CHADEMA na uzinduzi wa kanda mashariki

mwanakidagu

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
208
78
Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo CHADEMA,hivi karibuni kitafanya uzinduzi wa kanda ya kichama na ya kimkakati (kanda ya mashariki -makao makuu yake itakuwa KIBAHA MJINI ) kuelekea ushindi wa kishindo 2014/2015.

Kwa kuwa suala hili lina umuhimu wa kipekee hasa dhana ya majimbo,na kikanda inatakiwa ipewe kipaumbele cha pekee kwa wana KIBAHA kutembelewa na uongozi wote wa juu,safari hii akiwepo DOCT W.P.SLAA,MH.F.MBOWE,PAMOJA NA JOPO ZIMA LA TIMU YA WABUNGE WAPIGANAJI.

Chama kinapaswa kuzingatia haya,kama hatua nzuri ya kueleweka kwa wanachama,hasa ukizingatia huku kumekuwa nyuma sana katika kuunga mkono mabadiliko.huu ni ujumbe kwa jopo ambalo lipo dar zilipo ofisi kuu za chama.njoni wote muizindue kanda hii.huko nyuma tumetembelewa na mh.JJ.MNYIKA,MH.TUNDU LISSU,MSIGWA,SUGU,SUSAN KIWANGWA,NA MH.ERASTO TUMBO.

Njoni wote kuwaeleza wana kanda ya mashariki mkakati huu kabambe unaosindikizwa na baba lao M4C..


NAWASILISHA.
:rockon::dizzy::A S 114::A S 114::A S 114::A S 114:
 
Kanda ya Mashariki ndio eneo linalo endesha mauaji na mateso,Lwakatare ndio Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki! Wananchi kuweni macho!
 
Hivi ccm mnaweza kujenga uhalali wenu kwa wananchi kwa kutumia njia hii ya kipuuzi na kijinga. Mkumbuke kuwa humu JF hakuna wajinga wa kunaswa kwa propaganda za kijinga na kitisho. jipange tena.
 
sisi wananchi atutetemeshwi na upuuzi huo ambao ccm na ikulu ina husika

sisi wananch tumeshaanza kuogopa hawa jama wanamipango ya kuteka watu na kupiga na vitu vizito kama walivyofanya kwa kijana mwenzetu kule morogoro..duu wahudhurie viongozi wenyewe wa cdm
 
Huko Kibaha si ndio nyumbani kwa kijana anayependwa na wananchi Habib Mchange ambaye chadema haitambui mchango wake?
 
Ntajivuta nikashuhudie mwenyewe huu uzinduzi wa kanda ya mashariki, kibaha sio mbali
 
Back
Top Bottom