CHADEMA ni "professional"

wajumbe wa bunge la katiba kutoka ccm hata hawajui wameenda dodoma kufanya nini ? Aibu sana ! Wanalishwa hata visivyoliwa !
 
msalimie mwigamba , mpe ujumbe kwamba ndiyo kishapotea hivyo ! bwana alitoa na bwana ametwaa ! Kwi! Kwi! Kwiii!!! Kuanzisha chama mchezo !

umeshafua nepi za junior? au leo ni zamu ya ben...
 
msalimie mwigamba , mpe ujumbe kwamba ndiyo kishapotea hivyo ! bwana alitoa na bwana ametwaa ! Kwi! Kwi! Kwiii!!! Kuanzisha chama mchezo !

mkuu. slaa anakutafuta ukamnunulie vocha dukani... au bado unampikia chai?
 
Rasimu inasema serekali tatu wewe mbili zatoka wapi jibu huna.

So bro there is no need kwa wajumbe kuwepo mle ndani kwa hiyo mantik yako coz warioba alimaliza kaz.akili ya kuambiwa changanya na zako
 
Ngoja nikuonyeshe unafiki wako ulipo, mwambie mtu ukweli hata kama una mahaba naye ili ajirekebishe kuliko kujifanya nice guy. Mara baada ya uchaguzi humu JF ilikuwa mwiko mtu kutaja au kupongeza NCCR na CUF kuna majina mlikuwa mmewapa kama CCM B & C, na mlifika mbali kuwaita CUF ni mke wa CCM. Kambi ya upinzani iliwakataa ktk kutengeneza wizara kivuli. Sasa huu uprofessional umetoka wapi? kwenye bunge la katiba au mngeanza kuwaomba radhi kwanza.

Maelezo haya mafupi yanakuelekeza kuwa ulichosema sio ukweli na rejea thread za wakati huo na tulikuwa tunawakataza msiseme hayo badale yake mlitushambulia na leo mmesahau. Kibongo bongo uanachama ni zaidi ya kadi na ndio maana mtu anahama chama na arudishi kadi. Wakereketwa na washabiki wa vyama ni zaidi ya uanachama hata CCM inaongoza nchi kutokana na wakereketwa, wafurukutwa na washabiki. Petro wewe hata kama huna kadi na kutokana na michango na thread zako wewe ni mfurukutwa na automatic chamani humo.

He who alleges must prove
 
mzee sabodo alisema waziwazi kwamba "kuing'oa CCM ni ngumu , chama yoote ungana kua na unity"
..... Was he right or wrong"
 
wajumbe wa bunge la katiba kutoka ccm hata hawajui wameenda dodoma kufanya nini ? Aibu sana ! Wanalishwa hata visivyoliwa !

Waonee huruma,usiwe mkali sana!Naona hata wao wenyewe wameisha ona wanatatizo kwenye maoni yao
 
Waonee huruma,usiwe mkali sana!Naona hata wao wenyewe wameisha ona wanatatizo kwenye maoni yao

mijitu mingine ina elimu ya kutosha lakini unakuta inaburuzwa na mtu kama lukuvi !
 
kalenga hadi chalinze bila bila

wewe mwehu tu,sisitunazungumzia mambo ya katiba wewe unaleta mambo ya uchaguzi ,ila sishangai wewe ndo walewale ambao nchemba anaendele kuwapataka na mtapakatwa sana,majimbo yenu mmefanya kila hila na tuwewaachia tatizo liko wapi?
 
Hawa jamaa mi nawapenda sana kwanza wanajua kujenga hoja na wanaushawishi sio yale mamburula hawana lolote wamebakia kusema rais kasema mara nepi kasema yaani kila kitu ni kuambiwa hadi madk na maprofesa walioko ccm wote ni mburula tu.
 
Hawa jamaa mi nawapenda sana kwanza wanajua kujenga hoja na wanaushawishi sio yale mamburula hawana lolote wamebakia kusema rais kasema mara nepi kasema yaani kila kitu ni kuambiwa hadi madk na maprofesa walioko ccm wote ni mburula tu.
 
mijitu mingine ina elimu ya kutosha lakini unakuta inaburuzwa na mtu kama lukuvi !

Unajua siyo Lukuvi tu,leo ungemsikiliza Kigwangalla ndiyo ungejua ni namna gani hata ukiwa na madegree mengi tu lakini kama Uzalendo wako uko mashakani lazima uonekane kituko.

Kwa hiyo siyo makosa yao ni makosa yetu kuwapa nafasi ya kutuongoza lakini wametuona tu wajinga au shule yetu ni ya kuuliza na wao tu ndiyo walioelimika,wakati wengi wao kupata tu huo Ubunge wamehonga mpaka basi lakini wanajiona wako juu ya sheria.

Sikutegemea mtu daktari mzima anashindwa kuargue anabaki kufanya vihoja Bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…