Chadema ni chama cha kikabila, ushahidi huu hapa.

Status
Not open for further replies.

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Binafsi mimi sio mwanacha wa Chadema wala CCM, ila huwa naangaliaga sera nzuri kwa mgombea.

Nimejaribu kufuatilia na kuichunguza Chedema ila nimekuja kugundua ni ukabila wa kufa mtu.

Ndugu zangu wa Tanzania Chadema ni chama cha wachagga, siku ikipewa mamlaka wachagga watanywea pombe Ikulu.

Ni hivi kwa uchunguzi wa kina hata Arusha, katika ngazi uongozi wamewajaza wachagga.Ukizingatia wachagga ni asilimia ziro point something hapa...hata wanaharakati wengi wa Chedema ndani ya nchi hii ni wachagga.

Tatizo Chedema imeanzishwa kwa msingi ya kikabila, tofauti na CCM, ambacho mtu yeyote anaweza akawa kiongozi mahali popote.. Tatizo la CCM ni kwamba kuna wahuni wachache wanataka kukiharibu.
Na huyu jamaa anayeleta urais wa kikanda na kuendeleza eneo alilotoka tu bila aibu.. Je anaotesha mbegu gani Kwa marais baadaye watakaye toka kanda zingine.

At least chama mbadala hapa ingekuwa ACT japo ina elements za udini kwa umbali ila ni bora kuliko Chadema.

Kwa ushahidi chunguzeni chadema hapa Arusha, kuanzia ngazi ya Kata mpaka Taifa.. Wengi Wao ni wachagga na wanapenda kusimamisha madiwani wachagga katika kata mbalimbali hapa Arusha.Lakini Kwa CCM wagombea wakatokea katika Kata mbalimbali hapa Arusha wakatokea Kwa Kabila lolote as longer as amekizi vigezo.

Siku watanzania wakabugi wakaingiza Chedema madarakani, ni kwamba wachagga watanywea pombe Ikulu na watageuka miungu watu.

Hawa wakina Lissu, shangazi,Mdude anapendwa tu kipindi hichi cha harakati lakini siku Chadema ikishika madaraka, wdaraja.atakuja kugundua walikuwa kama baruti ya kuvunjia miamba
 
Mkuu leta mada nyingine hii imepitwa na wakati naona mnaona uchaguzi umekaribia mnaanza ukabila na ukanda,vipi chama Cha mboga mboga hamna ukabila??
 
Chadema inaukabila,binafsi si ipendi CCM ila Chadema sio chama cha siasa.. Ila msingi mibaya ya ukabila.
 
Uliposema Act niakaacha kusoma

Hujui act imeanzishwa kwa fedha ya Ccm

Kiufupi upinzani unahitaji mkakati sio ujanja ujanja
 
Binafsi mimi sio mwanacha wa Chadema wala CCM, ila huwa naangaliaga sera nzuri kwa mgombea.

Nimejaribu kufuatilia na kuichunguza Chedema ila nimekuja kugundua ni ukabila wa kufa mtu.

Ndugu zangu wa Tanzania Chadema ni chama cha wachagga, siku ikipewa mamlaka wachagga watanywea pombe Ikulu.

Ni hivi kwa uchunguzi wa kina hata Arusha, katika ngazi uongozi wamewajaza wachagga.Ukizingatia wachagga ni asilimia ziro point something hapa...hata wanaharakati wengi wa Chedema ndani ya nchi hii ni wachagga.

Tatizo Chedema imeanzishwa kwa msingi ya kikabila, tofauti na CCM, ambacho mtu yeyote anaweza akawa kiongozi mahali popote.. Tatizo la CCM ni kwamba kuna wahuni wachache wanataka kukiharibu.
Na huyu jamaa anayeleta urais wa kikanda na kuendeleza eneo alilotoka tu bila aibu.. Je anaotesha mbegu gani Kwa marais baadaye watakaye toka kanda zingine.

At least chama mbadala hapa ingekuwa ACT japo ina elements za udini kwa umbali ila ni bora kuliko Chadema.

Kwa ushahidi chunguzeni chadema hapa Arusha, kuanzia ngazi ya Kata mpaka Taifa.. Wengi Wao ni wachagga na wanapenda kusimamisha madiwani wachagga katika kata mbalimbali hapa Arusha.Lakini Kwa CCM wagombea wakatokea katika Kata mbalimbali hapa Arusha wakatokea Kwa Kabila lolote as longer as amekizi vigezo.

Siku watanzania wakabugi wakaingiza Chedema madarakani, ni kwamba wachagga watanywea pombe Ikulu na watageuka miungu watu.

Hawa wakina Lissu, shangazi,Mdude anapendwa tu kipindi hichi cha harakati lakini siku Chadema ikishika madaraka, wdaraja.atakuja kugundua walikuwa kama baruti ya kuvunjia miamba
Hii propaganda mbona ilisha expire?
 
Mimi ni m-chato na ni mwanachadema,
 
Siku hiz mada za kuwaponda wachaga zimekuwa nyingi aisee.
Unaweza jutia hata kabila lako

Ukabila,ukanda umerudi Kwa Kasi siku hiz

Ila waliyataka wenyew

Cc aikambee
 
Kwa hiyo sample space yako ni Arusha?. Naona utafiti wako umejikita zaidi mkoa wa Arusha ambapo kuna asilimia kubwa ya wachaga waishio hapo. Hauoni kuwa hoja yako ni dhaifu ?
 
Cheap politics...yaan siasa za ccm zinalenga kutugawa kupitia udini na ukabila... Tubishane kwa hoja zenye mantiki
 
wachaga ndio kabila pekee lilitaka kujitenga na Tanzania waanzishe nchi yao ya Chagaland. wachaga ni wabinafsi sana na wezi

Kama balance ya makabila ni cdm kuwa na katibu mkuu kama Mashinji basi bora huko cdm wawe wachanga tu. Saa hii ccm wamebaki wanawacheka cdm kwa kuingia mkenge kwa kuwa na katibu mkuu mzigo wa kigezo cha viongozi kuwa wa kabila lingine. Magufuli kajaza wakristu na watu wa kanda ya ziwa huku akifanya upendeleo wa wazi wa huko kijijini kwao tena mubashara, kila mtu anamuona ndio itakuwa huu upuuzi mnaotuambia hapa? Ni hivi, huu upuuzi wa eti kabila fulani linajipendelea ni siasa mfu kwani kwa sasa Magufuli anafanya hayo waziwazi huku akisifiwa kila mahali tena kwa kujaza wananchi hofu.
 
Siku hiz mada za kuwaponda wachaga zimekuwa nyingi aisee.
Unaweza jutia hata kabila lako

Ukabila,ukanda umerudi Kwa Kasi siku hiz

Ila waliyataka wenyew

Cc aikambee

Hiyo ni kama sehemu ya kutakatishia au kufunika anayofanya Magufuli huko Chato na kanda ya ziwa.
 
Kwa hiyo sample space yako ni Arusha?. Naona utafiti wako umejikita zaidi mkoa wa Arusha ambapo kuna asilimia kubwa ya wachaga waishio hapo. Hauoni kuwa hoja yako ni dhaifu ?
Hamna asilimia kubwa hapa ww.. Wachagga ni asilimia ziro point something.. Makabila makubwa hapa Arusha ni waarusha, Wameru na wamasai.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom