CHADEMA ni msingi yazua balaa na kizaazaa

CHADEMA ni msingi yazua balaa na kizaazaa

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,458
Tupo uwanja wa posta ya zamani Ngara,ccm ndo inakata roho mdogo mdogo,watu ni wengi balaa Dr:Mbasa akifunga furushi la dhambi hapa uwanja wa zamani wa posta jioni hii,tuko na Dr kabangira, Kadi za miccm zinavunwa kama njugu mawe hapa Ngara uwanja wa posta ya zamani.
 
Attachments

  • 883271_197546983783371_1818661892_o.jpg
    883271_197546983783371_1818661892_o.jpg
    227 KB · Views: 2,125
  • 903275_197544843783585_545498167_o.jpg
    903275_197544843783585_545498167_o.jpg
    202.2 KB · Views: 1,879
  • 1499002_197546083783461_825644865_o.jpg
    1499002_197546083783461_825644865_o.jpg
    276.1 KB · Views: 1,759
kazi kazi..hii chadema msingi inmeipenda sana
 
wale wa buku saba watumwa wa chama chakavu wako wapi leo au viroba vimeshawalaza chaliii
 
Tupo uwanja wa posta ya zamani Ngara,ccm ndo inakata roho mdogo mdogo,watu ni wengi balaa Dr:Mbasa akifunga furushi la dhambi hapa uwanja wa zamani wa posta jioni hii,tuko na Dr kabangira, Kadi za miccm zinavunwa kama njugu mawe hapa Ngara uwanja wa posta ya zamani.

Yaani Ccm ife! Chadema iwe haijazikwa turn? Ccm tunashuhudia kifo na mazishi ya chadema
. Ccm ndio Baba la siasa. Tulieni mjifunze, acheni kulia.
 
siku zote tunasema hapo CDM ilipofikia ni vigumu mno kuishusha , haiwezekani .
 
Hahaha hahaha hahaha eti furushi la dhambi duu
 
Back
Top Bottom