CHADEMA ni sawa na 'Simba mfa maji'

CHADEMA ni sawa na 'Simba mfa maji'

Kama sera za CHADEMA zingekuwa nyoofu, Watanzania wangeshafahamu ni wapi chama kinatupeleka. Lakini mpaka leo hii hakuna hata mtanzania mmoja anaweza kuthubutu kusema anaelewa ajenda za CHADEMA. CHA AJABU NI KWAMBA HATA WALE, wanachama wakereketwa wa chama hicho nao hawafahamu. Katika mazingira hayo hayo unategemea hatima ya chama hichi ni ipi.

Baada ya kuisoma CHADEMA nikaelewa kuwa hiki ni chama cha nguvu ya SODA kinachotapatapa sawa na Simba mfa maji anayehangaikia survival yake. Hii inaonyesha wazi kuwa mfarakano ndani ya chadema ni sambamba na kukuwa kwa chama hicho. Hii ni kwa sababu CHAMA hicho hakina DIRA.

Utabiri wangu ni kwamba kama CHADEMA itavuka salama uchaguzi ujao mkuu basi kifo chake kitakuwa mwaka 2017. Tuombe uhai!

Hebu mwambie Nape akurekebisie hadidu rejea zako...........ila hujakosea kumfananisha SIMBA na CHADEMA.........na katu SIMBA hawafi maji.....Halafu yule shhe kawaharibu akili kweli......kila kitu utabiri
 
i'm quite sure lady zawadi ngoda is undergoing pre menstrual syndrome(PMS), she's been affected psychologically and i guess after PMS she'll come back to normal!
 
siku zote mtu asiye na points za kushawishi hadhira wakubaliane na mada yake huishia kutoa matusi ili kulazimisha ukubaliane naye....na ndivyo wanavyofanya wafuasi wengi wa cdm. naomba niwachalenji, mimi sijawahi kusoma au kupata mahali popote ilani ya cdm inayoelezea wataendeshaje nchi hususani katika sekta za elimu,afya,miundombinu na huduma nyingine za kijamii....mara zote nimesikia wakibwabwaja kuhusu mapambano dhidi ya ufisadi as if hiyo ndo sifa pekee ya kuendesha nchi. may be kama kuna yeyote mwenye ilani ya cdm naomba aiweke hapa kwa manufaa ya wengi....
 
Kama sera za CHADEMA zingekuwa nyoofu, Watanzania wangeshafahamu ni wapi chama kinatupeleka. Lakini mpaka leo hii hakuna hata mtanzania mmoja anaweza kuthubutu kusema anaelewa ajenda za CHADEMA. CHA AJABU NI KWAMBA HATA WALE, wanachama wakereketwa wa chama hicho nao hawafahamu. Katika mazingira hayo hayo unategemea hatima ya chama hichi ni ipi.

Baada ya kuisoma CHADEMA nikaelewa kuwa hiki ni chama cha nguvu ya SODA kinachotapatapa sawa na Simba mfa maji anayehangaikia survival yake. Hii inaonyesha wazi kuwa mfarakano ndani ya chadema ni sambamba na kukuwa kwa chama hicho. Hii ni kwa sababu CHAMA hicho hakina DIRA.

Utabiri wangu ni kwamba kama CHADEMA itavuka salama uchaguzi ujao mkuu basi C Tuombe uhai!

Mkuu, hongera sana kwa kujaribu kujieleza. Lakini bado kwangu mimi hujaeleweka vizuri, labda kwa kuanzia tu, unasema"sera za CHADEMA zingekuwa nyoofu" , hivi ni kweli umezisoma na kuzielewa sera za CHADEMA au umeandika tu ili usomeke? Kisha unasema hakuna mtanzania anayezielewa"ajenda za CHADEMA". Ni zipi hizo na zinahusu nini, au unaelewaje kuhusu neno ajenda? Aidha pia unasema"mfarakano ndani ya chadema ni sambamba na kukuwa kwa chama hicho" . Ni kweli CHADEMA inakua, na kila mtanzania ni shahidi wa hilo, lakini huo mfarakano ni upi? umeanza lini ? na unahusu nini? Mwisho unamalizia kwa utabiri "kifo chake kitakuwa mwaka 2017". Ni utabiri mzuri, hongera kwa kuchukuwa mikoba ya mtabiri mashuhuri wa East Africa. Kama kweli kitakufa mwaka huo ambapo ni baada ya uchaguzi mkuu wa 2015, siyo mbaya sana. Ila nina shaka.
 
Hivi ni kwa nini mnaisen=ma Chadema peke yake, hakuna vyama vingine, kwa wenye akili wameshang'amua kwamba mkilala, mkiamka, mkitembea mnawaza Chadema na Bado mtawaza sana, na mfahamu zile enzi za kidumu chama zilikwisha zamani na ufahamu wa mtanzania ndio unazidi kushamiri, subiri na utaona cha muhimu ni kumuomba Mungu atupe uhai tuone jisni ccm inavyo kuwa chama cha upinzani.
 
jamani mm siajamwelewa huyu bamia anasemaje..kama hiyo sisiemu ndo agenda yao kuwa CDM mpaka kikue, mbona CCM its 50 yrs hawajavaa nepi tu...mpumbavu mpumbavu tu,, uanze kuvaa nepi na magamba wenzio ndo uvaemie tu tu viunga vya wapiganaji CDM
 
"Simba Mfa Maji" Huyu ni exceptional Simba aliyefanikiwa kuingia Majini,
Inabidi Simba huyu tumuingize kwenye Guiness book of records, ana uthubutu wa kipekee.

Ongera CHADEMA
 
Sera nzuri za CCM = inflation rate 17%, Exchange rate=Tzs.1739/$.
 
Achaneni na mtoa topic nilisoma nae mwezi ukikaribia kuandama huwa anaugua ugonjwa wa akili. Mlio karibu nae mpelekeni akaombewe. Msimlaumu hapo alipo hajitambui.
 
Hivi ulikaa ukafikili au ulikurupuka tu ukaandiak???? Maana unachekesha hasa katika zama hizi! Huwezi ukaongelea chadema inatupeleka wapi wakati siyo chama ongozi. Ilitakiwa uongelee ccm inatupeleka wapi?!! Nadhani katika watz wewe ndiyo huelewi maana kwa mfano kidogo tu umeona yaliyojiri igunga! Kama ingekuwa sera hazieleweki nadhani wasingepata kura zote zile kwa chama ambacho hakikushiriki kabisa kule!!! Inaonyesha hauna huakika na unachosema na pia jaribu kutafakali upya maandiko yako! Usije ukajionea aibu siku za baadae.

kama sera za chadema zingekuwa nyoofu, watanzania wangeshafahamu ni wapi chama kinatupeleka. Lakini mpaka leo hii hakuna hata mtanzania mmoja anaweza kuthubutu kusema anaelewa ajenda za chadema. Cha ajabu ni kwamba hata wale, wanachama wakereketwa wa chama hicho nao hawafahamu. Katika mazingira hayo hayo unategemea hatima ya chama hichi ni ipi.

Baada ya kuisoma chadema nikaelewa kuwa hiki ni chama cha nguvu ya soda kinachotapatapa sawa na simba mfa maji anayehangaikia survival yake. Hii inaonyesha wazi kuwa mfarakano ndani ya chadema ni sambamba na kukuwa kwa chama hicho. Hii ni kwa sababu chama hicho hakina dira.

Utabiri wangu ni kwamba kama chadema itavuka salama uchaguzi ujao mkuu basi kifo chake kitakuwa mwaka 2017. Tuombe uhai!
 
Zawadi,kama mzalendo wa TZ naomba msaada kwa dira ipi tunayoenda nayo kama nchi? Sera ipi tunayoitumia kuuza ardhi na maliasili yetu kwa wageni? Ni faida ipi nchi tumepata kwa wizi wa Deep green finance, EPA, Richmond/Dowans, e.t.c? Yawezekana ni kweli kudai walioiibia nchi wachukuliwe hatua ikawa ni Nguvu ya soda lakini ugumu wa amisha unavyoongezeka na watu kuzidisha ukatili baina yetu ikawa ni sera nzuri sana hasa kuwa na akili ya kuomba kila kitu na kutufanya tufikiri hatuna tunachoweza hata kampeni ya kunawa mikono ni mpaka tusaidiwe na wamarekani yawezekana ikawa ni DIRA nzuri sana. Naomba msaada wa kueleweshwa Zawadi
 
kama sera za chadema zingekuwa nyoofu, watanzania wangeshafahamu ni wapi chama kinatupeleka. Lakini mpaka leo hii hakuna hata mtanzania mmoja anaweza kuthubutu kusema anaelewa ajenda za chadema. Cha ajabu ni kwamba hata wale, wanachama wakereketwa wa chama hicho nao hawafahamu. Katika mazingira hayo hayo unategemea hatima ya chama hichi ni ipi.

Baada ya kuisoma chadema nikaelewa kuwa hiki ni chama cha nguvu ya soda kinachotapatapa sawa na simba mfa maji anayehangaikia survival yake. Hii inaonyesha wazi kuwa mfarakano ndani ya chadema ni sambamba na kukuwa kwa chama hicho. Hii ni kwa sababu chama hicho hakina dira.

Utabiri wangu ni kwamba kama chadema itavuka salama uchaguzi ujao mkuu basi kifo chake kitakuwa mwaka 2017. Tuombe uhai!

masaburi mwili mzima...nyambaf!!!!!! Kaoge kwanza shwain we...
 
Kutoka exchane rate Tsh600/$ mwaka 2005 mpaka Tzs.1739/$ mwaka 2011 ni kutokana na Sera nzuri na Dira nzuri, uongozi uliotukuka, na uimara wa chama tawala.kwa sera zetu bora kabisa kuwahi kutokea duniani na dira kamilifu exchane rate itafika kiasi gani 2015? Naomba msaada Zawadi kwa hili
 
bora simba mfa maji kuliko nyumbu mfa maji, kwani akianza mmoja
basi wote watafuata, ndo mana wanaitwa zero brain animals
 
Mkuu uwe unaona aibu basi!!!!!!!!!!!!! Wewe mwenyewe unasema ni Simba mfa maji mara ghafla "muingie madarakani mtuburuze", what a joke? Mbona inaonekana unajipinga statements zako mwenyewe? Simba mfa maji atawaburuzaje hahahahaaaaa?????????????!!!!!

Tatizo unaendeshwa na woga, be a man!!!! ongea unachokiamini. Inside unafahamu kabisa kwamba zama za CCM ndiyo bai bai hahahahahaha!!!

Hamuaminiki nyie. Maana hamkawii kukimbilia Ujerumani na Palestina kuomba silaa chini ya Slaa. Kwahiyo ni lazima tuwathibiti ipasavyo.

Maana kama kuharibu nchi mnaweza na huhitaji watu milioni moja kuvuruga amani ya nchi hii. Hata wapiganaji laki tano tu mnaweza kuivuruga nchi hii. Hatuwapi nafasi kamwe.
 
Kuna mada huku tunakutafuta acha utumbo huku njoo pale onyesha kama unaweza kuaminika .Acha unusu akili na kutawaliwa kwa masaburi
 
Nasisitiza uache kujivua nguo hadharani wewe!

Kwa hayo unayoyasema, jenga picha ya wanaume wawili wanaomgombea binti kigoli: mmoja ana miaka 38 na mwingine miaka 23: yupi mwenye nafasi kubwa ya kukubaliwa tukiangalia kigezo cha umri?

Hapo ni 2015, na mwenye miaka 23 ni CHADEMA, mwenye 38 ni CCM na binti ni ridhaa ya wapiga kura!

Mwaka 2010 hamkumpata kigoli au mlifungwa magoli bila kigoli? Ni kigezo gani kilitumika wakati huo?

Kwa Propaganda nyie hamjambo.
 
Back
Top Bottom