Mpui Lyazumbi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2010
- 1,910
- 445
Wakuu, hawa jamaa nilikuwa nawasikia na kuwaona tu kwenye media. Nawashuhudia hapa Sumbawanga, maandamano yamefunga barabara the entire 3km to katikati ya mji. Siyo siri, mimi napata picha mpya kabisa na wasifikiriwe kuwa bado ni chama kidogodogo. Wanasupport ya dhati kutoka kwa wananchi tena walioacha shughuli zao kuja kuwasikiliza. Stay tuned!