Chadema nini msimamo wenu kwenye suala la kukopa?

Chadema nini msimamo wenu kwenye suala la kukopa?

JPM alipokuwa anasisitiza kupunguza utegemezi wa mikopo kwajili ya maendeleo ya nchi, Chadema walipinga sana na kusisitiza kuwa lazima tukope.

Leo mama anakopa hadi ela ya kununua chumvi mnaona hiyo haifai, sasa mmesimama kumshangilia Ruto anapoongea kauli ileile aliyoongea JPM.

Tupeni msimamo wa chadema kuhusu kukopa maana siku hazigandi maybe baadae mnawezakamata nchi je mtafanya nini katika agenda ya ukopaji?
View attachment 2471740
CHADEMA haijachukua nchi hivyo swali lako ni la kipuuzi kwa sababu Mpaka sasa hawana mtu yeyote Serikalini,uliza ccm wenzio watakujibu je hoja ya kukopa kopa ni Agenda ya chama chenu au mtu binafsi?
 
Umeongea Point nyingi,

Bt umeharibu uliposema TRA wamevika lengo la ukusanyaji Kodi!!

Cooked cooked data!!!!!!!!!

Tulipo sasa na tunakoelekea mishahara itashindikana kulipia sababu ya kujua Kwa riba na madeni ya mikopo.
Kwani kipindi Cha JPM data hazikua cooked? Wakati wapinzani tunasema data za GDP na Makusanyo zimepikwa mlisema tunatumika na mabeberu.

Kingine deni likiwa kubwa linakuwa restructured yaani kama billion 10 na Mwaka mmoja umebaki unaextend miaka 5 Ili ulipe 2 B pekee kila mwaka na unalipa kidogo zaidi kwa muda mrefu. Btw Hata Mama Samia Bado analipa deni la Mkapa na JK meaning anayekuja atalipa madeni ya JPM and so on.

I'm against mikopo thou
 
Sijui ni mtu mjinga kiasi gani anayeamini kuwa Magufuli hakukopa
Ni rais aliyekopa zaidi ndani ya miaka 5 kuliko Kikwete na Mkapa walivyokopa kwa miaka 10
Na kazivilionekana!
Na alikopa na kuzuia kuibiwa,tofauti na sasa!
Sasa tunakopa halafu tunaziiba zote!
 
Mbo
JPM alipokuwa anasisitiza kupunguza utegemezi wa mikopo kwajili ya maendeleo ya nchi, Chadema walipinga sana na kusisitiza kuwa lazima tukope.

Leo mama anakopa hadi ela ya kununua chumvi mnaona hiyo haifai, sasa mmesimama kumshangilia Ruto anapoongea kauli ileile aliyoongea JPM.

Tupeni msimamo wa chadema kuhusu kukopa maana siku hazigandi maybe baadae mnawezakamata nchi je mtafanya nini katika agenda ya ukopaji?
View attachment 2471740

Mbona Magufuli alikopa Sana.
 
Kiongozi gani wa CHADEMA alitoa kauli ya kupendekeza kukopa
 
JPM alipokuwa anasisitiza kupunguza utegemezi wa mikopo kwajili ya maendeleo ya nchi, Chadema walipinga sana na kusisitiza kuwa lazima tukope.

Leo mama anakopa hadi ela ya kununua chumvi mnaona hiyo haifai, sasa mmesimama kumshangilia Ruto anapoongea kauli ileile aliyoongea JPM.

Tupeni msimamo wa chadema kuhusu kukopa maana siku hazigandi maybe baadae mnawezakamata nchi je mtafanya nini katika agenda ya ukopaji?
View attachment 2471740
Lema na Lissu waliacha madeni makubwa pale Bungeni.

Na Mali za Lema Kila mara zinatishiwa kuuzwa kwa madeni.

Mbowe ndio usiseme, anakopa kuanzia kwenye karata mpaka mabenki.

Mnyika Ile midaladala yake inayozurura hapo Dsm ni mikopo
 
Mwl NYERERE said: Serikali dhalimu duniani kote hazikusanyi Kodi Kwa matajiri,

Hukimbizana na wachuuzi wa mabarabarani Kila kukicha.

Magu alishughulika na matajiri waliomiliki Uchumi Kwa kukwepa KODI.

Nakumbuka Kuna muda Vituo vya mafuta matajiri waliungana Ili kugomea EFD, alimwambia wazifunge, BAADAYE wakaufyata.

Abarikiwe huko aliko.
Yule alikuwa mwizi muongo na muuaji, alikuwa anapora pesa za watu bank
 
JPM alipokuwa anasisitiza kupunguza utegemezi wa mikopo kwajili ya maendeleo ya nchi, Chadema walipinga sana na kusisitiza kuwa lazima tukope...
Magufuli hakukopa? Unamaanisha Magufuli huyu huyu aliyeendesha serikali ya awamu ya 5 au?
 
JPM alipokuwa anasisitiza kupunguza utegemezi wa mikopo kwajili ya maendeleo ya nchi, Chadema walipinga sana na kusisitiza kuwa lazima tukope...
Msimamo wa chadema unaeleweka,, tunapinga aina zote za mikopo,

Maendeleo yafanywe na wananchi wenyewe,, watu walipe kodi, 😂

Kwenye hili hamna mtu atakwepa na hatuna mzaha, hata kidogo🤷‍♂️
 
Wewe ni sehemu ya watu wanaowapa watu wengine dola??
DEMOCRACY in most cases ni DEMON CRASIE au Uhuru wa KIPEPO.

CDM watuambie mapema ikiwa USHOGA pia ni Democrasia na HAKI za binadamu mapema kabla hatujawaamini kuwapa DOLA!!
 
Yule alikuwa mwizi muongo na muuaji, alikuwa anapora pesa za watu bank
Hakupora mkuu, Nyerere alitaka umiliki sawa wa mapato, haiwezekani wengine wawe matajiri sana, halafu wengine masikini.

Ndiposa akaitisha azimio la arusha, na kutaifisha viwanda, majumba, na fedha za mabepari,
 
Lakini Mama amekopa zaidi ya JPM kwa miaka 5 na yeye mwenyewe kakaa madarakani miaka 2.
Simple reason, jpm kaacha miradi yake mikubwa ikiwa katika initial stage, na hakuacha pesa
 
Back
Top Bottom