Hizi ofisi za maana za kata zinajengwa na nini, hela itatoka wapi?
Hauitaji majengo makubwa ya Matofali kujenga chama, tena kipindi hichi cha teknologia ya Habari na mawasiliano. Ofisi ndogo sana Wilayani zinatosha.
Ni vigumu CDM kushika dola, sababu kuu ni wa TZ kutojiamini. Hata ukimkukimkuta Prof nae hajiamini anaona bila chama tawala hawezi kuishi, na kweli akitoka chama tawala anakufa njaa. Watu wengi sana ambao wamesoma wanaishi kwa kutegemea chama tawala.
Katika mfumo wetu wa elimu tunafundishwa kwa kutishwa, tunafundishwa kutii na tunafundishwa kutokuhoji vitu. Hii inawaondolea watanzania uthubutu na kujiamini. Kama haujiamini na hauna uthubutu basi automatically unakuwa hauna fighting spirit. Kwa ajili hatuna uthubutu na hatujiamini, hii inapelekea kufanya vibaya kwenye siasa, biashara, michezo, kwenye kazi za local na kimataifa and many more. Watu ambao utawaona credible hawajitokezi wanaogoma watapoteza Mkate wao. Hii inapelekea kuchukua watu waliotoka ccm.
Kutokana na mindset hii ya watanzania CDM wamejitahidi sana kufika hapo walipo. Ha