twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
TBC ni vilaza, husikute hata ccm ndo inawapa maagizo ya ni kipi kifanyike na ni yupi akifanye.Nasikitishwa sana kuona wabunge wa Chadema hawashiriki katika mijadala inayoendeshwa na television ya taifa(TBC) hususani vile vipindi vya asubuhi.Sifurahishwi kwa sababu kuna watanzania wengi wana access na station hii na wanahitaji sana michango murua kutoka kwa wabunge machachari wa Chadema.Niwaulize enyi viongozi wa Chadema,je mna mgogoro na TBC na nyinyi TBC je mna mgogoro na Chadema?Na kama jibu ni ndiyo kwanini msikae mkayamaliza?Hamuwatendei haki watanzania kwa kweli.Jirekebisheni.
Nasikitishwa sana kuona wabunge wa Chadema hawashiriki katika mijadala inayoendeshwa na television ya taifa(TBC) hususani vile vipindi vya asubuhi.Sifurahishwi kwa sababu kuna watanzania wengi wana access na station hii na wanahitaji sana michango murua kutoka kwa wabunge machachari wa Chadema.Niwaulize enyi viongozi wa Chadema,je mna mgogoro na TBC na nyinyi TBC je mna mgogoro na Chadema?Na kama jibu ni ndiyo kwanini msikae mkayamaliza?Hamuwatendei haki watanzania kwa kweli.Jirekebisheni.
Nani anaiangalia siku hizi? Na wakubwa wote wa TBC watashtakiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka na mali ya umma we subiri tuTBC inaheshimika sana duniani, haipo tayari kumualika mtu kama Mh. Lema ambaye anaonekana wazi kabisa kwamba uwezo wake wa kufikiri ni mdogo na malezi yake ya utotoni hayakuwa mazuri.
TBC inaheshimika sana duniani, haipo tayari kumualika mtu kama Mh. Lema ambaye anaonekana wazi kabisa kwamba uwezo wake wa kufikiri ni mdogo na malezi yake ya utotoni hayakuwa mazuri.
TBC inaheshimika sana duniani, haipo tayari kumualika mtu kama Mh. Lema ambaye anaonekana wazi kabisa kwamba uwezo wake wa kufikiri ni mdogo na malezi yake ya utotoni hayakuwa mazuri.
Mmmmmh!Hii nchi yangu kila kitu siasa sasa.Tutafika kweli?Chadema wana vita na Ccm,
Tbc ni Ccm
vita ya Ccm ni ya Tbc pia, wewe hujui hilo? Watakucheka watu!
TBC inaheshimika sana duniani, haipo tayari kumualika mtu kama Mh. Lema ambaye anaonekana wazi kabisa kwamba uwezo wake wa kufikiri ni mdogo na malezi yake ya utotoni hayakuwa mazuri.
kuna kipindi flani hapo nyuma TBC ilifanya kazi nzuri, walikua objective na walionyesha professionalism angalau kwa kiwango kizuri., lakini lately mimi pia nadhani TBC kwa sasa iko compromised,
na hii haionekani kwa hayo tu lakini hata habari zake mara nyingi hazionyeshi ukweli wote zinatoa half truths mara nyingi na kuonyesha kuegemea upande mmoja., this is never healthy, ni muhimu kwa serikali kujifunza kuzikabili changamoto zote kama zinavyo kuja badala ya kupambana kuiziba midomo inayo kosoa utendaji wake.,
TBC inaheshimika sana duniani, haipo tayari kumualika mtu kama Mh. Lema ambaye anaonekana wazi kabisa kwamba uwezo wake wa kufikiri ni mdogo na malezi yake ya utotoni hayakuwa mazuri.
Nini kifanyike mkuu?TBC ni vilaza, husikute hata ccm ndo inawapa maagizo ya ni kipi kifanyike na ni yupi akifanye.
Mkuu kama sikosei wewe ni kiongozi wa Chadema.Je ni sahihi kwa nyinyi kuendelea kuisusia TBC?Mmeshapima athari zake mpaka saivi?Please,kaeni nao kitako mzungumze yaishe kwa maslahi ya taifa letu.Freeman Mbowe; TBC ni kipeperushi cha ccm.