Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,036
- 142,955
Ina maana Mzee Mbowe anayo Leseni ya kukopesha fedha inayotolewa na Bank kuu ya Tanzania ?kama hana kibali cha kukopesha toka BOT huyu mzee kwa ufupi ni anafanya bishara haramu.I’m continuing to read the tea leaves from Tundu Lissu’s Clubhouse appearance.
Lissu aliulizwa swali kuhusu Mbowe kuibeba CHADEMA kifedha.
Akafunguka na kusema kuwa kuna nyakati kamati kuu ya chama ilikuwa inamwambia Mbowe kuwa chama kinahitaji kiasi hiki cha pesa kwa sababu moja, mbili, tatu.
Akishataarifiwa kuhusu hayo mahitaji ya kifedha, Mbowe alikuwa anaenda anakokujua yeye mwenyewe na kurudi na hizo pesa.
Hizo pesa zilikuwa ni mikopo kwa CHADEMA.
Baadaye chama kikipata hela za ruzuku, deni lilikuwa linalipwa kwa huyo mkopeshaji [Mbowe?].
Kisheria kwa sheria zilizopo, sijui uhalali wake ukoje hapo.
Ila nimewaza na kufikiria kuwa yawezekana kulikuwa kunafanyika kamchezo haramu hapo.
Inawezekana katika kuilipa hiyo mikopo, kulikuwa na ‘riba’ nzuri tu.
Lissu alivyokuwa anaongea ni kama vile hakuwa kabisa ‘privy’ na hizo taarifa za fedha za chama.
Kama ni kweli, hiyo inaweza kuelezea vizuri kabisa kwa nini Mbowe anang’ng’ania hayo madaraka.
Maana asipokuwa tena mwenyekiti basi na hiyo ‘gravy train’ ya SGR ndo bye bye na yenyewe.
Hivi yule CAG huwa havikagui hivi vyama vya siasa?
Vitabu vya CHADEMA vinahitaji kupitiwa na kukaguliwa kwa kina.
Maana isije kuwa watu wanafanya biashara kwa mgongo wa siasa za kuwakomboa Watanzania.
Merry Christmas 🎄.
Chadema imegharimiwa kwa fedha nyingi binafsi za Mbowe, wafuasi na marafiki zake. Pia CDM imegharimiwa kwa damu za vijana wengi wabichi. Hizo habari za kufanya ukaguzi ni sawa ila wasiojua uhalisia ndio watakuja na hizi simplistic statements.I’m continuing to read the tea leaves from Tundu Lissu’s Clubhouse appearance.
Lissu aliulizwa swali kuhusu Mbowe kuibeba CHADEMA kifedha.
Akafunguka na kusema kuwa kuna nyakati kamati kuu ya chama ilikuwa inamwambia Mbowe kuwa chama kinahitaji kiasi hiki cha pesa kwa sababu moja, mbili, tatu.
Akishataarifiwa kuhusu hayo mahitaji ya kifedha, Mbowe alikuwa anaenda anakokujua yeye mwenyewe na kurudi na hizo pesa.
Hizo pesa zilikuwa ni mikopo kwa CHADEMA.
Baadaye chama kikipata hela za ruzuku, deni lilikuwa linalipwa kwa huyo mkopeshaji [Mbowe?].
Kisheria kwa sheria zilizopo, sijui uhalali wake ukoje hapo.
Ila nimewaza na kufikiria kuwa yawezekana kulikuwa kunafanyika kamchezo haramu hapo.
Inawezekana katika kuilipa hiyo mikopo, kulikuwa na ‘riba’ nzuri tu.
Lissu alivyokuwa anaongea ni kama vile hakuwa kabisa ‘privy’ na hizo taarifa za fedha za chama.
Kama ni kweli, hiyo inaweza kuelezea vizuri kabisa kwa nini Mbowe anang’ng’ania hayo madaraka.
Maana asipokuwa tena mwenyekiti basi na hiyo ‘gravy train’ ya SGR ndo bye bye na yenyewe.
Hivi yule CAG huwa havikagui hivi vyama vya siasa?
Vitabu vya CHADEMA vinahitaji kupitiwa na kukaguliwa kwa kina.
Maana isije kuwa watu wanafanya biashara kwa mgongo wa siasa za kuwakomboa Watanzania.
Merry Christmas 🎄.
Hujui Mbowe ndio anafilisiwa kwa sababu ya CDM nani hajui?Mbowe ndio anakaa na fuko la fedha la chama
HahaaaMerry Christmas
Fedha alikuwa anatoa Mzee Sabodo kama Msaada lakini Mwamba anasema ni mkopo wenye riba 😄
Pesa za ruzuku hazikaguliwi na CAGI’m continuing to read the tea leaves from Tundu Lissu’s Clubhouse appearance.
Lissu aliulizwa swali kuhusu Mbowe kuibeba CHADEMA kifedha.
Akafunguka na kusema kuwa kuna nyakati kamati kuu ya chama ilikuwa inamwambia Mbowe kuwa chama kinahitaji kiasi hiki cha pesa kwa sababu moja, mbili, tatu.
Akishataarifiwa kuhusu hayo mahitaji ya kifedha, Mbowe alikuwa anaenda anakokujua yeye mwenyewe na kurudi na hizo pesa.
Hizo pesa zilikuwa ni mikopo kwa CHADEMA.
Baadaye chama kikipata hela za ruzuku, deni lilikuwa linalipwa kwa huyo mkopeshaji [Mbowe?].
Kisheria kwa sheria zilizopo, sijui uhalali wake ukoje hapo.
Ila nimewaza na kufikiria kuwa yawezekana kulikuwa kunafanyika kamchezo haramu hapo.
Inawezekana katika kuilipa hiyo mikopo, kulikuwa na ‘riba’ nzuri tu.
Lissu alivyokuwa anaongea ni kama vile hakuwa kabisa ‘privy’ na hizo taarifa za fedha za chama.
Kama ni kweli, hiyo inaweza kuelezea vizuri kabisa kwa nini Mbowe anang’ng’ania hayo madaraka.
Maana asipokuwa tena mwenyekiti basi na hiyo ‘gravy train’ ya SGR ndo bye bye na yenyewe.
Hivi yule CAG huwa havikagui hivi vyama vya siasa?
Vitabu vya CHADEMA vinahitaji kupitiwa na kukaguliwa kwa kina.
Maana isije kuwa watu wanafanya biashara kwa mgongo wa siasa za kuwakomboa Watanzania.
Merry Christmas 🎄.
Hizo Hela za Mbowe zinatokaga wapi?Chadema imegharimiwa kwa fedha nyingi binafsi za Mbowe, wafuasi na marafiki zake. Pia CDM imegharimiwa kwa damu za vijana wengi wabichi. Hizo habari za kufanya ukaguzi ni sawa ila wasiojua uhalisia ndio watakuja na hizi simplistic statements.
Hamjui kitu nyie CCM zaidi ya kufikiri upinzani ni uasi.Merry Christmas
Fedha alikuwa anatoa Mzee Sabodo kama Msaada lakini Mwamba anasema ni mkopo wenye riba 😄
Mtu pekee aliyekuwa anatoa fedha mfukoni kusaidia Chadema ni Tuntemeke Sanga na kidogo Bob MakaniHamjui kitu nyie CCM zaidi ya kufikiri upinzani ni uasi.
Ndipo mbaposhindwa kujua kuwa Mbowe ni mzaliwa wa familia ya kitajiri na hufanya mambo mengi kwa kujitolea na mara nyingi hutumia resources zake binafsi. Mbowe family inamiliki biashara nyingi zikiwemo hotels na estates kama hujui.Hizo Hela za Mbowe zinatokaga wapi?
😄😄Merry Christmas
Fedha alikuwa anatoa Mzee Sabodo kama Msaada lakini Mwamba anasema ni mkopo wenye riba 😄
Hoja yako nini hapa Mkuu!Ndipo mbaposhindwa kujua kuwa Mbowe ni mzaliwa wa familia ya kitajiri na hufanya mambo mengi kwa kujitolea na mara nyingi hutumia resources zake binafsi. Mbowe family inamiliki biashara nyingi zikiwemo hotels na estates kama hujui.
Vitabu vinakaguliwa na report ya CAG siyo siri unaweza kuipata ukajiridhisha, na Chama kinapewa report.I’m continuing to read the tea leaves from Tundu Lissu’s Clubhouse appearance.