CHADEMA ni nini na kipo kwa ajili ya nani?

CHADEMA ni nini na kipo kwa ajili ya nani?

Mkuu nimekupata, ila jamaa hana sababu ya kujibiwa kwa maana yeye siyo mwanachama wa chadema. Angekuwa mwanachama hicho anachokiuliza asingeuliza kwasababu hata asiyemwanachama tayari anajua chadema inafanya mengi kwa maslahi ya watanzania na tanzania.

Mwacheni akabebe maboksi kule kwa ma cameron

Kwa hiyo wanachama wenu wa chagadema wanatosha? Hamtaki wengine ili mgao usipungue sio!?
 
Akili ndogo inajaribu kujenga hoja kwenye jukwaa la watu wenye akili kubwa. Pole
 
Back
Top Bottom