Wadau wapenda maendeleo nipo ktk mji mdogo wa katoro mpakani mwanza na kagera hali ni ya mashamsham utafikiri anakuja cjui nani maana hata rais huwa cio hivi,muda mfupi ujao kutakuwa na maandamano na mkutano wa hadhara,hii ni wakeup cal kwa cheyo,wasira, nk wanaowatia hofu wtz,kwa hali ilivyo naomba serkali ifate ushauri wa kuwakamata ili iwe rahisi kuiondoa madarakani.pipooos pr ni noma
Inaonesha Mkutano utakuwa mzuri sana kwani maandalizi mazuri yamefanyika.Baadhi ya Wabunge tuko hapa Twiga Lodge tunasubiri muda ufike.Jana nako Chato mambo yalikuwa mazuri sana.

anawalipa Mungu.Mama .
Nyie wabunge mkiwa Bungeni mnalipwa posha kila siku. Je huko anawalipa nani Posho? na vipi hao wnaowahamasisha wanalipwa na nani? au ndio kuwadanganya watu wakati nyie mpo kazini?
Mama .

Una akili fifu sana!Mama .

CCM wapeleke hoja Bungeni ya kufuta ruzuku ya vyama vya siasa hata kama na wao wataathirika. Inaelekea CDM hawafanyi kosa na ruzuku yao; ruzuku inatumika kuibomoa CCM kisawasawa. Dawa ya kukomesha haya maandamano na mikutano ya CDM isiyoishia ni kuwaondolea uwezo wa mapato. CCM wao si wana vyanzo vingine vya mapato kama viwanja vya mipira na majengo!!!!
wAKIondoa ruzuku tutachanga cash!..habari ndiyo hiyoCCM wapeleke hoja Bungeni ya kufuta ruzuku ya vyama vya siasa hata kama na wao wataathirika. Inaelekea CDM hawafanyi kosa na ruzuku yao; ruzuku inatumika kuibomoa CCM kisawasawa. Dawa ya kukomesha haya maandamano na mikutano ya CDM isiyoishia ni kuwaondolea uwezo wa mapato. CCM wao si wana vyanzo vingine vya mapato kama viwanja vya mipira na majengo!!!!
Haijalishi kama kuna posha au la...uhai wa chama kwanza mengine baadae
Tusiwe waongo. Chadema wanapata ruzuku zaidi toka rome
wAKIondoa ruzuku tutachanga cash!..habari ndiyo hiyo