kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 3,069
- 7,508
Kwa hiyo Kama mwizi alikamatwa mwaka juzi akapigwa mawe, miaka yote wakamataji watumie adhabu ile ile?!....Uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA walikili wazi kuwa ni uchaguzi ambao haukua huru na Haki hadi kupelekea kususia hotuba ya rais bungeni lakini ajabu walikubali kuapa na majina ya viti maalumu yakapelekwa bila hata kuchelewa.
Wewe nini kinakuuma yeye akiongelea hiyo issue? ni lini wana JF tumeanza kupangiana vitu vya kuandika? Kwahiyo mtu akiongelea issue za team ya Barcelona naye ataambiwa nini kinakuuma kuongelea mabaya ya Barcelona? kama ni hivyo basi JF itabidi wote tuwe Mabubu!Wewe nini kinakuuma CHADEMA wakiwa wanafaki?
Ila GT Icebreaker siku Hizi unaniacha Hoi ni mwendo wa Aisee tuu. Inaonekana unawashangaaga watu humu.Aisee!
Umeelewa kweli alichoandika? Ni wapi amempangia cha kuandika?Wewe nini kinakuuma yeye akiongelea hiyo issue? ni lini wana JF tumeanza kupangiana vitu vyakuandika? Kwahiyo mtu akiongelea issue za team ya Barcelona naye ataambiwa nini kinakuuma kuongelea mabaya ya Barcelona? kama ni hivyo basi JF itabidi wote tuwe Mabubu!
Mnatusumbua kwa kujifanya wapenda Democracy kumbe wahuni na wezi kama wale wengine tu.Wewe nini kinakuuma CHADEMA wakiwa wanafaki?
Pangu pakavu tia mchuzi kwenye siasa ni jambo la lazima. Lakini tunapinga tabia ya nguruwe kulia wakati anakula miwa wakati anafurahia hiyo miwa. Kwanini asicheke tu?Hivyo na yule aliyesema Maendeleo hayana vyama, halafu baadae akasema nichagulie “fulani” kuwa mbunge ili niwaletee maendeleo nae ni mnafiki?
Hilo swali nikuulize wewe,unapopinga bandiko la mtu unakua umemeanisha nini? Soma uelewe kuliko kutangulliza ushabiki mbele.Umeelewa kweli alichoandika? Ni wapi amempangia cha kuandika?
Ni ajabu kuwa bado wapo wanaotaka CHADEMA iendelee kujadiliwa. Mkuu washauri hawa wasipende kuandika habari ya chama kilichokufa ili kizidi kufutika katika siasa za Tanzania.Saccoss imekufa kifo cha mende
Wewe nini kinakuuma yeye akiongelea hiyo issue? ni lini wana JF tumeanza kupangiana vitu vyakuandika? Kwahiyo mtu akiongelea issue za team ya Barcelona naye ataambiwa nini kinakuuma kuongelea mabaya ya Barcelona? kama ni hivyo basi JF itabidi wote tuwe Mabubu!
Maoni yangu kuhusu hili ni kwamba; Nafikiri haujafanya utafiti juu ya mlolongo wa matukio kuelekea maamuzi yaliyofanywa na CHADEMA 2015 na 2020.Kupitia hili suala la Mbunge wa Nkasi pamoja na wabunge wa viti maalumu, CHADEMA wamejitanabaisha ni kiasi gani wamekua wanafiki kwa watanzania na wapenda Haki na amani wote.
....
CHADEMA waache kuwa wanafiki.
Ni wapi amempangia cha kuandika?Hilo swali nikuulize wewe,unapopinga bandiko la mtu unakua umemeanisha nini? Soma uelewe kuliko kutangulliza ushabiki mbele.
Selemala endelea tu kuchonga bidhaa za wateja usije chelewa,naona uelewa wako upo mbali sana!Ni wapi amempangia cha kuandika?