CHADEMA na wapinzani kwa ujumla someni alama za nyakati hii ni awamu ya kazi tu

Mr Emmy

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,219
550
Hi wanabodi!!!!!!!!!

Ndugu zangu wapinzani mkiongozwa na Chadema someni alama za nyakati kwani hii ni awamu ya kuchapa kazi na sio kufanya siasa. Chadema badilikeni muungeni mkono Rais kwa mazuri mengi anayoifanyia nchii ambayo ninyi wapinzani kwa miaka mingi mlikuwa mkiyapigia kelele na mkosoeni kistaarabu kwa machache anayokosea kwani nae Sio Mungu bali ni Binadamu hivyo hakosi mapungufu.

Kuendelea na kupambana na Rais Magufuli kunawashushia hadhi zenu kama wapinzani katika Jamii kwani Watanzania wanaonakazi nzuri zinazofanywa na Rais wao mpendwa.

Leo hii ukimuuliza Mtanzania Yeyote unaonaje Uongozi wa awamu ya tano Chini ya Rais Magufuli atakujibu kama ifuatavyo nchii hii imepata Rais mchapa kazi acha atunyooshe tu kwani watanzania tulikuwa tumelala na kuzembea huyu jamaa acha aturudishe kwenye mstari. Pamoja na changamoto za hapa na pale Watanzania wanakiri ubabe wa Rais unahitajika katika kuingoza nchi hii katika uchumi wa kati.

Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu anaweza kubeza juhudi za Mh Rais Magufuli hivyo ndugu zangu Chadema na wapinzani wote hamjachelewa njooni tujumuike tumuunge mkono Rais katika kujenga Tanzania Mpya. Rais sio Mungu mkosoe kistaarabu na kwa adabu kama unavyomkosoa Baba na Mama yako.

Tanzania ni yetu sote kwa afya ya vyama vyenu njooni pamoja tumuunge mkono Rais kwa kufanya kazi kwa maendeleo ya nchi yetu na siasa tutafanya 2020.

Kupinga kila kitu ni sio siasa bali ujinga tu

Tufanye kazi siasa mpaka 2020
 
Hakuna dhambi kubwa kama kukosa akili ni bora ukose mali.

Huna lolote wewe,na lazima uwe mchumia tumbo
 
um
Hivi huwa mna maanisha nini mkisema hapa kazi tu na huku fedha yote ya Serikali imetolewa kwenye ma bank ya binafsi??!

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshasema fedha ni za Serikali sio za Mabenki Binafsi unataka zikakae wapi sasa??? hivi wewe ulishajiuliza kwanini fedha zako huweki kwenye Account ya Mtu mwingine bali unatunza katika Account yako???
 
Hi wanabodi!!!!!!!!!

Ndugu zangu wapinzani mkiongozwa na Chadema someni alama za nyakati kwani hii ni awamu ya kuchapa kazi na sio kufanya siasa. Chadema badilikeni muungeni mkono Rais kwa mazuri mengi anayoifanyia nchii ambayo ninyi wapinzani kwa miaka mingi mlikuwa mkiyapigia kelele na mkosoeni kistaarabu kwa machache anayokosea kwani nae Sio Mungu bali ni Binadamu hivyo hakosi mapungufu.

Kuendelea na kupambana na Rais Magufuli kunawashushia hadhi zenu kama wapinzani katika Jamii kwani Watanzania wanaonakazi nzuri zinazofanywa na Rais wao mpendwa.

Leo hii ukimuuliza Mtanzania Yeyote unaonaje Uongozi wa awamu ya tano Chini ya Rais Magufuli atakujibu kama ifuatavyo nchii hii imepata Rais mchapa kazi acha atunyooshe tu kwani watanzania tulikuwa tumelala na kuzembea huyu jamaa acha aturudishe kwenye mstari. Pamoja na changamoto za hapa na pale Watanzania wanakiri ubabe wa Rais unahitajika katika kuingoza nchi hii katika uchumi wa kati.

Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu anaweza kubeza juhudi za Mh Rais Magufuli hivyo ndugu zangu Chadema na wapinzani wote hamjachelewa njooni tujumuike tumuunge mkono Rais katika kujenga Tanzania Mpya. Rais sio Mungu mkosoe kistaarabu na kwa adabu kama unavyomkosoa Baba na Mama yako.

Tanzania ni yetu sote kwa afya ya vyama vyenu njooni pamoja tumuunge mkono Rais kwa kufanya kazi kwa maendeleo ya nchi yetu na siasa tutafanya 2020.

Kupinga kila kitu ni sio siasa bali ujinga tu

Tufanye kazi siasa mpaka 2020
Umetumwa ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hawa jamaa wa ufipa wamelogwa au nini.
yaani nyumba wanaambiwa inaungua wanabisha, walisema nguvu ya soda leo wametoka ulimi rula.
Achani kujitia aibu imetosha Magu anapendwa kutokana na ujasiri wake ku kuingia front waTz wengi tunataka kuiona hii fowad hatari inavyopiga mabao yaani zama zenu zimepita jiandeni kufanya kazi zingine kama kufanya kazi viwandani.
 
Tunataka uyaweke hadharani yapi aliyafanya mpaka wapinzani wakae kimya?
Km unatizamia kwenye necta huwezi jua kwa nini umechagua hilo jibu uliloweka na ukapata D ktk matokeo. Think bigger ucwe mchumia tumbo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Lowasa anajua mazuri yanayofanywa na Rais Magufuli ndio maana hujitokeza hadharani mara kwa mara kumpongeza JPM sio nyie wengine ambao kwenu kila kitu ni kupinga tu. Ukitaka kujua mazuri ya Rais muulize kwanza Lowasa alivyotoka hadharani kumpongeza JPM kwenye insue ya madini hivyo anayajua mengi mazuri yanayofanywa na awamu ya tano
 
Tulimwondoa mkoloni ili tuwe huru kweli kweli; Uhuru wa kifikra, kiuchumi, kisiasa, kijamii n.k.
 
Awamu ya viwanda vya mkojo mtaitukuza tu nyie mazwazwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata JK mlimponda hivihivi na nchi ilisonga mbele lakini awamu hii ya Dr Magufuli lazima mjifiche uvunguni kwani hamtapata muda wa kupata kiki. JPM anapiga kotekote na kuonesha umahiri zaidi analipua sehemu zote mlizokuwa mnazipigia kelele kupata kiki
 
Back
Top Bottom