Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,350
- 271,718
mjomba tunaposema cdm ni mpango wa Mungu huwa hatutanii .
tuko kwenye tatu ya marehemu chagadema, tunasubiri kuanua tanga
- Kutetea kuvunja Muungano ndio kutetea masilahi ya wananchi, kwa vile tu hawawezi kupata kura Zanzibar ndio basi tuvunje muungano unasema ni kutetea masilahi ya wananchi, really?
- CUF walioko kwenye muafaka at one time mliwaita Mashoga then mkuangana nao, ila sasa mpo pamoja kudai masialhi ya wananchi kwa kutaka uvunja muungano, duh!!
ES
- Muungano unatakiwa kurekebishwa sio kuuvunja kisa hamjawahi kupata kura Zanzibar ni wabaguzi wakubwa na wabinafsi wakubwa, kila uchaguzi mnashindwa halafu sasa kati kati ya mchezo mnataka kuhamisha magoli ili mshinde tu uchaguzi hatawezekana,
es
Hoja dhaifu mno, chadema ni marehemu kwa sasa, ongelea kingine
Napoona mtu anasifia na kushabikia wauwaji natamani kumchapa viboko. Chadema imemwagia watu tindikali, imelisha watu sumu, imelipua watu kwa mabomu, leo unatuletea siasa uchwara hapa
- Kilikuwa kipondo cha mbwa mwizi live!!
es
Huyu nae wa kupeleka mirembe wawe propaganda za chadema kufa hadi leo hujasahau tu sasa ni katiba kwanza mengine ni baadae.
Rasimu inasema serekali tatu wewe mbili zatoka wapi jibu huna.
CDM ni chaguo la Mungu..
- Kutetea kuvunja Muungano ndio kutetea masilahi ya wananchi, kwa vile tu hawawezi kupata kura Zanzibar ndio basi tuvunje muungano unasema ni kutetea masilahi ya wananchi, really?
- CUF walioko kwenye muafaka at one time mliwaita Mashoga then mkuangana nao, ila sasa mpo pamoja kudai masialhi ya wananchi kwa kutaka uvunja muungano, duh!!
ES
Binaadam mwenye akili huwa anakwenda na nyaki!Ivi CHADEMA si ndio waleee Mnaowaita CUF ,CCM B, na Mnauhakika hawa CUF kupitia UKAWA wana lengo moja . ( mfumo wa serikali ,nao CUF wanasupport Serikali tatu au!??
chadema wamesababisha ukawa imepoteza mvuto
Wabunge,Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba na viongozi wa CHADEMA wanastahili sifa. Katika masahi ya Taifa,wako tayari kuungana na yeyote popote ili mradi tu maslahi ya Taifa yanalindwa na kutetewa. Wanaweza kushirikiana na mwanasiasa,mwanazuoni,mwanaharakati,mpendanchi na mzalendo yeyote na katika wakati wowote.
Wapo wanaoshangazwa na CHADEMA sasa kushirikiana na CUF na NCCR-Mageuzi katika kutetea Katiba mpya yenye masahi kwa wananchi wote.Wapo katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Pamoja na kuwa kila chama kilichopo UKAWA kila sera na malengo yake,tofauti zao zimewekwa kando kwa muda huu wa kuitafuta Katiba mpya. UKAWA wameivana na kuelewana kama waliotoka chama kimoja.
Wanasiasa wanapaswa kujifunza kwa CHADEMA.Wanapaswa kujua kuwa siasa ni hoja za wakati fulani ambazo si lazima zifanane kila uchao. Siasa ni mazingira na namna ya kujenga mantiki kutokana na mazingira yaliyopo. Siasa si kung'ang'ania jambo moja kwa muda wote eti tu kwasababu lina manufaa ya sasa. Vipi kuhusu baadaye?
Na wanasiasa wengine wangekuwa kama hawa wa CHADEMA,nchi hii ingekuwa mbali sana. Kila la kheri CHADEMA!
Binaadam mwenye akili huwa anakwenda na nyaki!
Na kama huwezi soma nyakati wewe ni sawa na mtambo unaohitaji muongozo yaani katiba mpya na serekali 3 ili ubongo wako usigande na kukupelekea kishindwa hata kupumua !
Pia unahijaji ushauri!