Ila baada ya vilio vya Watanzania wengi Mungu akantandika bakora moja ya corona chali, na baada ya yeye kufa na vifo vikakomaChadema ni mapunguani ndio maana magufuli alikuwa anayatandika bakora na mijeledi.
Ila baada ya vilio vya Watanzania wengi Mungu akantandika bakora moja ya corona chali, na baada ya yeye kufa na vifo vikakomaChadema ni mapunguani ndio maana magufuli alikuwa anayatandika bakora na mijeledi.
Maasai Ngorongoro waliuwawa na utawala wa Nan sasa kama vifo vimekoma?Ila baada ya vilio vya Watanzania wengi Mungu akantandika bakora moja ya corona chali, na baada ya yeye kufa na vifo vikakoma
Magu rafiki wa maskini aliyedhamiria kusaidia a nao watoke ktk vilindi vya Umaskini.
Abarikiwe.
Unajua mipango aliyokuwa nayo Magu juu ya watu wa kipato Cha chini?Umachinga, upiga debe, bodaboda na kuuza mihogo ya kukaanga vijiweni bado ni umaskini tu.
Mfano nani alimtoa kwenye huo umasikini wenu mnaojisifia nao?Magu rafiki wa maskini aliyedhamiria kusaidia a nao watoke ktk vilindi vya Umaskini.
Abarikiwe.
Dola kuu tulikuwa tunapelekwa na mtu ambaye hawezi kuongea hata sentence moja ya kiingereza iliyonyooka huku ana PhD ambayo aliipata kwa lugha ya kingereza hicho hichoUnajua mipango aliyokuwa nayo Magu juu ya watu wa kipato Cha chini?
Unajua alikuwa anaenda kujenga masoko ya kisasa mangapi Nchi nzima ku Accommodate wafanyibiadhara wadogo Nchi nzima...
Hilo ndilo hasa tatizo. Kukopa kwa nchi ni kawaida. Kinachogomba ni kuwa wanakopa halafu fedha zinatumika kwa matanuzi ya watawala.Tukope kwa miradi ya maendeleo (development expenditure) tusikope kwa matumizi ya kawaida(recurrent expenditure)
Yaani unamlinganisha hayati Nyerere na vitu vya hovyo 😡😡Hakupora mkuu, Nyerere alitaka umiliki sawa wa mapato, haiwezekani wengine wawe matajiri sana, halafu wengine masikini,,
Ndiposa akaitisha azimio la arusha, na kutaifisha viwanda, majumba, na fedha za mabepari,
Ninakwambia una tatizo mahala.Dola kuu tulikuwa tunapelekwa na mtu ambaye hawezi kuongea hata sentence moja ya kiingereza iliyonyooka huku ana PhD ambayo aliipata kwa lugha ya kingereza hicho hicho
🤣🤣🤣🤣🤣
Amen.Unajua mipango aliyokuwa nayo Magu juu ya watu wa kipato Cha chini?
Unajua alikuwa anaenda kujenga masoko ya kisasa mangapi Nchi nzima ku Accommodate wafanyibiadhara wadogo Nchi nzima?
Unajua baada ya miaka 10 ya Magu tungekuwa wapi kiuchumi tabaka la chini?
Je, wajua wakati tunapata uhuru Dollar ilikuwa almost sawa na Tshs? Thamani ya shilingi ya Tanzania ilikuwa imara sana!!!
Tulipopata uhuru ,China na Tz wajua hatukuwa na tofauti sana kiuchumi?
Je wajua Magu alidhamiria kulipeleka Nchi ktk Uchumi wa kati na hatimaye tuwe mojawapo kati ya Dola kuu hapa Afrika?
Maono ya MAGUFULI hajaenda nayo Kaburini,
Tutayaishi na kuhakikisha YANATIMIA,
Na soon atatawala mtu mwenye kwenda kukamilisha maono hayo.
Aamen
Utatukuza lugha ambayo huijui? Kingereza alikuwa hakijui so akajificha kwenye kichaka cha uzalendo. Hata PhD yake ni fake na ndiyo sababu ya kifo cha Saa8.Ninakwambia una tatizo mahala.
Yaani kiongozi mzuri mwenye kuamini ktk AFRICANISM apimwe Kwa lugha za KIKOLONI...
Magu alikuwa na akili za kipekee.Utatukuza lugha ambayo huijui? Kingereza alikuwa hakijui so akajificha kwenye kichaka cha uzalendo. Hata PhD yake ni fake na ndiyo sababu ya kifo cha Saa8. Kama huamini hilo la kutokujua kingereza sema niweke moja ya clip zake akiongea hiyo lugha,utacheka ufe. Hata ukitaka nikutumie pm sema
Endelea kujifariji funza weweSijui ni mtu mjinga kiasi gani anayeamini kuwa Magufuli hakukopa
Ni rais aliyekopa zaidi ndani ya miaka 5 kuliko Kikwete na Mkapa walivyokopa kwa miaka 10
Endelea kujifariji funza weweSio kukopa tu nakuiba pia.
Mwl NYERERE said: Serikali dhalimu duniani kote hazikusanyi Kodi Kwa matajiri,Sijui ni mtu mjinga kiasi gani anayeamini kuwa Magufuli hakukopa
Ni rais aliyekopa zaidi ndani ya miaka 5 kuliko Kikwete na Mkapa walivyokopa kwa miaka 10
Eti kiingererza alikuwa hakijui, pathetic wewe na ukoo wenu kwa ujumlaMagu alikuwa na akili za kipekee.
Hakuwa Genius Bali alikuwa ANGELOUS!!!![emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kwa hiyo hakukopa?Mwl NYERERE said: Serikali dhalimu duniani kote hazikusanyi Kodi Kwa matajiri,
Hukimbizana na wachuuzi wa mabarabarani Kila kukicha.
Magu alishughulika na matajiri waliomiliki Uchumi Kwa kukwepa KODI.
Nakumbuka Kuna muda Vituo vya mafuta matajiri waliungana Ili kugomea EFD, alimwambia wazifunge, BAADAYE wakaufyata.
Abarikiwe huko aliko.
Alikopa Magu,Kwa hiyo hakukopa?
Makusanyo kipindi cha Magufuli yalikuwa ni kiasi gani na hivi sasa ni kiasi gani?Alikopa Magu,
na Alisema wazi anakopa sababu uwezo wa kulipa anao sababu alikuwa anakusanya KODI.
Saiz wanakopa Kwa Kasi na Hawakusanyi Kodi Kwa matajiri.
Umeliona tofauti???
Kawaulize TRA,Makusanyo kipindi cha Magufuli yalikuwa ni kiasi gani na hivi sasa ni kiasi gani?