CHADEMA ni wanaharakati na sio wanasiasa

acheni mawazo mgando jamani, huyo mwananchi anayekosa hata kifungua kinywa asubuhi anawezaje kulima? na huko kulima tutalimaje na wakati mnaanzia propaganda za kilimo kwanza ili kufufua maduka yenu (CCM leaders) ya pembejeo na tender za kuagiza? hukumkulima akiumia kwa kuuza mazao bila vat na kununua kila anachohitaji kikiwa na vat/ na hapo pia tunakosea kuwaelimisha wananchi?

CDM wanawapotezea wakulima muda wao wa kufanya shughuli za kilimo, na mvua hizi zikipita na wasipo lima , nyie mtawapa hela za kujikimu ? mtawakimbia na kuilaumu serikali iwape chakula kutoka SGR, kumbe chanzo ni nyie. Waacheni wananchi waende kwenye shughuli za uzalishaji mali
 
huwa unaliwa kiboga

Ha ha ha haaa tunashukuru kutufahamisha na kutujuza kuwa unaliwa kiboga, ndio maana nikasema mie sio mchicha mwiba, sijui km unaelewa maana ya hilo neno. Kwa hivyo basi jitayarishe nije kula kiboga yakhe
 
haina ubishi cdm ni chama cha umoja wa wanaharakati wanaotumia nguvu nyingi kuliko busara ili kuhakikisha malengo yao yanatimizwa pasipo kujali mustakabali wa watz.
Ukitaka kujua utashi wa chadema ni kuingia ikulu pasipo kujali maisha ya wananchi wa kawaida ni wakati huu wa kilimo kwenda mikoani wakigawana ruzuku huku wananchi wakikosa kushiriki shughuli za kilimo.

wakerereketwa wa cdm fikirini mara mbili kwani mnadhuru jitihada za wananchi kujitafutia ridhiki kipindi hiki cha kulima ama mnatibua kwa makusudi jitihada za serikali iliyopo madarakani kuwainua kipato cha watz kupitia kilimo kwanza????

mpo wengi mliojiunga na jf baada ya magamba. kweli mmeamua kujivua. ila hapa jamvini si mahala pa siasa,pamejaa great thinkers so njooni taratibu vinginevyo tutawavua mpaka hizo ngozi zenu. siku zote hizo mlikuwa wapi kutumia mitandao ya kijamii kuwaelimisha watz mpaka mmevuana magamba huko ndo mmekumbuka. karibuni sana jamvini tuwaone km mnafika hata 30.
 
Kutokana yale yanayoendelea hivi sasa kwa CDM , ni wazi kabisa CDM sio chama cha siasa , ni chama cha WANAHARAKATI. Kwa hivyo wanatakiwa wajibadilishe kutoka uana harakati kuwa wanasiasa, la sivyo wabadilishe usajili kwani wana harakati wanajulikana wapi waliposajiliwa kama TGNP , TAWLA etc . Ni vyema wakajiunga na hivyo vyama vya uana harakati , huo ni ushauri wa bure !

I would love to see you writing what it takes to be politicians than simply uttering things you can't distuingish!
 
CDM wanawapotezea wakulima muda wao wa kufanya shughuli za kilimo, na mvua hizi zikipita na wasipo lima , nyie mtawapa hela za kujikimu ? mtawakimbia na kuilaumu serikali iwape chakula kutoka SGR, kumbe chanzo ni nyie. Waacheni wananchi waende kwenye shughuli za uzalishaji mali

unajua kulima wewe mswahili wa pwani?

unafikiri kulima ni sawa na kula pweza eeh?
 
Kutokana yale yanayoendelea hivi sasa kwa CDM , ni wazi kabisa CDM sio chama cha siasa , ni chama cha WANAHARAKATI. Kwa hivyo wanatakiwa wajibadilishe kutoka uana harakati kuwa wanasiasa, la sivyo wabadilishe usajili kwani wana harakati wanajulikana wapi waliposajiliwa kama TGNP , TAWLA etc . Ni vyema wakajiunga na hivyo vyama vya uana harakati , huo ni ushauri wa bure !
Vyama vyote vya Jamii ni vya kiharakati ndugu yangu jihusishe na usomaji wavitabu ili upate mwanga zaidi juu ya maswala ya kijamii!!Kwani uliambiwa TANU wakati wanapigania uhuru wa nchii walikuwaje??Au hili neno Harakati unalijua tofauti wengine tunavyo lijua??
 
mpo wengi mliojiunga na jf baada ya magamba. kweli mmeamua kujivua. ila hapa jamvini si mahala pa siasa,pamejaa great thinkers so njooni taratibu vinginevyo tutawavua mpaka hizo ngozi zenu. siku zote hizo mlikuwa wapi kutumia mitandao ya kijamii kuwaelimisha watz mpaka mmevuana magamba huko ndo mmekumbuka. karibuni sana jamvini tuwaone km mnafika hata 30.

Ha ha haaaa kumbe na mwenyewe umejiunga juzi juzi pia , kweli nyani haoni kundule !
 
Vyama vyote vya Jamii ni vya kiharakati ndugu yangu jihusishe na usomaji wavitabu ili upate mwanga zaidi juu ya maswala ya kijamii!!Kwani uliambiwa TANU wakati wanapigania uhuru wa nchii walikuwaje??Au hili neno Harakati unalijua tofauti wengine tunavyo lijua??

Sasa kama mnakiri nyie ni wanaharakati mmesajiliwa siko. Wanaharakati hawasajili kwa Tendwa ni vizuri mkabadilisha usajili wenu ndio maana GT kama sie tumeliona hilo na kuliuliza
 
CDM wanawapotezea wakulima muda wao wa kufanya shughuli za kilimo, na mvua hizi zikipita na wasipo lima , nyie mtawapa hela za kujikimu ? mtawakimbia na kuilaumu serikali iwape chakula kutoka SGR, kumbe chanzo ni nyie. Waacheni wananchi waende kwenye shughuli za uzalishaji mali
Sasa ndugu yangu kule singida Nape wako anaomboleza au huko kuna msiba??je wakulima hawapo??
 
unajua kulima wewe mswahili wa pwani?

unafikiri kulima ni sawa na kula pweza eeh?

Mie nako nalima bana, mambo ya bure bure ya cdm siyawezi, waonekana ww ndio muumini wa mambo ya bure bure ! na hiyo inaenda mpaka kwenye familia , sasa umaskini mtauondoa saa ngapi ? fanyeni kazi acheni kubweteka na sera mgando zisizo tekelezeka za cdm
 
Sasa ndugu yangu kule singida Nape wako anaomboleza au huko kuna msiba??je wakulima hawapo??

Wao wanafanya mikutano na tena ni jioni na si maandamano kama ya cdm ambapo huanzia asubuhi mpaka jioni, sasa wananchi wazalishe saa ngapi ?
 
Kutokana yale yanayoendelea hivi sasa kwa CDM , ni wazi kabisa CDM sio chama cha siasa , ni chama cha WANAHARAKATI. Kwa hivyo wanatakiwa wajibadilishe kutoka uana harakati kuwa wanasiasa, la sivyo wabadilishe usajili kwani wana harakati wanajulikana wapi waliposajiliwa kama TGNP , TAWLA etc . Ni vyema wakajiunga na hivyo vyama vya uana harakati , huo ni ushauri wa bure !

Shut up your Mouth!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Namsubiri MkamaP aje hapa amwage cheche na yeye amalizie na kicheko "teteteteee...."
 
Anakuja lini mkuu ?

Yuko safarini!

attachment.php
 
Attachments

  • GB.jpg
    GB.jpg
    28.8 KB · Views: 68
Kutokana yale yanayoendelea hivi sasa kwa CDM , ni wazi kabisa CDM sio chama cha siasa , ni chama cha WANAHARAKATI. Kwa hivyo wanatakiwa wajibadilishe kutoka uana harakati kuwa wanasiasa, la sivyo wabadilishe usajili kwani wana harakati wanajulikana wapi waliposajiliwa kama TGNP , TAWLA etc . Ni vyema wakajiunga na hivyo vyama vya uana harakati , huo ni ushauri wa bure !
Kwa nchi kama Tanzania chama cha upinzani kinaporudi nyuma na kutetea wananchi badala ya itikadi na sera zake basi ifahamike kwamba chama Tawala kipo matatani.. Dalili moja kubwa ya kuanguka kwa serikali tawala ni pale vyama vinapoacha siasa na kuanza kushughulikia haki za kikatiba ambazo zinakiukwa na chama tawala..

Mimi nadhani ushauri huu wausome vizuri CCM, wajipange upya na kusimamia sheria kuilinda katiba ya nchi yetu lakini kama sheria itaendelea kuwa nguzo ya kukilinda chama na baadhi ya mabwanyeye basi hizi harakati hazitakuwa za Chadema, CUF wala TLP zitakuwa jukumu la kila mwananchi na hakika CCM atapigwa vita kama mkoloni aliyevamia nchi..
 
Back
Top Bottom