CHADEMA ni "professional"

CHADEMA ni "professional"

Unajua siyo Lukuvi tu,leo ungemsikiliza Kigwangalla ndiyo ungejua ni namna gani hata ukiwa na madegree mengi tu lakini kama Uzalendo wako uko mashakani lazima uonekane kituko.

Kwa hiyo siyo makosa yao ni makosa yetu kuwapa nafasi ya kutuongoza lakini wametuona tu wajinga au shule yetu ni ya kuuliza na wao tu ndiyo walioelimika,wakati wengi wao kupata tu huo Ubunge wamehonga mpaka basi lakini wanajiona wako juu ya sheria.

Sikutegemea mtu daktari mzima anashindwa kuargue anabaki kufanya vihoja Bungeni.

HAMIS ni mtu wa kiwango cha chini sana !
 
- Kutetea kuvunja Muungano ndio kutetea masilahi ya wananchi, kwa vile tu hawawezi kupata kura Zanzibar ndio basi tuvunje muungano unasema ni kutetea masilahi ya wananchi, really?

- CUF walioko kwenye muafaka at one time mliwaita Mashoga then mkuangana nao, ila sasa mpo pamoja kudai masialhi ya wananchi kwa kutaka uvunja muungano, duh!!

ES
mmh!! we nae ndugu yangu nakuwa na wasiwasi na kufikiri kwako, au na wewe ni wale wale mlio mezeshwa point, muungano utavunjika na gharama bila kutoa points za kutetea hoja?

kwanini muungano uvunjike? kwani serikali tatu ndo zinavunja muungano? we vipi! by the way kwani muungano ni nini? watanzania wakiamua uvunjike utashikilia fikra za m/kiti? hebu kabla ya kuandika chunguza kwanza hoja unayo taka kupost si kutuletea matapishi hapa
 
Yametimia.Sasa Baraza la Mawaziri Vivuli kuwajumuisha CUF na NCCR-Mageuzi
 
wabunge,wajumbe wa bunge maalum la katiba na viongozi wa chadema wanastahili sifa. Katika maslahi ya taifa,wako tayari kuungana na yeyote popote ili mradi tu maslahi ya taifa yanalindwa na kutetewa. Wanaweza kushirikiana na mwanasiasa,mwanazuoni,mwanaharakati,mpendanchi na mzalendo yeyote na katika wakati wowote.

Wapo wanaoshangazwa na chadema sasa kushirikiana na cuf na nccr-mageuzi katika kutetea katiba mpya yenye masahi kwa wananchi wote.wapo katika umoja wa katiba ya wananchi (ukawa). Pamoja na kuwa kila chama kilichopo ukawa kila sera na malengo yake,tofauti zao zimewekwa kando kwa muda huu wa kuitafuta katiba mpya. Ukawa wameivana na kuelewana kama waliotoka chama kimoja.

Wanasiasa wanapaswa kujifunza kwa chadema.wanapaswa kujua kuwa siasa ni hoja za wakati fulani ambazo si lazima zifanane kila uchao. Siasa ni mazingira na namna ya kujenga mantiki kutokana na mazingira yaliyopo. Siasa si kung'ang'ania jambo moja kwa muda wote eti tu kwasababu lina manufaa ya sasa. Vipi kuhusu baadaye?

Na wanasiasa wengine wangekuwa kama hawa wa chadema,nchi hii ingekuwa mbali sana. Kila la kheri chadema!

umeandika kwa weledi wa kiwango cha juu sana ! Bila kumung'unya maneno wewe ni mzalendo .
 
Usicheke Kaka tunaenda kubaya,maana sijui 2015 wenyenchi yao watatupatia akina nani,maana ndiyo wenyenchiyao na wanamaamuzi ya nani awe kiongozi.

nacheka kwa huzuni sana mkuu .
 
nacheka kwa huzuni sana mkuu .

Pole,ila wazee wanasema chenye mwanzo hakikosi mwisho.Nitawalaumu waandishi wa habari na wanasheria mpaka siku yangu ya kufa,maana hawatumii elimu yao waliyoisomea kwa ajili ya jamii yao.
 
Napoona mtu anasifia na kushabikia wauwaji natamani kumchapa viboko. Chadema imemwagia watu tindikali, imelisha watu sumu, imelipua watu kwa mabomu, leo unatuletea siasa uchwara hapa

Una ushahidi Unaothibitika pasipo shaka yoyote?
 
Ujio wa UKAWA lazima umuumize kila mwana CCM!!! for sure if this goes well, basi CCM habari yenu imeshakwisha.

Imefikia hatua CCM sasa haipambani na DR.Slaa na Mbowe kama tulivyokuwa tumezoea, bali sasa inapambana na CUF, CDM na NCCR Mageuzi kwa umoja wao.

Wigo wa mpambano umepanuka sana kiasi ni vigumu mno CCM kupenyeza zile sera zake za kibaguzi za udini, ukanda, ukabila kama walivyokuwa wamezoea kwani hazitafua dafu tena. Na mbaya zaidi CCM hwakujiandaa kwa jambo hili - kwa kweli ni counter attack!! na kama kweli UKAWA wakitulia pamoja basi tutegemee mageuzi makubwa 2015 ya uongozi wa nchi yetu, sababu hakutakuwa na njia nyingine ya hawa CCM kupita salama.

Siasa sasa inalete mvuto - Asante CCM kutuletea mchakato wa katiba mpya kwani umewaunganisha hata wale waliokuwa hawawezi kukaa meza moja na kupanga mipango ya ushindi.
 
Bila Ukawa kuwa imara na Madhubuti Watanzania tutegemee kupata Katiba Mbovu Yenye Sura ya kifisadi, Yenye umbile la Rushwa na Ngozi yenye Magamba. Tunawaombea Ukawa mkaze buti mpaka kieleweke bila ukawa hakuna katiba bora
 
Ujue nakushangaa sana ,,wewe jimbo mnalo 50years sisi wageni hapo angalia kura tulizopata then angalia variations na zenu ,akili ndogo think big><<eti chopa 3 kata 3 bonge la ushindii...si kata zilikuwa zenu your loser forget sake!!
hebu tizama kama una akili kamili watu waliojiandikisha kalenga na waliopiga kura??angalia chalinze out of 90..walipiiga 20 not making sense ...hakuna ushindi hapo 50year jimbo lenu na watu hawawakubali tena mnaforce sana...
naelewa ukiwa ccm hata km unakuwa na akili unaburuzwa tu its like in reform of constitution mlivyo pelekwa pelekwa ....ujigaaaaaaaaaaa!!!!!!!!mwalimu say!!!
 
- Kutetea kuvunja Muungano ndio kutetea masilahi ya wananchi, kwa vile tu hawawezi kupata kura Zanzibar ndio basi tuvunje muungano unasema ni kutetea masilahi ya wananchi, really?

- CUF walioko kwenye muafaka at one time mliwaita Mashoga then mkuangana nao, ila sasa mpo pamoja kudai masialhi ya wananchi kwa kutaka uvunja muungano, duh!!

ES

hii hoja yako ni mufilisi na inaonekana kichwa chako ni kifuu cha nazi--hamna kitu. umekaririshwa vibaya na magamba. nani anataka kuvunja muungano? huyo anayetaka kuuvunja amependekeza serikali ngapi? na je, zanzibar kuwa nchi bado muungano haujavunjika? a notorious twit at work!
 
- Muungano unatakiwa kurekebishwa sio kuuvunja kisa hamjawahi kupata kura Zanzibar ni wabaguzi wakubwa na wabinafsi wakubwa, kila uchaguzi mnashindwa halafu sasa kati kati ya mchezo mnataka kuhamisha magoli ili mshinde tu uchaguzi hatawezekana,

es

usipayuke tu kama chizi. hebu fafanua namna huo muungano unavyovunjwa. usiseme tu kwamba muungano bila kuonyesha njia unaonekana mwehu na mchumia tumbo tu!
 
Chopa 3 kata 3

sasa hii hoja inahusianaje na kata tatu? kama huna cha kujibu si ubora ukae kimya? mods hebu wafungie wapuuzi kama huyu wanatujazia uchafu kwenye server bure!
 
Zitto ataondolewa CHADEMA kikatiba kufuata matakwa ya Katiba yao. Kinasubiriwa kikao cha Mei kinote kilichotookea na kupelekwa taarifa kunakotakiwa
 
Back
Top Bottom