Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,724
nasikitishwa sana kuona wabunge wa chadema hawashiriki katika mijadala inayoendeshwa na television ya taifa (tbc) hususani vile vipindi vya asubuhi.
Sifurahishwi kwa sababu kuna watanzania wengi wana access na station hii na wanahitaji sana michango murua kutoka kwa wabunge machachari wa chadema.
Niwaulize enyi viongozi wa chadema,je mna mgogoro na tbc na nyinyi tbc je mna mgogoro na chadema?na kama jibu ni ndiyo kwanini msikae mkayamaliza?hamuwatendei haki watanzania kwa kweli.
Jirekebisheni.
Nasikitishwa sana kuona wabunge wa CHADEMA hawashiriki katika mijadala inayoendeshwa na television ya taifa (TBC) hususani vile vipindi vya asubuhi.
Sifurahishwi kwa sababu kuna watanzania wengi wana access na station hii na wanahitaji sana michango murua kutoka kwa wabunge machachari wa CHADEMA.
Niwaulize enyi viongozi wa CHADEMA,je mna mgogoro na TBC na nyinyi TBC je mna mgogoro na CHADEMA?Na kama jibu ni ndiyo kwanini msikae mkayamaliza?Hamuwatendei haki watanzania kwa kweli.
Jirekebisheni.
Nasikitishwa sana kuona wabunge wa CHADEMA hawashiriki katika mijadala inayoendeshwa na television ya taifa (TBC) hususani vile vipindi vya asubuhi.
Sifurahishwi kwa sababu kuna watanzania wengi wana access na station hii na wanahitaji sana michango murua kutoka kwa wabunge machachari wa CHADEMA.
Niwaulize enyi viongozi wa CHADEMA,je mna mgogoro na TBC na nyinyi TBC je mna mgogoro na CHADEMA?Na kama jibu ni ndiyo kwanini msikae mkayamaliza?Hamuwatendei haki watanzania kwa kweli.
Jirekebisheni.
Vipi mkuu, mbona unaandika kwa kutumia lugha ya kwenu?sidiemu wameibaikoti tibisii
jinsi ulivyodefine hiyo TBC, imeniacha naumwa na mbavu kwa kicheko!!(T)akataka na (B)angi za (C)CM
Hapo kwenye red ndipo ninapolia napo.Kwanini kususa lakini ilihali kodi tunazidi kulipa na inatumika vibaya kadri ya maelezo yako?Weewe ni mgeni katika nji hii???
Wazungu wana kamsemo,''Like Daddy like Son''. Serikali ya CCM ndiyo inayomiliki TBC,Bunge ni la Serikali ya CCM,UWT ni ya Serikali ya CCM,Polisi ni ya Serikali ya CCM na JWTZ ni la Serikali ya CCM!!!
Kama Bunge linaweza kuwanyanyasa Wabunge wa CHADEMA kwa kejeli,matusi na kuwafukuza nje ya Bunge, unategemea nini hao Wabunge wa CHADEMA wakienda TBC??? Je,unataka waende kudhalilishwa,kutukanwa na kuzomewa?Wewe ulishawahi kuona MBWA(according to Juma Ngamia)akihojiwa na TBC??
Juma Nkamia ni Mtangazaji wa TBC aliyeukwaa Ubunge kwa tiketi ya CCM na wewe ni shahidi juzi alivyoropoka Bungeni kwa kuwaita Wabunge wa CHADEMA kuwa ni MBWA na hawezi kuongea na mbwa isipokuwa na mfuga mbwa ambayo ni CCM na Serikali yake!!!!
Wabunge wa CHADEMA wana haki ya kususia na kugomea kabisa vipindi vinavyoendeshwa na chombo chochote cha Mfuga Mbwa! Upo hapo???
Mkuu umenena vema.Ila siamini kama kususa ndio njia ya kutatua tatizo hili.Wewe unaweza kukimbilia kuangalia stations nyengine lakini je wale wenye uwezo wa ku-access iyo TBC tu wakimbilie wapi?Je waendelee kunywa propaganda chafu kadri ya maelezo ya wachangiaji wengi humu?Nafikiri inapaswa ifike wakati tuweke tofauti zetu pembeni tuanze upya kwa maslahi ya nchi yetu.Kadri tunavyoendelea kushindana ndivyo tunavyozidi kuumia.Tubadilike.mkuu tambua kua TBC ni chombo cha umma ambayo kodi ya walala hoi ndiyo uwafanya watangaze ila wamebase sana katika masuala ya nyinyiem kuliko matatizo ya nchi hii tv ilikuepo ni kizuri kipindi cha Tido ila baada ya kutoka imearibika na kamwe siwezi kuitazama kamwe fikiria siku MV SPICE ILIPOZAMA TV INAONYESHA TAARAB hakh mabo mengine bwana
DisappointedMkuu siasa za nchi za manyani ni uhadui, kwa hiyo usione ajabu
Kwaiyo kikija chama tawala chengine TBC itakuwa mali ya hiko chama?Napatwa na wasi wasi huu mfumo wa kususa ni wa kujenga mazingira ya visasi ambavyo havina tija yoyote.Thinkhata wasipoitwa na hao TBCCM ukweli utafahamika tu! sasa hivi tbc ni kama uhuru fm zoteniza chama tawala!
aiseeeHivi unayepoteza muda wako kuangalia tbc una akili.tbc angalia bunge live ili kukusaidia kujua pumba na mchele .baada ya hapo kamata remote zima.
Jibu ni kuwa yuko dunia ya mbwa.Mjinga kama wewe utasema haya na uwezo wa Lema ila wenye mbwa hawalali kwa uwezo mkubwa alionao Lema wa kujenga hoja na ujasiri unawatisha MaCCM .Sasa wenye mbwa wanajua ila sijui wewe uko Dunia gani .
Chadema ni wendawazimu hawana maadili.
Hawana UKWELI wala UHAKIKA wa wanayoyafanya.
Wataishia itv na gazeti la nipashe.
Mkuu sio kweli.Nakutolea mfano mdogo tu hapa Lindi tupo analojia bado na wakazi wengi wanatumia antena ndogo maarufu kama chadema na wanakamata TBC tu.TBC ni mali ya watanzania wote na Chadema ni chama cha wananchi.Tuna kila sababu ya kulisemea hili.