...full respect cdm na ukawa,full respect wabunge wa bunge maalum la katiba kambi ya ukawa,shambulio lenu moja tu limewavuruga maccm na hawajielewi mpaka sasa....
Watu hasa Maccm hayana point siku zote nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali inayotolewa na viongozi wa upinzani UKAWA na wale wa CCM nikagundua Maccm hawana point kabisa. na nikakubaliana na hoja ya Mch. Msigwa kuwa wabunge wasomi walioko ccm akili wanaziweka mfukoni na wanajifanya hawanazo kwa muda ili mradi wapo ccm.
Kwanza kumbukeni kampeini za uchaguzi mkuu mwaka 2010 kwenye kipindi cha mchakato majimboni kilichokuwa kinarushwa na TBC muda huo na mkurugenzi wake alikuwa TIDO MUHANDO.Mnakumbuka kuwa wagombea wa ccm walikuwa hawatokei muda wa mdahalo na hatimaye kikawekewa mizengwe hakikufana vizuri. na baada ya uchaguzi TIDO MUHANDO alisimamishwa kazi TBC.Hapo mtajua kuwa hawa jamaa ni wepesi ,waoga, hawajiamini mbele ya hoja za msingi.
Pigeni chini maccm hawana kitu nchi yetu imeendelea kuwa maskini kwa muda mrefu tumechoka. October iwe ndo mwisho wao na wawe wapinzani.