CHADEMA ni nini na kipo kwa ajili ya nani?

huyo mzee ni mbinafsi kinoma na sizani kama atakubali kilahisi kuachia ngazi. ukiona mtu kahasi dini kaingia kwenye siasa huyo mtu hafai ata kidogo. yeye aludi madhabauni kwa roho safi tu. alichokitaka kaishapata na alidhike nacho.
well said bro
 
Ndugu zanguni,

Mtanisamehe kwa kuuliza lakini nadhani kuuliza si ujinga.

Naomba tu nijue hiki chama kinachoitwa Chadema kipo kwa ajili ya nani na malengo yake ni nini?

Nimeuliza hivyo baada ya kuangalia wanaonufaika na hiki chama ni wale wale tu siku zote, kuanzia kwenye mikopo ndani ya chama, biashara ndani ya chama, safari za kwenda ulaya na marekani za kichama na shughuli yoyote inayotoa kipato ndani ya chama mara zote huwanufaisha watu wenye majina kama Mosha, Mangi nk.

Mfano mzuri ni ile safari ya ujerumani juzi ambapo majina yote yalikuwa wa kaskazini, bila kusahau hadi safari ya kuja kula nyama choma UK anapewa katibu wa tawi la Kishumundu kuja kuwa mgeni rasmi. Au makabila mengine ndani ya chadema hayana passport?

Na kujikopeshya je? hapo nadhani Dr atakuwa na majibu

JITAMBUE!

hivi bado upo "High"?Naona una jiuliza maswali km mtu anayejaribu jiuliza benk fulani ipo kwa ajili ya nani an ainafanya nini.....hizo nadharia wala huzihitaji ..unajipa stim za bure wakati ulipaswa muona msajili wa vyma na ka civics kadogo tuu cha primary kinakutosha...sasa unachofanya hapa ni kujaribu "..Reinvent the Wheel...".
 
ndugu zanguni,

mtanisamehe kwa kuuliza lakini nadhani kuuliza si ujinga.

Naomba tu nijue hiki chama kinachoitwa chadema kipo kwa ajili ya nani na malengo yake ni nini?

Nimeuliza hivyo baada ya kuangalia wanaonufaika na hiki chama ni wale wale tu siku zote, kuanzia kwenye mikopo ndani ya chama, biashara ndani ya chama, safari za kwenda ulaya na marekani za kichama na shughuli yoyote inayotoa kipato ndani ya chama mara zote huwanufaisha watu wenye majina kama mosha, mangi nk.

Mfano mzuri ni ile safari ya ujerumani juzi ambapo majina yote yalikuwa wa kaskazini, bila kusahau hadi safari ya kuja kula nyama choma uk anapewa katibu wa tawi la kishumundu kuja kuwa mgeni rasmi. Au makabila mengine ndani ya chadema hayana passport?

Na kujikopeshya je? Hapo nadhani dr atakuwa na majibu

jitambue!

mungu nisaidie nisipate mtoto mwenye akili kama lukosi .
 
hiyo ishala ya vidole viwili ata a-lshaababu wanaitumia nakumbuka ata alcaida wanaitumia au ndo mwendelezo? kama kunambulula anabisha acheki kiongozi wa al-shaababu anaonyesha ishara ya vidole viwili.

chukua kopo na maji ukapunguze,nakushauri pia utafute kazi halali ufanye,utachumia tumbo hadi lini? au buku 7 zinakutosha? anyway tuyaache hayo,umekuwa mtumwa wa fikra muda mrefu nimekuonea huruma njoo kwangu nikufanye house girl,ooh shit! hata house boy tu pouwa angalau uweze kwenda choo
 
Lukosiii! Ustaarabu wa boga ni majani yake mazuri, lakini lenyewe linalala chini!!!!!!!!

TZ_Got_Talent.jpg
 
mjinga mkubws sana wewe......umeshavuta bangi huna kazi akili yako ikakutuma uandike uharo.....idiot...ex pt.

jibu hoja na siyo kuto ushuzi hapa,mamburula ndio kila siku huliwa! Mi nashangaa sana mtu kama Heche kutumiwa ki..senge hivyo,mijitu mingine imeenda shule lakini ugolo mtupu,ni kama inakunywa maji ya chooni,ovyo kabisa.Chadema ni chama cha ki..senge sana na naishangaa misukuma inavyoshadadia,kweli mshamba ni mshamba tu
 
tulia unyolewe mkuu,acha kurukaruka
 
Mungi.
Punguza munkari. Jibu hoja kwa Hoja.

Mkuu nimekupata, ila jamaa hana sababu ya kujibiwa kwa maana yeye siyo mwanachama wa chadema. Angekuwa mwanachama hicho anachokiuliza asingeuliza kwasababu hata asiyemwanachama tayari anajua chadema inafanya mengi kwa maslahi ya watanzania na tanzania.

Mwacheni akabebe maboksi kule kwa ma cameron
 
Ndugu zanguni,

Mtanisamehe kwa kuuliza lakini nadhani kuuliza si ujinga.

Naomba tu nijue hiki chama kinachoitwa Chadema kipo kwa ajili ya nani na malengo yake ni nini?

Nimeuliza hivyo baada ya kuangalia wanaonufaika na hiki chama ni wale wale tu siku zote, kuanzia kwenye mikopo ndani ya chama, biashara ndani ya chama, safari za kwenda ulaya na marekani za kichama na shughuli yoyote inayotoa kipato ndani ya chama mara zote huwanufaisha watu wenye majina kama Mosha, Mangi nk.

Mfano mzuri ni ile safari ya ujerumani juzi ambapo majina yote yalikuwa wa kaskazini, bila kusahau hadi safari ya kuja kula nyama choma UK anapewa katibu wa tawi la Kishumundu kuja kuwa mgeni rasmi. Au makabila mengine ndani ya chadema hayana passport?

Na kujikopeshya je? hapo nadhani Dr atakuwa na majibu

JITAMBUE!

Umemsahau na conqubine wake Josephine Mushumbusi! Anaponda raha kila safari! Chezea chagadema wewe!
 
Na ya ccm huyaoni familia kuingia nec na kuwapa watoto wenu uongoz husein mwiny makamba karume nk huyaoni au kwa upande wa ccm unakuwa kipofu kibaraka ww na mchochez mkubwa
 
Back
Top Bottom