CHADEMA ni nini na kipo kwa ajili ya nani?

CHADEMA ni nini na kipo kwa ajili ya nani?

Hey Lukosi,

Chadema ni "Peoples Power" au "Nguvu ya Umma."

Umemuona daktari wa masuala ya akili hivi karibuni? Nafikiri una dalili zote za Alzheimer. Kama huna insurance rudi huku bongo CCM watakupeleka India ukachekiwe. Hayo ndio mafanikio ya CCM baada ya miaka 50 ya utawala.

Slaa anasema hakuna uchaguzi wa ndani mpaka ajipatie mapesa ya kutosha kumlea junior. Unasemaje kuhusu hili?
 
Jf ingekuwa mahali bora sana kama hata pale mtu anapohisi kuwa hoja iliyotolewa siyo ya maana ange comment kwa kuonyesha maana na kumfahamisha mwingine kile kilicho sahihi au hata kuto-comment kabisa! Matumizi ya matusi na kashfa yanatuondolea sifa za kuwa kwenye forum ambayo kauli mbiu yake ni '' home of great thinkers''.....Mi nimeamua kuacha lugha chafu,kashfa na mambo yote mabaya.

Akhsante mkuu. Bavicha wafuate mkondo huu ni mzuri sana.
 
Mkuu Lukosi, Hivi CCM ni nini na kipo kwa ajili ya akina nani? Kule kwetu mahali popote penye kijiwe cha gongo au banki au biashara yoyote haramu utakuta bendera ya shina la wakereketwa wa CCM. Wezi wote wa fedha za uma kama wale wa EPA ni makada wa CCM! Walioficha fedha uswiss wengi wao ni wana CCM! Hata kwenda nje ya nchi sijaona wanachama wa kawaida wakiwakilisha CCM bali viongozi tena wachche. Vitega uchumi vingi vinavyoitwa kwa jina la CCM huwanufaisha watu binafsi! Sasa hivi familia ya Mwenyekiti ina watu 4 katika halmashauri kuu ya chama. Tunajiuliza, hivi ccm iko kwa ajili ya watanzania wote au kwa ajili ya nani hasa? Mafisadi au nani?
 
Halafu wengi walioko ccm wako huko kimwili lakini rohoni wako Chadema,wengi wana kadi zaidi ya moja ,ya ccm ni kwa sababu ya kulindia biashara sababu ukiwa huko hata usipolipa kodi hakuna wa kukukamata sababu watataka mchango kwako

Wamo viongozi wakubwa tu wa chama hicho ni wauza unga lakini chini ya kichaka hicho haupatikani hata wafanyeje akina Ritz wanaoandika ujinga humu wakati ni wauza sembe wakubwa akina Lukuvi lakini kwa kuwa ni ccm ni untouchable,wanaua tembo ni untouchable,wanawasaidia wahamiaji haramu ni untouchable simply because yuko chama twawala

Kuna misukule humu wazazi wake kijijini hata kula yao ya wasiwasi lakini kwa kuwa wamewekwa kwenye green guard aka vibaka na wauaji hawaambiliki Mtatumika kama condom za DUME hadi lini?

Viongozi wanatumia magari ya kifahari wewe kidampa hata baiskeli hauna halafu na wewe unasema ni mwanachama kweli?

Wajinga wameshika pembe za ng'ombe wakati wajanja wanakunywa maziwa mpaka uje ufike huko maziwa yamekwisha,wanatembelea magari mazuri,nyumba nzuri we utajenga lini? Au utamiliki gari lini kibwengo wewe?
 
Ndugu zanguni,

Mtanisamehe kwa kuuliza lakini nadhani kuuliza si ujinga.

Naomba tu nijue hiki chama kinachoitwa Chadema kipo kwa ajili ya nani na malengo yake ni nini?

Nimeuliza hivyo baada ya kuangalia wanaonufaika na hiki chama ni wale wale tu siku zote, kuanzia kwenye mikopo ndani ya chama, biashara ndani ya chama, safari za kwenda ulaya na marekani za kichama na shughuli yoyote inayotoa kipato ndani ya chama mara zote huwanufaisha watu wenye majina kama Mosha, Mangi nk.

Mfano mzuri ni ile safari ya ujerumani juzi ambapo majina yote yalikuwa wa kaskazini, bila kusahau hadi safari ya kuja kula nyama choma UK anapewa katibu wa tawi la Kishumundu kuja kuwa mgeni rasmi. Au makabila mengine ndani ya chadema hayana passport?

Na kujikopeshya je? hapo nadhani Dr atakuwa na majibu

JITAMBUE!

ni kweli kuuliza siujinga but sometime ni upumbavu
 
Kumbe niwewe kubwa jinga uliyekubali kugombania penzi na dada yako.
 
Mwangalieni huyu mmpumbavu!

Siyo mwanachama wa chadema eti anauliza nyoooo!!!!!

Kamwulize mama yako
 
Yes, inawezekana kweli Lukosi unaupungufu kwenye akili yako kwani wakati unajiunga na CHADEMA ulijua unajiunga na nini au ulikuwa mwezi mchanga hivyo ulienda bila kujua? na wewe hebu tupe ufafanuzi kuhusu hili. Pia nasikitika sana maana unafanya kazi kwenye Kampuni kubwa sana sasa kama hujui hata kwenye hiyo Kampuni mnafanya nini? ......mmmh!!! .....sijui!!!
 
nadhani hata wewe una kaupumbat flani hivi,janaume zima huwezi kushabikia ujinga,nchi inahujumiwa ndg zetu wasiojitambua wanatopea kwenye umaskini mkubwa badala ya kuwasaidia ww unaleta ushabiki wa kipuuzi,unadhani buku 7 zitakufikisha wapi? kuwa mzalendo uisaidie jamii yako kumwondoa mkoloni mweusi

Kwahiyo unfikiri matatizo yanatatuliwa kwa MATUSI???
 
Mwangalieni huyu mmpumbavu!

Siyo mwanachama wa chadema eti anauliza nyoooo!!!!!

Kamwulize mama yako

Mungi.
Punguza munkari. Jibu hoja kwa Hoja.
 
Last edited by a moderator:
Umeshawahi kujiuliza maswali haya haya kuhusu CCM? Je, ulipata majibu gani? Kama ulipata majibu basi hakuna ubaya ukayaweka hapa jamvini ili wengi hapa jamvini waweze kujua majibu hayo. Mfano mzuri tu wa CHADEMA kukubalika nchini ni kitendo cha Lipumba na Mbatia kuungana na CHADEMA katika kumshinikiza DHAIFU kutosaini muswada wa katiba mpya. Ukiona mpaka Lipumba na Mbatia wanafanya hivyo basi ujue CHADEMA malengo yake ni kuikomboa Tanzania na pia kuwakomboa Watanzania kuondokana na mateso makubwa kupitia chama cha majangili, wauza unga, magaidi na mafisadi.

Ndugu zanguni,

Mtanisamehe kwa kuuliza lakini nadhani kuuliza si ujinga.

Naomba tu nijue hiki chama kinachoitwa Chadema kipo kwa ajili ya nani na malengo yake ni nini?

Nimeuliza hivyo baada ya kuangalia wanaonufaika na hiki chama ni wale wale tu siku zote, kuanzia kwenye mikopo ndani ya chama, biashara ndani ya chama, safari za kwenda ulaya na marekani za kichama na shughuli yoyote inayotoa kipato ndani ya chama mara zote huwanufaisha watu wenye majina kama Mosha, Mangi nk.

Mfano mzuri ni ile safari ya ujerumani juzi ambapo majina yote yalikuwa wa kaskazini, bila kusahau hadi safari ya kuja kula nyama choma UK anapewa katibu wa tawi la Kishumundu kuja kuwa mgeni rasmi. Au makabila mengine ndani ya chadema hayana passport?

Na kujikopeshya je? hapo nadhani Dr atakuwa na majibu

JITAMBUE!
 
muulize pinda akwambie kwanini kila siku anaweweseka juu cdm
 
Ni wazi ni chama cha kanda,we angalia tu vyuoni kote kama sio wote basi Katibu ni wa kwao ua mwenyekiti wakwa KILIMANJARO,yan wanawafundisha watoto tangia shule ya vidudu kuwa CDM hakina tofauti na mlima kilimanjaro(mali yetu).
 
Slaa anasema hakuna uchaguzi wa ndani mpaka ajipatie mapesa ya kutosha kumlea junior. Unasemaje kuhusu hili?
huyo mzee ni mbinafsi kinoma na sizani kama atakubali kilahisi kuachia ngazi. ukiona mtu kahasi dini kaingia kwenye siasa huyo mtu hafai ata kidogo. yeye aludi madhabauni kwa roho safi tu. alichokitaka kaishapata na alidhike nacho.
 
Kwa hali ya Tanzania tangu tunapata uhuru, ups and Downs ilizopitia, viongozi waliopo sasa hivi na uongozi wao Kwa ujumla, mali asili, viwanda, suala la ajira, mfumuko wa bei, system na type ya elimu tuliyo nayo, "big result now " hapa nacheka kwanza haa haa haa, suala la mchina kuwadanganya wakulima wasio na habari Kwa neno "mwadila ", strategies za kipuuzi zilizopo, kudanganywa Kwa hila za super powers huku wapuuzi wakichekelea " ukila lazima uliwe ", rushwa, njaa na cost kubwa kuangushiwa masikini n.k ...tunasema the future is unpredictable lakini HUNA HAJA YA KUENDELEA KUUKUMBATIA UKOO WA PANYA.
 
hiyo ishala ya vidole viwili ata a-lshaababu wanaitumia nakumbuka ata al caida wanaitumia au ndo mwendelezo? kama kunambulula anabisha acheki kiongozi wa al-shaababu anaonyesha ishara ya vidole viwili.

Kajifunze kuandika kwanza....!
 
Back
Top Bottom