Chadema ndani ya military university...!!

Lusinde yupi, huyu mbunge we CCM mwenye matusi au CDM na nyinyi mnaye wa kwenu?
Duh Kamba mchana kweupeeeeee!!!!!!! Mashariki si yupo Zambi (CCM) na Magharibi ni Silinde (Chadema)?
 
badala watulie majimboni kwao wanaenda kusumbua watoto wasisome
Mtoto mwenyewe!!!! Kwani Nape Nnauye si amevuka umri wa kuwa UVCCM? Mbona anasoma pale? Au yupo kwenye list ya watoto?
 
tafadhari mkutano unaanza saa ngapi mr. mzumbe?.
pia 2patie ufafanusi kuhusu Lusinde, ni nani huyu CDM?
 
tafadhari mkutano unaanza saa ngapi mr. mzumbe?.
pia 2patie ufafanusi kuhusu Lusinde, ni nani huyu CDM?

Hapo nimekosea,ni David Silinde.Mkutano unaanza Saa nane {8} ndani ya viwanja vya "CHANGARAWE"
 
Taarifa yako ya kesho tafadhari naomba isiwe na makosa kama ya leo

mf Tarehe 28.02.2012 badala ya 29.02.2012
Lusinde badala ya Silinde
Military University

It shows how unreliable source you are Miss Mzumbe.
 
Mtoto mwenyewe!!!! Kwani Nape Nnauye si amevuka umri wa kuwa UVCCM? Mbona anasoma pale? Au yupo kwenye list ya watoto?

Hivi nepi ni mtoto ama ni mzee maana mwonekano wake hata kwa hazi ya kuitwa kijana haupo kijana gani ambae hana mwamko na uchungu wa uozo unaofanywa na viongozi waloko madarakani
 
Naona vijana wazalendo wanazidi kumiminika kwenye viwanja vya mkutano.Magamba wanatafuta pakujificha.
MAGWANDA HOEEE...
 
ok! tutashukuru ila usisahau kusema kweli daima hata wakizomewa
 
ok! tutashukuru ila usisahau kusema kweli daima hata wakizomewa

Hakuna kuzomewa huku!!mpaka sasa wanapiga nyimbo za hiphop za bongo!!vp zile nyimbo zetu za harakati??
Kitu cha STIMU ZIMELIPIWA-joh makini kinakimbiza mbaya.
CDM HOYEEE...
 
NYIMBO ZA CHADEMA ZINAGONGWA SASA,UKO tunavuta subira ya kuwasuburi MAKAMANDA.Ukumbi huku full...!
People power hoyeee.....
 
Makamanda bdo hawajafika lakini ukumbi umejaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…