CHADEMA ni tawi tiifu la CCM

CHADEMA ni tawi tiifu la CCM

Mwenda zake huku analima bustani ya maboga. Huwezi amini. Anachezea vitasa kwa minyapara ya huku
 
Kwa kimombo hii tunaiita "preempt " tumekuelewa bwana mbogamboga. Kwenye uchaguzi hatuendi!
 
Dhana ya kujificha kwa kummbeza mtu pale mtu anahoji jambo la msingi haikusaidii wala haisaidii wengine ni vzr unaposhutumu mtu au taasisi ulete evidence za kutosha juu ya madai yako na sio kuzungumza mambo ya kusadikika.
Huwezi kuelewa kama akili zipo chini ya wastaUUA
 
Ajabu mambo ya CCM ndo ajenda za Chadema.tukisema nchii hii upinzani bado wanatubishia.
 
Mabalozi ndio wanaolazimisha agenda za machafuko... na kumlinda yule pimbi ubalozi ni sehemu ya usanii wao.

Tatizo ni matumizi ya ubongo kwa kila mtu.... acha kuwa muumini wa yasiyo eleweka....

Hatusemi kuwa mambo yalikuwa perfect ila wanaume wanafia kwao ili waitwe mashujaa...[emoji16][emoji16]
Wakimbizi ambao aghalabu mabalozi wazito wazito walilazimika kuhakikisha wanakimbia salama kuepuka meno ya mamba watoa roho za watu nyie, wanakuwaje ghafla wanachama wenu watiifu?

Mnaowaita wanachama wenu watiifu nao wanayaridhia hayo au ni kuwa mnajitekenya na kucheka tu?

Madishi yenu yako sawa kweli? Au ni kiwewe cha awamu ya tano kusambaratishwa ghafla na aliye bwana wa majeshi ya ukweli?

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Mabalozi ndio wanaolazimisha agenda za machafuko... na kumlinda yule pimbi ubalozi ni sehemu ya usanii wao.

Tatizo ni matumizi ya ubongo kwa kila mtu.... acha kuwa muumini wa yasiyo eleweka....

Hatusemi kuwa mambo yalikuwa perfect ila wanaume wanafia kwao ili waitwe mashujaa...[emoji16][emoji16]

Mada umeielewa lakini jombi?

"Chadema ni tawi tiifu la CCM" mbona povu jingi? Kwani wewe funza wa Magufuli waandika kwa hisani ya uzi upi?
 
Chadema hawana dira
Unaweza kuwa na hadhi Fulani halafu hujijui. Wewe ni mwanaCCM wa kike unayeonekana una upeo wa wastani kisiasa, sasa unapojiunga na hawa low capacity politicians unaanza kutia Shaka.
 
Unaweza kuwa na hadhi Fulani halafu hujijui. Wewe ni mwanaCCM wa kike unayeonekana una upeo wa wastani kisiasa, sasa unapojiunga na hawa low capacity politicians unaanza kutia Shaka.

Usiongee usichokijua.... maendeleo hayana vyama ila kuwepo na vyama visivyo na dira ni uharibifu

Nchi itajengwa na sisi sote
 
Ungekuwa sio mjinga sana ungeelewa kuwa kuna maongezi yaliyofikia hapo..

Endeleza kipaji cha ujinga maana nayo ni baraka na kipaji[emoji16][emoji16]
Mada umeielewa lakini jombi?

"Chadema ni tawi tiifu la CCM" mbona povu jingi? Kwani wewe funza wa Magufuli waandika kwa hisani ya uzi upi?
 
Sasaaa, Wewe afsa maendeleo ya jamiiiii! Wewe ni ccm, CHADEMA ni tawi lenu, unalia nini sasa??!! Ningekuelewa kama ungesema ccm hakukaliki, mzee Halima niliye mkimbia kule, amekuja huku!
Umehitimisha mkuu,huu Uzi ufungwe tuendelee na shughuli zingine.
 
Ungekuwa sio mjinga sana ungeelewa kuwa kuna maongezi yaliyofikia hapo..

Endeleza kipaji cha ujinga maana nayo ni baraka na kipaji[emoji16][emoji16]

Ujinga ni kulazimisha magoli kuhama.

Kuna mada ya kijinga mkononi ya kuwa "Chadema ni tawi tiifu la CCM" mpya unayotaka kuilazimisha wewe ni ipi au kutokea uzi upi?
 
Back
Top Bottom