CHADEMA ni Wacheza Disko - Prof. Lipumba

Lipumba kimba kweli mpinzani anadis wapinzani kweli huyu ni ccm damu ku.........................ye zake!
 
Wewe ndo umeanza kuisikia siasa leo nini.Huu ni mwendelezo tu wa siasa njaa na fake za kibongo.
Lipumba kimba kweli mpinzani anadis wapinzani kweli huyu ni ccm damu ku.........................ye zake!
 
Hujui kama CUF ina tawala?

cuf haitawali bali wanalishwa na magamba ni njaa tu za kina lipumba wamepewa vijiuongozi vya kuwaziba midomo tu sababu ya minyoo waliyo nayo,wameolewa na magamba
 
Magwanda nimeyavaa kabla chadema hawajaanza kuvaa yale magwanda ya wawindaji (wachungaji) wa kiingereza.

Yetu ya kijani.

Sasa hivi tunavaa uzalendo.

Inaelekea we n afisamtendaj wa kijj chenu hongera but over 2015
 
Magwanda nimeyavaa kabla chadema hawajaanza kuvaa yale magwanda ya wawindaji (wachungaji) wa kiingereza.

Yetu ya kijani.

Sasa hivi tunavaa uzalendo.

Kama kawaida yenu(ccm)kukopi toka kwa Chadema.
 
Back
Top Bottom