rasmanyara
Senior Member
- Sep 12, 2011
- 197
- 18
Hayo ni maoni yako binafsi.2015 2naisimamisha.

yA CHADEMA MWACHIENI CHADEMA, hapa umechemsha. Unamaana tuwaachie ili muingie madarakani na mtuburuze! Sasa hatuwaachii tutachohakikisha ni kuwa CHADEMA yaishia ubunge tu.
kama hujajua hadi leo, kamwe hutajua tenaKama sera za CHADEMA zingekuwa nyoofu, Watanzania wangeshafahamu ni wapi chama kinatupeleka. Lakini mpaka leo hii hakuna hata mtanzania mmoja anaweza kuthubutu kusema anaelewa ajenda za CHADEMA. CHA AJABU NI KWAMBA HATA WALE, wanachama wakereketwa wa chama hicho nao hawafahamu. Katika mazingira hayo hayo unategemea hatima ya chama hichi ni ipi.
Baada ya kuisoma CHADEMA nikaelewa kuwa hiki ni chama cha nguvu ya SODA kinachotapatapa sawa na Simba mfa maji anayehangaikia survival yake. Hii inaonyesha wazi kuwa mfarakano ndani ya chadema ni sambamba na kukuwa kwa chama hicho. Hii ni kwa sababu CHAMA hicho hakina DIRA.
Utabiri wangu ni kwamba kama CHADEMA itavuka salama uchaguzi ujao mkuu basi kifo chake kitakuwa mwaka 2017. Tuombe uhai!
Kama sera za CHADEMA zingekuwa nyoofu, Watanzania wangeshafahamu ni wapi chama kinatupeleka. Lakini mpaka leo hii hakuna hata mtanzania mmoja anaweza kuthubutu kusema anaelewa ajenda za CHADEMA. CHA AJABU NI KWAMBA HATA WALE, wanachama wakereketwa wa chama hicho nao hawafahamu. Katika mazingira hayo hayo unategemea hatima ya chama hichi ni ipi.

kama sera za chadema zingekuwa nyoofu, watanzania wangeshafahamu ni wapi chama kinatupeleka. Lakini mpaka leo hii hakuna hata mtanzania mmoja anaweza kuthubutu kusema anaelewa ajenda za chadema. Cha ajabu ni kwamba hata wale, wanachama wakereketwa wa chama hicho nao hawafahamu. Katika mazingira hayo hayo unategemea hatima ya chama hichi ni ipi.
Baada ya kuisoma chadema nikaelewa kuwa hiki ni chama cha nguvu ya soda kinachotapatapa sawa na simba mfa maji anayehangaikia survival yake. Hii inaonyesha wazi kuwa mfarakano ndani ya chadema ni sambamba na kukuwa kwa chama hicho. Hii ni kwa sababu chama hicho hakina dira.
Utabiri wangu ni kwamba kama chadema itavuka salama uchaguzi ujao mkuu basi kifo chake kitakuwa mwaka 2017. Tuombe uhai!
samahani dada naomba nijue haya, kwani sijaona LOGIC yako ni nini.Kama sera za CHADEMA zingekuwa nyoofu, Watanzania wangeshafahamu ni wapi chama kinatupeleka. Lakini mpaka leo hii hakuna hata mtanzania mmoja anaweza kuthubutu kusema anaelewa ajenda za CHADEMA. CHA AJABU NI KWAMBA HATA WALE, wanachama wakereketwa wa chama hicho nao hawafahamu. Katika mazingira hayo hayo unategemea hatima ya chama hichi ni ipi.
Baada ya kuisoma CHADEMA nikaelewa kuwa hiki ni chama cha nguvu ya SODA kinachotapatapa sawa na Simba mfa maji anayehangaikia survival yake. Hii inaonyesha wazi kuwa mfarakano ndani ya chadema ni sambamba na kukuwa kwa chama hicho. Hii ni kwa sababu CHAMA hicho hakina DIRA.
Utabiri wangu ni kwamba kama CHADEMA itavuka salama uchaguzi ujao mkuu basi kifo chake kitakuwa mwaka 2017. Tuombe uhai!
Kama pole wanastahili wanaCHADEMA, maana hiyo kasi waliokuwa nayo ya kuingia Ikulu ni kama Usain Bolt. Halafu hata salender bridge hawakatishi.
Loooooo... Vyama vingine bana ni aibu tupu..
pamoja na kelele zote za CHADEMA nimekugundua kuwa ni chama kisichokuwa na sera, maana yake nn? Wanatumia muda mwingi katika kunadi matukio tuu yanayotokea nchini maana hata ya ndani ya ccm kwao yamekuwa ndo ajenda kwenye mikutano yao ,, wameshindwa kueleza jinsi watakavyo kabiliana na matatizo ya nchi yetu, kila cku wanadandia ya ccm tuu. Kuweni wajanja enezeni sera kwa wananchi huu ndio muda kama kweli mmedhamiria kuleta upinzani na upinzani uwe wa matatizo yetu , cyo uwe upinzani wa ccm tuu na viongozi wake,, Kweli bado mu wachanga ki siasa...
Kama sera za CHADEMA zingekuwa nyoofu, Watanzania wangeshafahamu ni wapi chama kinatupeleka. Lakini mpaka leo hii hakuna hata mtanzania mmoja anaweza kuthubutu kusema anaelewa ajenda za CHADEMA. CHA AJABU NI KWAMBA HATA WALE, wanachama wakereketwa wa chama hicho nao hawafahamu. Katika mazingira hayo hayo unategemea hatima ya chama hichi ni ipi.
Baada ya kuisoma CHADEMA nikaelewa kuwa hiki ni chama cha nguvu ya SODA kinachotapatapa sawa na Simba mfa maji anayehangaikia survival yake. Hii inaonyesha wazi kuwa mfarakano ndani ya chadema ni sambamba na kukuwa kwa chama hicho. Hii ni kwa sababu CHAMA hicho hakina DIRA.
Utabiri wangu ni kwamba kama CHADEMA itavuka salama uchaguzi ujao mkuu basi kifo chake kitakuwa mwaka 2017. Tuombe uhai!
kwenye RED hapo umechemsha hakuna chama cha siasa kisicho na sera otherwise hakipati usajili wa kudumupamoja na kelele zote za CHADEMA nimekugundua kuwa ni chama kisichokuwa na sera, maana yake nn? Wanatumia muda mwingi katika kunadi matukio tuu yanayotokea nchini maana hata ya ndani ya ccm kwao yamekuwa ndo ajenda kwenye mikutano yao ,, wameshindwa kueleza jinsi watakavyo kabiliana na matatizo ya nchi yetu, kila cku wanadandia ya ccm tuu. Kuweni wajanja enezeni sera kwa wananchi huu ndio muda kama kweli mmedhamiria kuleta upinzani na upinzani uwe wa matatizo yetu , cyo uwe upinzani wa ccm tuu na viongozi wake,, Kweli bado mu wachanga ki siasa...