CHADEMA ndani ya Songea mjini

Kama unasikia BASI HAINA HAJA YA KUONGEA NA WEWE
 
hapa cdm ninawashangaa, kushangaa pinda kushindwa kuwawekea umeme majirani zake. Sasa kwanini cdm isiamue genereta hili kusambazia umeme kwa baadhi ya wananchi wa madaba?? Kumbe ubinafsi upo katika kila chama!
Chadema inakusanya kodi? Mimi nakushangaa wewe
 
hapa cdm ninawashangaa, kushangaa pinda kushindwa kuwawekea umeme majirani zake. Sasa kwanini cdm isiamue genereta hili kusambazia umeme kwa baadhi ya wananchi wa madaba?? Kumbe ubinafsi upo katika kila chama!

wewe mvivu wa kufikiri .... kabla hujadai na kupata haki yako lazima uijue na kielewa haki yako .... jenereta hillo la CDM linatumika kuelewesha wanachi haki yao wanayostahili kabla hawajaanza kuitafatuta ..... hivyo generator hilo linatoa manufaa zaidi hata kuliko umeme wa songas
 
Wakuu... yale maandamano ya CHADEMA ya amani ya kupinga ugumu wa maisha yanayoende mikoa ya kusini. Leo yanafanyika hapa Songea mjini yakiongozwa na m/kiti taifa Mbowe na Katibu mkuu Dr.Slaa. Yataanza saa saba kuanzia Msamara mpaka Lizabon (km4), ambapo kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara. Makamanda mbalimbali wa chadema wanategemewa kuwasili hapa wakiwa full team...wabunge wote na baadhi ya viongozi wa kitaifa CHM

hapa mjini mambo yameshaanza kupamba moto... watu wana shangwe kubwa na wameshasogea eneo la tukio. Kiufupi Songea ni ngome Kubwa ya Chadema Lakini mara zote CCm wanachakachua kuna madiwani zaidi ya 8kati ya 12. ni jimbo linaloongozwa na Nchimbi, wz michezo na utamaduni

Kuna pikipiki nyingi saana sijapata kuona, vijana wote wana bendera, cap na skaf za CDM
mambo yapo hot... stay tuned

MSIKILIZE ZITTO:

Download or Listen online here ZITTO IN SONGEA









 
Asante sana mkuu kwa taarifa naomba uendelee na usisahau picha....
 
Mkuu tunategemea picha na yanayojiri utakuwa unatu-update hapa jamvini.
 
Kama kawaida tupia picha hapa kati
 
Habari ndio hiyo, safari hii mpaka kieleweke. CCM wamezoea kubebwabebwa tu na dola. Sasa wanakutana kitus Peoples' Power😛ound:
 
amepotea ghafla?

Anatafutwa huyoo kaogopa! (Just kidding wajameni),

Jamaa uzalendo umemuwia ngumu kaamua kuingia barabarani nadhani tutapata picha akirudi ofisini na leo ijumaa.
 
hii ni kali.jamani kwa nini cdm msipunguze makali maana kwa hali hii nchi itakwenda kweli??????????mwanzo mwanzo hivi si tusubiri 2015?
 
Maandamano leo yamekuwa choka mbaya!! Picha zinachakachuliwa zitaletwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…