Prof. Lipumba yupo katika njozi ya elimu kubwa kwenye siasa za aruaarua. Wingi wa degree si sifa ya kuwa na busara, uongozi ni busara zaidi kuliko hoja mantiki ambazo uwaongozao hawazielewi. Kwa kutambua hivyo wahenga walishawatenga wanajamii na majukumu yao tangu nyakati hizo. Akili kubwa na iliyobora inayokutenga na jamii unayotaka kuitumikia ni sawa na brigedia mwenye elimu bora katika jeshi kufundisha mgambo mbinu ya kutengeneza nuklia, ndio ni maarifa bora bali itamchukua miaka kufika apatakapo.
Kama mcheza disco anaeleweka kwa wapiga kura huyo ndiye professor wa siasa, siasa ni ufuasi wa watu, yeye aendelee kujichanganya CDM inapepea, abaki na kijicho chake