CHADEMA ni chachu tu, haiwezi kuikomboa Tanzania


Uelewa wangu kutofautiana na wa kwako ni natural wala sio dhambi na watu hawawezi kuwa sawa.
Wasomi kuanzisha haina maana kitakuwa cha wasomi peke yao ila wao ni dira ya mabadiliko.
 
Ukiweza toa jibu la hili swali baada ya kusoma alichosema Mtei ambaye ni mzee wa CDM na mshauri. Unategemea nini kama mtu mwenye upeo na elimu kama huyu kusema maneno haya. This is very recent, sio 2010, hii ni 2012 aliyasema maneno haya: Fuata hiyo link.

http://1.bp.blogspot.com/-xTseBL2c_9U/T4GPMGOlr8I/AAAAAAAAGoQ/eyi6VGhVO8g/s1600/KATIBA2.png

Ya huko nyuma labda watu waliyasahau, lakini haya ya kutaka tume ya mabadiliko ya katiba iwe na uwiano wa wateuliwa kulingana na dini zao ni nini? Sio udini?
 
weka chadema 2015,ili ccm wajifunze adabu watakaporudi madarakani

wametukosea heshima kwa muda mrefu na hawajifunzi wakiwa madarakani
 
Ndugu mleta mada,ukisema tusubiri chama ambacho hakitahusishwa na propaganda ni kujidanganya,kwani hakuna siku CCM itaacha chama cha upinzani tishio kifanye shughuli zake bila kukihusisha na udini,ukabila,ukanda nk ili kudhoofisha upinzani.
Hivyo,si sahihi kutathmini chama kwa propaganda zinazo zushwa na chama tawala dhidi yake bila kuangalia ukweli wa hizo propaganda kama ulivyo fanya mkuu wangu.
CHADEMA has proven beyond doubt to be a national party for Tanzanians' welfare.
Only blind one can fail to see the fact.
 
ucdrop thread ili mrad wa2 wachangie u must think b4 u reap, we unakurupuka unafkiri mtt mdogo kuleta mada za kshabk humu. chama cha miungu hawana jpya xaxa wewe unawatetea utafkiri baba ako mwenyekt mtaa wa chama cha miungu. :mad2:
 
ucdrop thread ili mrad wa2 wachangie u must think b4 u reap, we unakurupuka unafkiri mtt mdogo kuleta mada za kshabk humu. chama cha miungu hawana jpya xaxa wewe unawatetea utafkiri baba ako mwenyekt mtaa wa chama cha miungu. :mad2:

Umezoea kusifiwa! Kila anayekukosoa utafikiri ni mtoto! Chukua hizo shutuma halafu kazifanyie kazi ujenge chama chako.
Hivi ni kweli hujayasikia hayo tangu uzaliwe? Muda si mrefu usipokuwa makini utakuja kuona athari ya hizo shutuma. Amka kijana/ mzee. I will tell you what you need to know not what you want to hear.
 

Yeah ASKOFU KAKOBE yeye ni wa DHEHEBU MOJA kati ya 20 ya KIKRISTO; Sasa kama yeye anongelea UCHADEMA; WAPO WENGI WALIPONGEZA U-CCM na BAADHI YAO NI WABUNGE NDANI YA CCM

KIONGOZI alieyeanzisha CHADEMA ni BOB MAKANI - MSUKUMA-MWISLAMU; EDWIN MTEI-MKSRISTO (CATHOLIC) - MMARANGU; MBOWE- MMACHAME-MKRISTO(LUTHERAN)

Sasa hapo ni kuwa EDWIN MTEI na MBOWE sio KABILA MOJA; SIO DINI MOJA... LUGHA tofauti - MBOWE KIMACHAME; MTEI - KIMARANGU sio KIVUNJO
Ni Sawa na BOB MAKANI - MSUKUMA - WA SHINYANGA sio wa MWANZA ni tofauti - NI MWISLAMU - SUNNI sio SHIITE

SASA Kama UKIFANYA HIVYO UTAKUTA CHADEMA IMEBADILIKA zaidi NDIO MAANA NYERERE aliihasisha KISWAHILI na kuondoa HAYA MAMBO YA UDINI na UKABILA yaliyoanza wakati wa UTAWALA wa RAIS KIKWETE

UKIONGELEA FAMILIA YA SLAA CHADEMA?
VIPI FAMILIA YA KIKWETE; PRINCE; MKEWE; KAKA YAKE; DADA YAKE woooote wako NDANI YA CCM-NEC?

UKIONGELEA hivyo

MATHAYO DAVID MATHAYO - WAZIRI ni MTOTO wa CLEOPA MSUYA

ADAM MALIMA - WAZIRI ni MTOTO wa KIGHOMA MALIMA

Teresa HUVISA (SIJUI NIMELIPATIA VIZURI) - WAZIRI - ni MTOTO wa LAWRENCE GAMA
Ana KAKA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO

Kawawa ana Watoto 2 WABUNGE

HII NI KWA UFUPI ITAJAZA JAMII FORUMS PAGES...

Sasa KUWA MAKINI SANA UKIONGELEA UDINI na UKABILA; Sababu Enzi za KIKOLONI MANGI Wamachame na CHIEF MAREALLE wa MARANGU walikuwa Hawapatani; ILIKUWA ni VITA KILA MARA... Sasa BILA NYERERE kuondoa UCHIEF na UMANGI Wachagga Wasingekuwa kama unavyoona ni PAMOJA; NI TOFAUTI KABISAAA hadi CULTURE zao

Angali WABUNGE wengi UCHAGANI ni wa CCM...
 
Reactions: Pai

Bayana, unapoteza muda wako kwa spinning za kijinga. Pole sana!
 

Mkuu umenena very right.
 
Bayana, unapoteza muda wako kwa spinning za kijinga. Pole sana!

Sasa ngurumo mbona husemi ujinga uko wapi? Kaa ukikumbuka kuwa hata siku moja watu wote hawawezi kuwa na mawazo ya aina moja. Jifunze kujenga hoja zaidi ya kutukana. Unajua maana ya ujinga? Iko siku utakuja kusema kwamba upande unao usupport hauna lolote. Ila wakati huo hutakumbuka haya maoni kwa vile muda utakuwa umeshapita. I give you up to 2015 na nitairudisha hii thread after the 2015 election ili nikukumbushe mungu akituweka hai.
 
Bayana, unapoteza muda wako kwa spinning za kijinga. Pole sana!

Sasa ujinga uko wapi hapo au ndio mapenzi yamezidi? I will remind you baada ya uchaguzi wa 2015 mungu akituweka hai.

Kuna swali nimeuliza hapo juu na link nimetoa, ni nani anayeweza kujibu hiyo kauli ya MTEI? Mbona mnakwepa? Mnaishia kutukana tu!
 


...
[/SIZE]

Sasa kama unaamini hivyo kaka, tofauti ya CCM na CHADEMA ni ipi ikiwa wote mnarithishana uongozi katika vyama vyenu?

Hivi unajua kwa nini Ndesamburo alimwambia Hamid Rashid kwamba CUF kuna udini? Huyu mtu mzima naye alitumia vigezo gani wakati hicho chama kimesajiliwa na taasisi moja kama ilivyo CHADEMA?
 
Nafikiri mleta mada hujafanya utafiti wa kutosha au hujafanya utafiti kabisa. madai yako yameegemea kwenye mambo ambayo ccm na TBC wanataka watu wayasadiki. unapo sema chama kitakacho kubalika na wengi ni kile kilichoanzishwa na wasomi, unauhakika?wasomi wengi wanatoka mikoa hihyihiyo na siyo muda mrefu hayahaya madai yatajitokeza. kwa sisi tulioko kwenye opposition hususan CHADEMA tunakiamini chama chetu na tunamatarajio makubwa nacho. wewe na nadharia zako kaa pembeni tuache sisi tufanye mabadiliko. hivi nini duniani kisicho na kasoro? HUKO CCM udini,ukabila, kujuana ndio mambo yaliyo kithiri, wanabahati vyombo vya dola vinawasaidia kwa kiasi kikubwa.2015 kitaeleweka tu.
 
fact check
kama kuna jambo ambalo ni dhahiri kwa sasa kwa tanzania, ni hamu ya watanzania kupata mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi.
 
Unazidi kupoteza muda wako na spinning za kijinga, jifunze...better has no finishing line!
 

Kama CCM kuna undugu nization nao Chadema wakifanya kama wao unaona sawa sio? yaani kama CCM kuna ufisadi na CDM mtafanya vivyo hivyo sio? ndio maana Wananchi walio wengi hawana imani na CDM!
 

Hivi deadline yako ya mtu kuthibitisha shutuma ni lini?Hao waliotoa shutuma dhidi ya CHADEMA hawajaweza thibitisha na siku zinakwenda life inapaswa kuendelea mbele.Mahakama huwa ian drop na kuruhusu kufunguliwa kwa madaia kwa kuchagua mwingine na mambo mengine kama hayo...Sijui mmeamua kuganda na CCM.
 
Unazidi kupoteza muda wako na spinning za kijinga, jifunze...better has no finishing line!

Mkuu ur one of the GT in this forum, but to my suprice u don't help CDM advocate the kind of change that we need
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…