CHADEMA ni tawi tiifu la CCM

CHADEMA ni tawi tiifu la CCM

One thing u need to know JF kuna vingi ni utani wa jadi na its all love ... hakuna siasa za vita...

Usisumbuke na grammar mbovu kujaribu kusisitiza point koz am sure hata aliyeanzisha uzi alijua anafanya joke...

Kuita chadema tawi la ccm hajupunguzi the real value of chadema..

Relax mwana[emoji16]

Ninakazia:

IMG_20210418_081410_512.jpg


Relax buddy😂😂!
 
Am glad akili imeanza kurudi[emoji16]

Congratulations buddy: "hatimaye imeanza kukurudia eeh?" Shikilia hapo hapo ikishakurudia yote utakuwa sensible tu." Mvumilivu hula mbivu.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Tuko powa ccm mwenzangu...
Kidumu[emoji16][emoji16]
Congratulations buddy: "hatimaye imeanza kukurudia eeh?" Shikilia hapo hapo ikishakurudia yote utakuwa sensible tu." Mvumilivu hula mbivu.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Ccm ni ileile boss...[emoji16][emoji16]
Mataga haikufi... inajibadilisha tu

Upinzani mnatuangusha kuwa maboya fuata upepo
Tungejuwa fuata upepo tusingempinga kiasi kile mwendazake, kaja mama kidogo kaonyesha mweleke mzuri, ungeniambia Mataga ndio fuata upepo maana mama Samia mengi anapingana na mwendazake lakini yule mlishangilia na huku mnashangilia
 
Hamna.. mama ni yuleyule...na ccm ni ile ile... chama chenye uwezo wa kujibadilisha...

Unasahau boss hata Magu mlimisifia mwanzoni... mkasema anafanyia kazi sera za chadema...

Mama anawaweka sawa tu mjichanganye ....
Tungejuwa fuata upepo tusingempinga kiasi kile mwendazake, kaja mama kidogo kaonyesha mweleke mzuri, ungeniambia Mataga ndio fuata upepo maana mama Samia mengi anapingana na mwendazake lakini yule mlishangilia na huku mnashangilia
 
[emoji16][emoji16]mtani..

Mzee alikata funua...

Jamaa alinifanya niwaheshimu wasukuma[emoji16][emoji16]
Ni kweri mjomba:

"Ndiyo maana bunge lote na chaguzi zote limeachiwa chama mboga mboga."

Walituchelewesha mno.

Au nasema uongo ndugu zangu.
 
[emoji16][emoji16]mtani..

Mzee alikata funua...

Jamaa alinifanya niwaheshimu wasukuma[emoji16][emoji16]

Basi sasa na watupe muda tupumue kwanza.

Salamu hizi ziwafikie wasukuma wote bila kuwasahau kina bashiri, pole pole, katelefoni, kibaka wa mbeya na wale wa pande za chato.

Hiiiiii bagosha!
 
Ndugu zangu,

Huwa ninasema na nitaendelea kusema kuwa CHADEMA ni tawi tiifu la CCM. Hata sasa mijadala ya kisiasa inayoendelea wafuasia wa Chadema ni "follower" wa makada wa CCM. utasikia "Samia amteue fulani amuache fulani" au "urais mwaka Fulani twende na fulani"..


Nimeambatanisha uzi nikionyesha jinsi kada wa CCM anavyofanya kazi ndani ya Chadema kama Mwenyekiti.

Mbowe katangaza kuwa Chadema haitashiriki uchaguzi wowote nchini, hii ni dhahiri anataka kuhakikisha CCM inashika hatamu kwenye kila nyanja bila kupingwa.

Tuendelee kusubiri
Nikikumbuka Mbowe alivyobadili gia angani kwa kuwadhalilisha Prof. Lipumba na Dk. Slaa waanzilishi wa UKAWA na kumtukuza Lowassa wa CCM...... Hatari sana....!!
 
Wenye hilo tawi la CCM ndiyo hawa hawa mliowaibia kura, mkawaibia hata mali zao, mkawauwa, wengine wao wakakimbilia ukimbizini nk?

Inabidi uwe na dishi lililoyumba kuwa na mawazo kama yako mjomba.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Kudhulumiana, kukomoana na kushughulikiana ndo utamaduni wa CCM. Angalia kilichompata Lowassa, Membe, Sofia Simba, Sumaye na wengine.

Lakini hata hivyo, unatakiwa ukumbuke ukweli kwamba zimwi likujualo halikuli likakwisha kwani licha ya "unyama" huo wa CCM kwa CHADEMA bado iliwabakizia "vijikura" vya kutosha kuingiza viti maalumu 19 bungeni na Spika Ndugai anawalinda.

Kwahiyo CHADEMA kuibiwa kura haiondoi ukweli kuwa ni tawi tiifu la CCM.
 
Kamanda acha jazba
"Chadema kuwa ni tawi tiifu la CCM" is a foolish statement of fools.

I was drawn to this thread only to call the sympathising fools of that statement by their actual names.

I have done my part diligently. For that I'm delighted.

Kazi niliyokuja kuifanya nimeimaliza.

Bye bye amigo don't even mind to write back.
 
Back
Top Bottom