Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
- Thread starter
- #81
Alafu Ben
Twende kwa step tafadhali, unajua, the way unavyoelezea umuhimu wa vijana katika mageuzi ni katika namna ambayo mtu anaweza kufikiri kwamba Vijana wana solutions za matatizo yote tuliyonayo, kitu ambacho sikubaliani nacho.
Mimi ni mmoja wa vijana ninaopinga sana dhana ya kusurrender all power to youth, naipinga vikali kabisa, Mambo aliyoyaeleza Joss ndio sehemu ya sababu ninazozisimamia pia, ninarudi kuangalia huo mjadala wako na Mkandara uko vipi, lakini naomba nikuweze wazi, katika kosa ambalo binafsi siwezi kukaa kimya nikiangalia linafanyika katika Jamii yangu ni kuruhusu siasa kusimamiwa na vijana kwa kiwango kikubwa.
Vijana muanzie hapa kuonyesha uwezo wenu.
Muonyeshe ufanisi kwenye namna mnavyosimamia idara za vijana kwenye vyama vyenu, mpaka sasa hamjaweza kuwashawishi watu kwamba mnaweza kusimamia michakato ya kisiasa kwa uadilifu.
Angalia CCM, UVCCM haielewi inaanya nini, na kila inapojitutumua inaharibu, UVCCM bila wazee wa CCM si chochote si lolote.
BAVICHA, bado hatujaona influence yenu kwenye usimamiaji wa michakato imara ya kisiasa, tuko kwenye mchakato wa kuandaa katiba mpya, BAVICHA is out of the show, Uchaguzi wa viongozi wenu wenyewe ulijaa uchafu mpaka ulipoingiliwa na DR SLAA. tutawaaminije, msituburuze Ben.
Hapo kwenye red nilishakujibu kwenye post uliyoni-quote.Tulia usome pia page 3
Hatuna baraza huru la vijana,hatuna chombo cha kuwasemea na kuwaunganisha vijana kuhusu mwelekeo wa kupambana na mfumo.tulihitaji baraza huru la Taifa la vijana bila kujali vyama,dini au makabila.Ninashukuru chama changu CHADEMA kimeweka ajenda hii inayotakiwa kufanyiwa kazi na BAVICHA.
Naamini YPM itashirikiana na asasi nyingine za kiraia,wanaharakati wanazuoni wenye mtizamo chanya juu ya mageuzi ya kimfumo kuhakikisha lengo linafikiwa.Tunatazamia kuanzisha vuguvugu nchi nzima,semina,makongamano na kupigania maslahi ya vijana na taifa kwa ujummla katika vyombo na idara za kimaamuzi.
Kuhusu kujadili kuhusu UVCCM,mimi sitajadili tena na nilipokuwa nagombea Uenyekiti BAVICHA nilisema UVCCM haiwezi kuwa mtetezi au kiunganishi cha vijana tena.Ni kijiwe cha watoto wa vigogo tu.Kuhusu BAVICHA litajadiliwa na mamlkaa husika
Our goal is to mobilize the masses of Tanzania for our general good. We shall stand with the Tanzanian masses at all times, by fighting for and on their behalf against any oppressor – whether individuals, other organizations or the government of the day. Our movement must be a champion of our people's interest. For our goal to be achieved, our masses must see us as the hope of the common man on the street. Our strategy is to be seen as the voice of the people of our nation.
To achieve this, our army of lawyers will be used to institute legal cases in defense of the masses of our country whenever and wherever the need arises, our medical personal members shall be mobilized to give free medical services to the masses of our people, our internet team must be online twenty four hours to rightly spread our message and inform our people rightly, our members in the press are expected to expose the lies of the government of the day and also spread our message of hope. All other Field members will be mobilized with the members of the Executive and the Conclave to acts in defence of the the under-privileged as the situation demands when the need arises.
Our approach is to through selective intervention in the affairs of the masses of our country in order to relieve their hardship, win their hearts for the final struggle against bad governance. We shall through such selective interventions, compel our government to surrender to the ultimate will of our people because we will take legal action where they act in breach of the people's will and our law; and where appropriate institute civil disobedience in accordance with the laws of our land and international laws of justice.
We will reach out to the leadership of the traders association including that of the trade unions. We will also seek an alliance with the labour union in the country. Along this line, we can reach other to Tanzanians of better standings including public office holders who are willing to join us as Patron members.
We are aware that some of them seriously want change in our country but cannot act in the open because of their political interest. In particular, we know that most of them because of their dirty past cannot afford to challenge the government of the day in the open. We know they have perfected the anti corruption agencies in our land as a tool to silence the few office holders in our land that want to stand on the side of the people. We are providing the organization as a tool for them to help cause change in our country without exposing themselves to harm. With these, all of us can work for the change that we all desire in our country with minimal harm.