CHADEMA na unafiki uliotukuka

Kazi yake ni kupigia debe wabunge wake mana hata wabunge wake wanampigia debe.... Mbona Nkasi hawakumsikiliza wakamchagua Chadema, Lindi wakamchagua CUF..... We umewahi kuona kisa upinzani jimbo likakosa maendeleo??

Kwa mantiki yako, kama jiwe sio mnafiki kutokana na kauli alizozitoa basi CHADEMA pia sio wanafiki katika maamuzi waliyoyafanya.

Hilo swali hapo mwisho muulize jiwe ambaye ndie muasisi wa hiyo logic.
 
Kwa iyo hata huu upuuzi wako hapa haturuhusiwi kuhoji???nyie cccmm ivi mkoje lkn??
 
Kwenye mijadala yetu mara nyingi tunakosa 1) uwezo wa kujenga hoja, 2) context ya mjadala na 3) objectivity. Tuna makandokando mengi mno!
 
Ni ajabu kuwa bado wapo wanaotaka CHADEMA iendelee kujadiliwa. Mkuu washauri hawa wasipende kuandika habari ya chama kilichokufa ili kizidi kufutika katika siasa za Tanzania.
Chama kilichokufa wakati ndicho chama kilichowashindisha polisi juani!
 
Kwa iyo hata huu upuuzi wako hapa haturuhusiwi kuhoji???nyie cccmm ivi mkoje lkn??
Jomba acha kukariri kama Kasuku,usifikiri kila mtu anachangia kwa ushabiki wakisiasa,mimi sipo kwenye ushabiki wa hivyo,nimechangia thd kama mtu huru,

Haya nieleze sasa hapo kuna upuuzi gani? au kwavile wewe ni mpuuzi basi kila kitu unakiona ni upuuzi kuokana na level yako ya upuuzi?
 
Inatia simanzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…