Utajenga nchi na nani? Au wewe unaamini katika misuguano na matabaka ndiyo kujenga nchi?

Kama ndiyo ufahamu hiyo ndiyo sababu wewe uko ACT and ACT mmezuiliwa kuingia UKAWa kwa sababu ya tofauti hizo.

UKAWA wanaamini katika mabadiliko. Mtu akibadilika, akaamua kuungana na wana mabadiliko kuikomboa nchi, huyo hazuiliwi kujiunga nao kwa sababulengo la UKaWa ni kuwaunganisha watanzania katika kukomboa, kutetea na kulinda maslahi ya taifa kwa ajili ya Watanzania wote bila ubaguzi.

Hizo sera za chuki,zisizo na mwelekeo siyo za UKaWA na hazikubaliki kwa Tanzania yenye amani.

Unatoa povu kwa UKaWA kumpokea fisadi aliyewajibishwa, tena ni mmoja aliyeamua kujiunga na watu wema, unawaancha CCm ambao ndiyo masonara wa kufua mafisadi sugu!. Unashangaza.

Ninaomba uvue chuki na wivu, uvae maarifa na uzalendo kwa maslahi ya taifa.
CHADEMA imetumia miaka tisa ikimwandaa-Dk. Slaa na familia yake-katika maisha ya taasisi ya Rais wa Tanzania kutokana na trends za kisiasa nchini. Ametembelea nchi nyingi duniani kujifunza kazi za Rais na mahitaji ya nchi. Amehudhuria mikutano na makongamano yenye shabaha ya kupanua mitazamo na fikra za kiutendani katika ofisi ya Rais.Mpaka wiki iliyopita, Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Ezekiah Wenje alinukuwa na Stav TV akisema Kamati Kuu ya CHADEMA ilimpitisha Dk. Slaa kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA. Kama hiyo haitoshi, alikuwa mbioni kutangazwa kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA au UKAWA.Matarajio na ndoto yake imefutika ghafla-baada ya ujio wa Edward Lowassa kwenye ulingo wa siasa za upinzani na kukabidhiwa kadi ya CHADEMA, na kama hiyo haitoshi, Edward Lowassa kimantiki anamtaka apeleke vielelezo vya ufisadi wake mahakamani au akae kimya!Kwa sasa hata wale waliokuwa wanadai ni Rais wa moyoni, hawaonekani tena!This is a sad ending for Dk. Slaa and his family!Kweli siasa hazina huruma na mbaya zaidi, hazina rafiki wa kudumu na adui wa kudumu!Politics is a brutal business!Ama kweli, tenda wema uende zako, usisubiri shukrani!
 
Sympathy kwa Dr. Slaa umeitoa wapi leo?
 
Lowassa amekuwa anatafuta pa kutokea pale alipoueleza umma wa Tanzania kuwa kuna mamlaka ya juu iliyomsababishia kuvikwa jina la "fisadi"

Kwa upande wa urais akibwagwa atatoa visingizio lukuki ikiwemo mamlaka ya juu yake kwenye chama. Kimtazamo tu, ni kuwa, patanoga zaidi akiachiwa na uenyekiti wa chama.
 
Back
Top Bottom