JF presenter? Una maana gani mkuu?Hallo wana-jf,
siku ya tar 28-jan{jumapili} makamanda wa CDM watakuwepo MZUMBE university.
Mpaka sasa board za matangazo zinaeleza viongozi wafuatao watakuwepo:-
1.Zitto
2.Lusinde
3.Mdee
4.Mnyika
5.Msanii Sugu.
Wakiongozwa na katibu mwenezi,bwana John Mnyika.
Nitakuwepo kwnye mkutano kama "jf presenter" kuwapa full update.
Ahsante.
usimfananishe mbunge wangu na kilaza yule!Mbunge wa Mbozi mashariki anaitwa David Silinde,siyo lusindeLusinde ni mbunge wa Mbozi Mashariki kwa ticket ya Chadema.
Shilinde au Lusinde?Lusinde ni mbunge wa Mbozi Mashariki kwa ticket ya Chadema.