CHADEMA ndiyo walioshinda uchaguzi mdogo wa Igunga

Kwa mujibu wa mkuu wa uchaguzi Igunga mshindi MGOMBEA KUPITIA AFP ambaye amepata kura 235,000; nashangaa kwa nini hakumtangaza!
 
Hizo pesa za kujenga barabara , maji nk kwa wana igunga nyie ndio mgezipata wapi ? isssue bado iko pale pale mlikuwa mnawategemea wakina magufuli kuwapigia magoti wajenge, na ingekuwa aibu kwa watu wa igunga kuchagua mbunge wa cdm ambae anakuja kutekeleza ilani ya ccm.

mimi siamini kwamba wewe ni GB magufuli kujenga barabara si hela za ccm bali ni kodi ya watz.
 
Jamani jueni jambo moja tuu...Kura alfu 26.... na alfu 23.... japo ni CCM wamechinda wajue tuu kuwa sasa upinzani unakuja juu kuliko,Na CCM wanaporomoka kama thamani ya shilingi kwa dolla.
 
Kushinda au kushindwa huwa hakuna maelezo ni suala la wazi.

My take : opposition hawahitaji kutolea maelezo ya kushindwa, they just have to take note if there is a stead growth in their popularity else they have to rework their way of doing political business.

This country needs a strong opposition, I MEAN WISE OPPOSITION not trouble makers to discipline whoever is rulling not by causing problems but by critically challenging them.

I was lookin for something to take me to bed, this is it! Thanks bobb...
 
Uchaguzi wa Jimbo la Igunga umemalizika J2 na mshindi kutangazwa jana 3 Oktoba,2011 na msimamizi wa Uchaguzi. Kwa kufanya tathmini ya haraka haraka tu baada ya Uchaguzi na matokeo kutangazwa CHADEMA kwa uhakika kabisa ndiyo Walioshinda Ubunge huko Igunga. Nitaeleza.
  1. CHADEMA wamepata kura 23,260 dhidi ya kura 26,484 za CCM.Tofauti ya kura 3,224! Tukumbuke kuwa Uchaguzi Mkuu 2010 CDM hawakuwa wamesimamisha mgombea Ubunge jimbo la Igunga. Lakini mgombea Urais wa CDM Dr.Slaa alipata kura 8,000+. Hii inaashiria kuwa CDM inapendwa na ina uhakika wa kufanya vizuri zaidi 2015.
  2. CHADEMA wametumia gharama ndogo ukilinganisha na CCM chama twawala. Gharama elekezi ya Uchaguzi toka msajili wa Vyamailikuwa Tshs.80m. CCM wametumia NGUVU na GHARAMA kubwa sana kulipata jimbo hili. Tunaambiwa CCM wametumia Tshs.10 Billion!Gharama hizi lazima ziwe juu kwa vile Serikali yote ilihamia Igunga.
  3. CHADEMA wametumia HELIKOPTA MOJA tu wakti CCM wametumia HELIKOPTA MBILI.
  4. CHADEMA hawakutumia SERA ya UDINI kama walivofanya CCM kwa kumgeuza DC wa Igunga kuwa mtaji wa siasa za UDINI. Pamoja na siasa CHAFU za udini za CCM bado hazikufaulu. Tumeona Masheikh wakihimiza Waislamu kutoipigia CDM kura kwasababu ya kumdhalilisha DC ambaye ni Muislamu fake!
  5. CHADEMA kupata KURA 23,260 dhidi ya CUF iliyopata kura 2,104 ni ushindi tosha kabisa dhidi ya SIASA CHAFU ZA UDINI(Uislamu).
  6. CHADEMA wamepata kura 23,260 kwa mjini tu yaani KATA 5! Huu ni wastani wa kura 4,652 kwa kata! CCM amepata kura 26,484 toka KATA 17! Huu ni wastani wa wapiga kura 1,557 kwa kata.Kwa maana hiyo kama CDM kikianza kujiimarisha vijijini CCM wajue watakuwa na hali mbaya sana na hawatakuwa na kitu tena Igunga 2015! CDM lazima wajifunze toka hapo kwamba KUANZISHA MATAWI YA CHAMA VIJIJINI NI KITU CHA LAZIMA NA UTAKUWA MTAJI MZURI SANA KWA GE-2015.
  7. CHADEMA hawajatumia DOLA(Serikali kwa maana ya Polisi,UWT na MAWAZIRI) kujinadi Igunga. CCM wametumia POLISI,UWT na RASLIMALI za SERIKALI.
  8. Kwa CHADEMA hii ni INDICATOR kuwa Uchaguzi Mkuu wa 2015 utakuwa ni UCHAGUZI MKUU WA KUIMALIZA NA KUINYAMAZISHA CCM KWENYE ULINGO WA SIASA ZA TANZANIA.
Kwa vipengele hivi inadhihirisha kabisa CHADEMA ndiyo washindi wa jimbo la Igunga na siyo CCM. Kwa mara nyingine CHADEMA wameithibitishia serikali ya CCM kuwa ndicho Chama pekee cha upinzani chenye nguvu Tanzania kwa sasa! Huo ndiyo ukweli wenyewe bila kujali CCM kama watakubali au la.

Nawasilisha.

Chadema hawakusimamisha mgombe ubunge igunga 2010. Hakuna kigezo cha maana unachoweza kutumia kama ushahidi kuwa kura za ubunge zimeongezeka.

Kwa kuzingatia nguvu mliyotumia pamoja na umasikini wa chadema. It is so discouraging kushindwa hata kwa kura moja, acha hizo elfu tatu...
 
Tufahamu CCM Ni chama dola,kinamiliki serikali na maamuzi yake.Suala la kukitoa madarakani ni suala la kishabiki kwa sasa lkn tunashindwa kujua tunataka nini kwa wakati huu na hata hao CHADEMA bado hawajatupa uhakika kama tukiwapa mamlaka hawatafanya kama CCM.Suala lililotakiwa kufanyiwa kazi ni utungaji wa KATIBA ambayo itatuongoza jinsi ya kumpata rais na serikali,chama kitakachomtoa raisi kisiwe ndio serikali na Rais wa nchi asiwe juu ya sheria(kinga ya kutokushitakiwa iondolewe).Mamlaka makubwa aliyopewa rais yapunguzwe na sheria za uhujumu uchumi zirudishwe,uadilifu makazini na kila mmoja ajue nafasi yake makazini na tabia za khanga(kama cdm)zisiwepo.Unajua m2 anapopata muda wa kupiga majungu ujue sio muadilifu,kwaiyo suala la nani aongoze nchi sio muhimi ila muhimu ni nchi iongozwe kwa kufuata misingi hii na ile hilo ndio muhimu kwa sasa sio ooh ccm,ooh cdm ushabiki 2ume2jaa na siasa za vijiweni,mshindi kashinda mwacheni ale vyake.
kwa mtzamo ulio uonyesha kuna kazi ngumu wewe kubadilika, ila napenda kukushauri kuwamabadiliko c kitu rahisi
tulikotoka ulikuwa huwezi kusema balozi wa 10 hse ni mwizi leo tunaweza kusema raisi ameiba. katiba mpya nayo inakuja baada ya watu kupigwa mabomu na risasi leo hii kila kiongozi wa ccm analaani maandamano ya cdm lakini kulikwa na matembezi ya mshikamano. mabadiliko ni muhimu kwa sasa. wafanyakazi tunakatwakodi mpaka kwenye nauli ya likizo ambayo ukisafiri bado utalipa kodi tena. michango ya mashirika ya kijamii ni midogo kuliko kodi japo nako kuna matatizo yake. wakikaa kwenye majukwaa wantuambia tmjenga brbr,shl,hsptl nk kama zawadi wakati watu tunalipa kodi. nimalizie kwa nku kutoka derva wa mchomko kule nyamongo [kodi wanadi kwa bunduki maendeleo tunaomba kwa amani]
 
Back
Top Bottom