Habari wadau.
Nimekuwa nikitafakari utendaji wa rais wa tz .kila siku ni kufanya uteuzi kwa masirahi ya nani??Unakuta mtu amekaa kituo cha kazi miezi 4 Alafu anahamishwa kwenda kituo kingine je atakuwa amefanya kazi gani ndani ya miezi 4?
Watanzania tubadilike hii nchii tunaiharibu wenyewe kwa kukubali mtu anateua watu wasiojulikana wametoka wapi alafu anawaondoa anavyotaka tukatae uozo huu uteuzi uwe na mipaka sio mtu akiamka tu asbh anabadilisha viongozi kwa Kweli tumelala usingizi.