CHADEMA ni nini na kipo kwa ajili ya nani?

CHADEMA ni nini na kipo kwa ajili ya nani?

Wadau,mechi ya totenihamu na chelisii saa ngapi? Nijiandae,maana tanesco tayari wameshafanya yao huku toka jana.
 
Kimsingi Chadema ni kikundi cha wajanja fulani kutoka kaskazini ambao wanatumia chama kama mwamvuli.
 
Hahahahaaaaaa hivi ccm si kikundi cha kihuni?
Ni genge la wauza sembe aka Unga.
 
Jf ingekuwa mahali bora sana kama hata pale mtu anapohisi kuwa hoja iliyotolewa siyo ya maana ange comment kwa kuonyesha maana na kumfahamisha mwingine kile kilicho sahihi au hata kuto-comment kabisa! Matumizi ya matusi na kashfa yanatuondolea sifa za kuwa kwenye forum ambayo kauli mbiu yake ni '' home of great thinkers''.....Mi nimeamua kuacha lugha chafu,kashfa na mambo yote mabaya.
 
Safi sana kwa hatua uliyoamua kuichukua. Ni imani yangu wengi watafanya maamuzi kama yako ili kuilinda heshima ya jukwaa letu.
 
Jf ingekuwa mahali bora sana kama hata pale mtu anapohisi kuwa hoja iliyotolewa siyo ya maana ange comment kwa kuonyesha maana na kumfahamisha mwingine kile kilicho sahihi au hata kuto-comment kabisa! Matumizi ya matusi na kashfa yanatuondolea sifa za kuwa kwenye forum ambayo kauli mbiu yake ni '' home of great thinkers''.....Mi nimeamua kuacha lugha chafu,kashfa na mambo yote mabaya.
Dhambi zako zimesamehewa kuanzia leo.

Tatizo makamanda wengi wanazani kutukana ndio njia pekee ya kushinda hoja kwenye siasa kitu ambacho ni kujidhalilisha
 
Hey Lukosi,

Chadema ni "Peoples Power" au "Nguvu ya Umma."

Umemuona daktari wa masuala ya akili hivi karibuni? Nafikiri una dalili zote za Alzheimer. Kama huna insurance rudi huku bongo CCM watakupeleka India ukachekiwe. Hayo ndio mafanikio ya CCM baada ya miaka 50 ya utawala.
 
Ficha upumbavu wako. Matusu hayasaidii.

Jibu hoja kwa hoja na si matusi. Jiheshimu.

nadhani hata wewe una kaupumbat flani hivi,janaume zima huwezi kushabikia ujinga,nchi inahujumiwa ndg zetu wasiojitambua wanatopea kwenye umaskini mkubwa badala ya kuwasaidia ww unaleta ushabiki wa kipuuzi,unadhani buku 7 zitakufikisha wapi? kuwa mzalendo uisaidie jamii yako kumwondoa mkoloni mweusi
 
Haya maswali kama haya yanaonyesha kwamba wewe ni -------- na huko unafanya kazi ya kuchambisha watoto wa wazungu huna lolote
Pia nafikiri is good if u will ask your m o m haya maswali ya kingese pia kuko nafikiri unafanya kazi ya kufungulia na kutoambwa hauna lolote

ha ha ha mkuu anafungulia na kutoambwa bandan?kwel we chiboko.
 
Kimsingi Chadema ni kikundi cha wajanja fulani kutoka kaskazini ambao wanatumia chama kama mwamvuli.

Kimsingi ni chama ambacho kinamfanya Kinana na Nape wakifikrie mpaka nywele zinyonyoke vichwani mwao.
 
Kimsingi Chadema ni kikundi cha wajanja fulani kutoka kaskazini ambao wanatumia chama kama mwamvuli.
Ile CCM ya Nyerere ambayo mzee wako Mohamed Saidi analia nayo kwamba iliwapeleka mjini wazee wa Narungombe unaionaje?
 
Kimsingi Chadema ni kikundi cha wajanja fulani kutoka kaskazini ambao wanatumia chama kama mwamvuli.

Na dr anasema hakuna uchaguzi mpaka chama kitakapo imarika.
 
Kimsingi Chadema ni kikundi cha wajanja fulani kutoka kaskazini ambao wanatumia chama kama mwamvuli.

Ccm ni genge la misukule ambayo inatumia chama chao kama kichaka cha kujikinga ili wasikamatwe ref: Sumae aliwahi kusema ukitaka kufanikiwa kwenye biashara yako weka bendera ya ccm karibu na biashara yako

Ndio maana majambazi,majizi,vibaka aka green guard,malaya machangudoa,mashoga,wauza unga,wauaji wa Tembo,wasafirishaji wa wanyama,wauaji,wang'oa watu kucha na meno woooote wamejificha chini ya kichaka cha chama cha ccm,make ukiwa humo utalindwa na maccm hautakamatwa sasa afadhali Chadema kulikoni ccm,na matapeli yote yako humo

Hata wanaojiita wasomi walioshindwa maisha mtaani as long as unajua kuropoka ccm maisha unayapatia kinoma ndio maana akina Mtela na Juliana wamekimbilia huko na sasa wanamiliki duka gerezani,na Juliana kwa kujiuza anasema lazima hata wazazi wake walipe kodi ya line sababu yeye anayo pesa kwa umalaya wake very shame
 
Back
Top Bottom