Habibu Mchange na Afande sele! Hahahaaaa act wana vituko vya kikomedHebu tutajie hao watu kwenye ACT wenye akili nyingi
Dovutwa kuna siku aliwasifia Chadema.Hawana ratiba zozote, kazi yao imekuwa kumsakama profesa lipumba tuu.. mpaka wamesahau kilichowafanya waingie kwenye siasa.hata dovutwa kawadharau.
Ukiuliza mipango ya miaka 20 ijayo chadema iko wapi hutaipata popote. Unasema usilolijua. Mipango imo vichwani mwa kila kiongozi na haifanani. Kila mtu ana sera zake kichwani na zinalipuka kutegemea na mazingira aliyopo. Hahaha. Sijui ni chama cha namna gani.Kwani CHADEMA inatakiwa kufanya wanachofanya ACT au CCM,CHADEMA ni taasisi kubwa ina mipango yake kwa miaka 20 ijayo.Na hutakuja kuona "akili nyingi" ACT wakiilaza na viatu "akili nyingi" wenzao CCM,ila utaendelea kuona "akili ndogo" CHADEMA wakiendelea kuipigisha kwata CCM kila baada ya mwezi mmoja.NYIE PANGENI SISI TUNATENDA,MIPANGO SIYO MATUMIZI.
Mpaka baba yao zzk,,,,maana hajielewi ni wapi anasimamiaHapa kwa mujibu wa Afande Sele unamsema Habib Mchange
Babeli is stupid.Ukiuliza mipango ya miaka 20 ijayo chadema iko wapi hutaipata popote. Unasema usilolijua. Mipango imo vichwani mwa kila kiongozi na haifanani. Kila mtu ana sera zake kichwani na zinalipuka kutegemea na mazingira aliyopo. Hahaha. Sijui ni chama cha namna gani.
Usiifananishe CHADEMA na ACT Chama kinacho bebwa ndani ya briefcase na mtu mmoja siku ikitokea ana fariki na Chama kinazikwa siku hiyohiyo.Ni katika uhuru wa mawazo natafakari hili, demokrasia katika Africa imekuwa na maigizo mengi sana, mara nyingi vyama tawala bila kujali kukubalika kwake na wananchi vimekuwa vikitumia dola na fursa ya utawala kujihakikishia utawala wa milele. uhuru wa kidemocrasia wa vyama pinzani umekuwa ukibanwa pasipo sababu za msingi.
Ili vyama vya upinzani viweze kwenda mbele vinahitaji watu makini wenye weledi na ujanja wa kisiasa kutumia fursa ndogo wanazozipata kujitangaza na kujenga hoja madhubuti na kufanya chama tawala "kihahe".
Ni miezi michache iliyopita shughuli za kisiasa za vyama ni kama ilikuwa imepigwa marufuku kabisa, sasa angalau mikutano ya ndani imeruhusiwa.
nilitegemea fursa hii ya kuruhusiwa mikusanyiko ya ndani kwa chama kikubwa kama CHADEMA ingeitumia vizuri ili kuhalalisha madai yao ya kubanwa kisiasa. na kwa kuwa chama kina mtandao wa nchi nzima pengine zingeibuliwa hoja mbalimbali zenye kuonyesha mapungufu ya kiutendaji ya serikali na pengine kushauri maeneo ya kuboresha, yote ni katika kuletea maendeleo taifa letu.
ACT wazalendo pengine ni chama kinacho onekana kidogo kilicho na mbunge mmoja tu, wao wameiona fursa hii jana walikuwa na mkutano wa kidemocrasia uliokuwa na waliikwa mbalimbali, sitajikita sana ya nini kilijadiliwa ila kitendo cha ACT kufanya mkutano ule wa ndani kwa ufanisi, kinafanikiwa zaidi kujitangaza na wameonesha kuwa wanaweza kutumia fursa ndogo zilizopo kufanya mambo makubwa.
Idara za uenezi/habari/na propaganda za vyama vya siasa hasa vya upinzani zinapaswa kuwekwa watu wenye akili nyingi na wanaojua kutumia kila fursa inayojitokeza ili kuimarisha uhai wa chama.
CHADEMA ni chama kikubwa zaidi ya ACT ila idara yao ya PROPAGANDA NA UENEZI ina watu wasio na AKILI KUBWA wakati ACT WAZALENDO ni chama kidogo kuliko CHADEMA ila idara yao ya PROPAGANDA NA UENEZI ina watu makini na wenye akili nyingi.
Najiuliza CHADEMA wana hoja gani kwa wananchi? je hiyo hoja yao itatoka kwa mikutano ya hadhara na maandamano pekee?
Ni katika uhuru wa mawazo natafakari hili, demokrasia katika Africa imekuwa na maigizo mengi sana, mara nyingi vyama tawala bila kujali kukubalika kwake na wananchi vimekuwa vikitumia dola na fursa ya utawala kujihakikishia utawala wa milele. uhuru wa kidemocrasia wa vyama pinzani umekuwa ukibanwa pasipo sababu za msingi.

Kama wewe ulivyo mweupe kichwaniMkuu tokea Chadema iuzwe kwa Mafisadi, haina ajenda wala mvuto kwa watanzania.
Wild beast waliobakia nao wanaishirizia ufipa kutabaki kweupe.
Hahahha. Polisi kamata hii mutu. Imekosa uvumilivu. Kweli ukweli unauma. Na ujue bila kuambiwa ukweli you will never change.!!Babeli is stupid.